Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wadau nimekuwa,nikifwalitia mijadala mingi inayohusu maisha ya huyu babu .Nimegundua hata wale haters wake hujikuta wakitumia swaga za huyu babu.mfano maneno yanayotumika sana IG na hapa JF kama lekopozz,letamkozz ,u know ,le mburulazzz. Namegine hata wale wanao machukia huanza kuyatumia maneno hayo ya wanaye mwita mjinga sasa hiyo ni ishara ya kumkubali huyu jamaa. Nawasilisha
Jinga kubwa aka babu jinga
Sawa babu bomba
Heti downtowns I thought masaki unakaaa wewe bab bomba
Thank u,naona unamcheck check le kopozzzz.
- The King Of All Bongo Social Media Network, U know hahahahahaha
Le Mutuz
Thread ya kusifiwa na kutukuzwa unakuja kwenye page ya kwanza lakini ukikosolewa na kupewa makavu yako unataka mpaka page ya 10
Inawezekana hii ikawa ni Project
Habari wadau nimekuwa,nikifwalitia mijadala mingi inayohusu maisha ya huyu babu .Nimegundua hata wale haters wake hujikuta wakitumia swaga za huyu babu.mfano maneno yanayotumika sana IG na hapa JF kama lekopozz,letamkozz ,u know ,le mburulazzz. Namegine hata wale wanao machukia huanza kuyatumia maneno hayo ya wanaye mwita mjinga sasa hiyo ni ishara ya kumkubali huyu jamaa. Nawasilisha
we mleta mada ndio umetekwa na hilo babu mtumboz mlazimisha u star
Kwaiyo?