Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Definitely kamkimbia kaona babu chakula hili
 

Hapa ndo umeandika nini sasa? Hata ww mwenyewe ulieandika ukisoma huwezi kuelewa kitu.
 
- Yale yale mshamba hujisema bila kuulizwa hahahahaha kumbe mshamba hahahaha

Le Mutuz

Sijawahi kuona binadamu mpuuzi kama huyu yan over50yrs bado ana mambo ya adolocens kabisaaaaaa......kweli huyu ni Le jinga kabisa.... Angekuwa mwanangu ningemkata kata mapanga niwape mbwa kabisa maana hana faida yeyote zaidi ya kuletea familia aibu
 
- Ila anajisifia kwa kuwa na mtoto kama wewe wa kuandika matusi mitandaoni kwa majina ya bandia inajisema wewe na baba yako mkoje au? hahahahaha

Le Mutuz

wajua una nishangaza sana, lasttime niiiliza jambo la maana sana kuhusu elimu yako, lakini ukajichekeshachekesha na kupotezea, hicho nilichoandika umeona matusi au ndio akili zako....! kabanga
 
Last edited by a moderator:
Yule mchumba kaishia wapi?

Mchumba mchezo...ukute alikuwa analitumia tu hilo babu kupata connections, si unajua mjini full kujuana...ukute kashapata alichotaka kalala mbele, kuolewa na huyu babu inahitaji nyaya za kichwani ziwe zinagusana...
 
Babu una stress, asubuhi asubuhi yote unajianzishia Uzi...ndo tabu ya kutokuwa na mke umri huo, bibi angekuwepo angekuwa anakukanda huo mtumbo Saa hizi......wala usingewaza kudamkia Jf....

Ila babu shikamoo, naomba mia basiii....

Kunyoa mavovo mpaka aweke kioo kwa mbele..tumbo ni obstacle
 
Haya msubirie radio station sasa.... The King of All Bongo Social Network will be doing things... All the best le mutuz @w. J malecela
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa naliona hili jina mda mrefu humu jf,ikabidi niulize watu wangu wa karibu kule boston USA na juzi kati kwenye msiba kinondoni wa mshikaji nikamuona le mutuz vizuri na mbwembwe zake maana tuliongea kidogo kuhusu maisha ya marehem wakati enzi wako wote US,nimejifunza kitu kimoja kupitia huyu mtu (malezi ya wazazi ni muhimu sana katika ukuaji wa akili ya mtoto)
 
YaanMsando kaniua, na ile caption 😂😂😂😂😂 sasa atakuja mwenye degree zake na ufalme wake kuja kuelezea "birds of the same feathers"
 
hahahaha u know....lemendeaziii lewatotoziiii
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…