Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well done malecela jr aka le mutuz aka mutu ya watu aka mutu ya juu kabisa. Huyu jamaa anajua kucheza na akili za biashara.
How? Jamaa nyie mnavyozidi kulopoka mitandaoni basi yeye he is laughing straight to the bank na kwa tarifa yenu ile nyumba sio ya mama ake le mutuz ...ebu jiangalieni. ..shame on you for buying such a silly joke..anayetaka nimpeleke kwa mama ake le mutuz aniambie hapa...jamaa anajua jinsi ya kukaa relevant or juu ni nyie kumkaa midomoni mwenu. . haya si mnaona ma queen wa media kina kim kardashian or kwa hapa le domoz aka le tandalez aka le king of mabebez wote anavyowakaa midomoni kwa story fake kukicha sasa hivi mnaangaika na shemeji wenu wa uganda. ..mazafantaaaa
- Yale yale mshamba hujisema bila kuulizwa hahahahaha kumbe mshamba hahahaha
Le Mutuz
- Ila anajisifia kwa kuwa na mtoto kama wewe wa kuandika matusi mitandaoni kwa majina ya bandia inajisema wewe na baba yako mkoje au? hahahahaha
Le Mutuz
Yule mchumba kaishia wapi?
Hivi babake anajisifu kweli kama ana mtoto wa kiume....???
Babu una stress, asubuhi asubuhi yote unajianzishia Uzi...ndo tabu ya kutokuwa na mke umri huo, bibi angekuwepo angekuwa anakukanda huo mtumbo Saa hizi......wala usingewaza kudamkia Jf....
Ila babu shikamoo, naomba mia basiii....
Baba anajua mtoto si RIZKI