Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
All those years?.. WTF!

nani kakwambia those years back hakuwa anaishi his life?

Btw, living your life ends when? when you are 20s or 30s?

Hata kama this dude angekuwa 190 years old, ataishi bado anavyotaka tu!

Cha msingi asikusumbue na hela food and accomodation ama medical expenses...

Mengineyo tunajisumbua tu.....

U pathedic man
 
Le kopoz atakavyojibu sasa "u know sisi ni mastaa unaona sasa unagoogle kutafuta picha zangu wakati mi siijui hata picha yako inafananaje. U know uwepo wangu hapo nililipwa kwa kila saa niliyokaa katika hiyo bash najua wewe huwezi pata hiyo dili tulia bush lawyer hahahaaah"
 
Msando nae kama bwaabwa vile, anatafta kick za kitoto,,, unafanya bifu na mtu asiekufatilia,,, msando anatafta kick ktk tasnia ya burudab dats y anajipendekeza kwa nyota kadha kuwatoa dinna na vijipesa ili awe anahook up nao,,, bwegu tu nayeye afanye sheria burudan awaachie kina lemtuz
 
huu upumbavu wa jamaa unatufanya kuona aibu kusema ss ni diaspora...huwezi ukaishi great country ka us alafu unaishia kufanya upumbavu ka huu
 
Hiki ndio alichopost Msando kwenye ukurasa wake wa Instagram
B7-ZfgbIUAIpv84.jpg

- HAHAHAHAHAH mpaka sasa siamini kwamba mimi Le Mutuz Nation Big Show ninaweza kumkosesha usingizi Mwanasheria kama huyu mtu yaani ninazidi kumshukuru kwa kunipa promo kwamba mimi na yeye hatuko mbali sana kwa akili hahahaha mimi nilidhani yeye yupo mbele yangu kiakili maana nawajua Wanasheria wengi hapa mjini kwamba wana akili sana sasa huyu ni binadam wa kwanza Mwanasheria kunihakikishia kwamba nina akili kama level yake, sina zaidi ila kumchukuru sana ingawa siku hiyo nilikwenda just because nilikuwa Escape One, Msanii mmoja akanipigia kwamba anahitaji nije hapo Mbalamwezi nimsaidie maana alikuwa na wasi wasi na usalama wake that is all lakini kama ninamkosesha usingizi MWanasheria wa Dunia kama yeye basi I am humbled sana!!

Le Mutuz
 
huu upumbavu wa jamaa unatufanya kuona aibu kusema ss ni diaspora...huwezi ukaishi great country ka us alafu unaishia kufanya upumbavu ka huu

-sure huu ndio upumbavu wangu kaka, jana nimehamia kwenye ofisi yangu mpya ya kampuni yangu hapa Posta mpya at Tancot House gorofa ya pili, I hope na wewe huko uliko una ofisi yako na unajiajiri kama mimi hapa bongo, huu ndio upumbavu wangu mkuu ok hahahahahahaha

Le Mutuz
 
- HAHAHAHAHAH mpaka sasa siamini kwamba mimi Le Mutuz Nation Big Show ninaweza kumkosesha usingizi Mwanasheria kama huyu mtu yaani ninazidi kumshukuru kwa kunipa promo kwamba mimi na yeye hatuko mbali sana kwa akili hahahaha mimi nilidhani yeye yupo mbele yangu kiakili maana nawajua Wanasheria wengi hapa mjini kwamba wana akili sana sasa huyu ni binadam wa kwanza Mwanasheria kunihakikishia kwamba nina akili kama level yake, sina zaidi ila kumchukuru sana ingawa siku hiyo nilikwenda just because nilikuwa Escape One, Msanii mmoja akanipigia kwamba anahitaji nije hapo Mbalamwezi nimsaidie maana alikuwa na wasi wasi na usalama wake that is all lakini kama ninamkosesha usingizi MWanasheria wa Dunia kama yeye basi I am humbled sana!!

Le Mutuz

Kwa hiyo hapo ndo ulikuwa u naangalia usalama wa huyo msanii au?
 
Lemutuz, hawezi kujilinganisha na msando, lemutuz 56yrs ulipashwa kuwa mbali sana, 56 yrs ndio unalingishia umepata ofisi posta? grow up! Lemutuz anamzidi baba yangu miaka minne. Mi nimekuwa na ofisi na kampuni nikiwa na 26yrs. we ndo unakuja kutupigia kelele now? AIBU.
 
- HAHAHAHAHAH mpaka sasa siamini kwamba mimi Le Mutuz Nation Big Show ninaweza kumkosesha usingizi Mwanasheria kama huyu mtu yaani ninazidi kumshukuru kwa kunipa promo kwamba mimi na yeye hatuko mbali sana kwa akili hahahaha mimi nilidhani yeye yupo mbele yangu kiakili maana nawajua Wanasheria wengi hapa mjini kwamba wana akili sana sasa huyu ni binadam wa kwanza Mwanasheria kunihakikishia kwamba nina akili kama level yake, sina zaidi ila kumchukuru sana ingawa siku hiyo nilikwenda just because nilikuwa Escape One, Msanii mmoja akanipigia kwamba anahitaji nije hapo Mbalamwezi nimsaidie maana alikuwa na wasi wasi na usalama wake that is all lakini kama ninamkosesha usingizi MWanasheria wa Dunia kama yeye basi I am humbled sana!!

Le Mutuz
kwani wewe ni baunsa mzee acha uongo sema ulikwenda kula bata kama waliokuzunguka..hii ni nchi huru mzee kwanini udanganye kwa starehe yako mwenyewe
 
The man is a blogger jamani, let's be fair... Anatafuta Habari.... Go le mutuz it's your life and your choice as long as huvunji sheria za nchi
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom