All those years?.. WTF!
nani kakwambia those years back hakuwa anaishi his life?
Btw, living your life ends when? when you are 20s or 30s?
Hata kama this dude angekuwa 190 years old, ataishi bado anavyotaka tu!
Cha msingi asikusumbue na hela food and accomodation ama medical expenses...
Mengineyo tunajisumbua tu.....
Hiki ndio alichopost Msando kwenye ukurasa wake wa Instagram
huu upumbavu wa jamaa unatufanya kuona aibu kusema ss ni diaspora...huwezi ukaishi great country ka us alafu unaishia kufanya upumbavu ka huu
- HAHAHAHAHAH mpaka sasa siamini kwamba mimi Le Mutuz Nation Big Show ninaweza kumkosesha usingizi Mwanasheria kama huyu mtu yaani ninazidi kumshukuru kwa kunipa promo kwamba mimi na yeye hatuko mbali sana kwa akili hahahaha mimi nilidhani yeye yupo mbele yangu kiakili maana nawajua Wanasheria wengi hapa mjini kwamba wana akili sana sasa huyu ni binadam wa kwanza Mwanasheria kunihakikishia kwamba nina akili kama level yake, sina zaidi ila kumchukuru sana ingawa siku hiyo nilikwenda just because nilikuwa Escape One, Msanii mmoja akanipigia kwamba anahitaji nije hapo Mbalamwezi nimsaidie maana alikuwa na wasi wasi na usalama wake that is all lakini kama ninamkosesha usingizi MWanasheria wa Dunia kama yeye basi I am humbled sana!!
Le Mutuz
Binafsi huyu bush lawyer ushamba umemzidi. Mwanaume gani kutwa upo IG unafanya mipasho???? Ushamba mzigo.
So una admitt kuwa ulikuwa wrong kumfungulia Le babu uzi!! CC nifah
So una admitt kuwa ulikuwa wrong kumfungulia Le babu uzi!! CC nifah
Kwa hiyo hapo ndo ulikuwa u naangalia usalama wa huyo msanii au?
Ha haha ha
Mukubwa na wanawe
Sijakuelewa.
kwani wewe ni baunsa mzee acha uongo sema ulikwenda kula bata kama waliokuzunguka..hii ni nchi huru mzee kwanini udanganye kwa starehe yako mwenyewe- HAHAHAHAHAH mpaka sasa siamini kwamba mimi Le Mutuz Nation Big Show ninaweza kumkosesha usingizi Mwanasheria kama huyu mtu yaani ninazidi kumshukuru kwa kunipa promo kwamba mimi na yeye hatuko mbali sana kwa akili hahahaha mimi nilidhani yeye yupo mbele yangu kiakili maana nawajua Wanasheria wengi hapa mjini kwamba wana akili sana sasa huyu ni binadam wa kwanza Mwanasheria kunihakikishia kwamba nina akili kama level yake, sina zaidi ila kumchukuru sana ingawa siku hiyo nilikwenda just because nilikuwa Escape One, Msanii mmoja akanipigia kwamba anahitaji nije hapo Mbalamwezi nimsaidie maana alikuwa na wasi wasi na usalama wake that is all lakini kama ninamkosesha usingizi MWanasheria wa Dunia kama yeye basi I am humbled sana!!
Le Mutuz