Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Taarifa za uhalifu kwa vyombo vya dola mara nyingi zinatoka kwa raia wema. Napenda nigusie kitu kimoja, na kama kweli vyombo vyetu vya dola vinafanya kazi kwa weledi, basi walifuatilie hili swala kwa umakini.

Kuna mtu anayejiita Billionaire hapa mjini, na aliyekuwa mgombea Ubunge kule moshi kupitia CCM inabidi amulikwe vizuri. Kila mwezi, akisaidiwa na wapambe wake, mmoja anayejiita King of All Social Networks, LEMUTUZ uenda kule bandarini (kwenye meli) na kukaa karibia wiki nzima wakitoa Mafuta na kuyajaza kwenye malori . Mbaya zaidi LEMUTUZ anapiga picha na kuzitundika kwenye mitandao akijidai anakumbuka enzi zake za Ubaharia, hata kudiriki kuringa mitaani jinsi wanavyoiba mafuta.

Serikali iwafuatilie hawa self proclaimed mabillionaires. Je hizi mafuta wanazilipia kodi, na je wanazipata kwa mbinu gani? Sitaki kuongea mengi. Wananchi au raia wema wenye taarifa zaidi watazimwaga ummu jukwaani

this i take as nonsense

kunamaneno ya chuki tu, hebu eleza vizur anaibaje hapo TRA tuanzie wapi kuchunguza labda, vitu kama hivo ungesema siokusema flani ni mwizi kisa

kweli kunamwiizi anapiga picha eneo la tukio? unapata wapi huo muda

kunamwenzio kaelezea vizur hapa jamii forum watu wanao iba pale TRA, kataja mtu anatwa andason na cheo chake, kampuni ya oil com, katika mfano wake inawarahisishia polis na vyombo vingine kufanya uchunguz

sa wee unamtaja tu mtu biila hata chembe ya ushaidi kisa kapiga picha, uuu upumbavu
 
watu wakitoa leads za kufanyia uchunguzi tusiruke na majibu "chuki binafsi" au "walikuwa wapi kusema mapema", wote mnajua tulikotoka, ungesema kwa nani akusikilize, cha msingi viachwe vyombo husika vifanye uchunguzi, kama watu wako clean watakuwa cleared tu,
 
Jamani acheni majungu, Le Mutuz yuko kambini akiandaa ile single yake inayokwenda jina la Huku Kwetu Downtown!
 
Kabla ya tukio kuna tukio na baada tukio kuna tukio@selfie
 
Taarifa za uhalifu kwa vyombo vya dola mara nyingi zinatoka kwa raia wema. Napenda nigusie kitu kimoja, na kama kweli vyombo vyetu vya dola vinafanya kazi kwa weledi, basi walifuatilie hili swala kwa umakini.

Kuna mtu anayejiita Billionaire hapa mjini, na aliyekuwa mgombea Ubunge kule moshi kupitia CCM inabidi amulikwe vizuri. Kila mwezi, akisaidiwa na wapambe wake, mmoja anayejiita King of All Social Networks, LEMUTUZ uenda kule bandarini (kwenye meli) na kukaa karibia wiki nzima wakitoa Mafuta na kuyajaza kwenye malori . Mbaya zaidi LEMUTUZ anapiga picha na kuzitundika kwenye mitandao akijidai anakumbuka enzi zake za Ubaharia, hata kudiriki kuringa mitaani jinsi wanavyoiba mafuta.

Serikali iwafuatilie hawa self proclaimed mabillionaires. Je hizi mafuta wanazilipia kodi, na je wanazipata kwa mbinu gani? Sitaki kuongea mengi. Wananchi au raia wema wenye taarifa zaidi watazimwaga ummu jukwaani
Majunguz
 
Ni kosa kumjadili mtu ka Le Mutuz kama ni fisadi...! Fisadi gan amabye ahata geto hana anaishi kwa mama na baba yake....! Kama Le Mutuz ni fisadi bas ufisadi haulipi aisee.. Kama mzee wa miaka 50plus bado anaishi kwa baba ba mama bas bora auze matembele au kisamvu........

Duc in Altum
 
Taarifa za uhalifu kwa vyombo vya dola mara nyingi zinatoka kwa raia wema. Napenda nigusie kitu kimoja, na kama kweli vyombo vyetu vya dola vinafanya kazi kwa weledi, basi walifuatilie hili swala kwa umakini.

Kuna mtu anayejiita Billionaire hapa mjini, na aliyekuwa mgombea Ubunge kule moshi kupitia CCM inabidi amulikwe vizuri. Kila mwezi, akisaidiwa na wapambe wake, mmoja anayejiita King of All Social Networks, LEMUTUZ uenda kule bandarini (kwenye meli) na kukaa karibia wiki nzima wakitoa Mafuta na kuyajaza kwenye malori . Mbaya zaidi LEMUTUZ anapiga picha na kuzitundika kwenye mitandao akijidai anakumbuka enzi zake za Ubaharia, hata kudiriki kuringa mitaani jinsi wanavyoiba mafuta.

Serikali iwafuatilie hawa self proclaimed mabillionaires. Je hizi mafuta wanazilipia kodi, na je wanazipata kwa mbinu gani? Sitaki kuongea mengi. Wananchi au raia wema wenye taarifa zaidi watazimwaga ummu jukwaani

Unamaanisha these burgers
 
Attachments

  • 1455389351955.jpg
    1455389351955.jpg
    31 KB · Views: 21

Crap!
 
Mnamuonea bure le mutuz ana mbele wala nyuma ni mganga njaa tu
 
Le Mutuz anapenda sna bata siju kama nae anagodoro nitamuuliza ney wa mitego
 
LeMutuz ni mtu mdogo sana hii nchi, hata chumba kashindwa kupanga bado anaishi kwao...
Nafikiri mleta uzi umeshobokea mbwembwe zake za mitandaoni tu
Anaishi kwenye le apartment le downtown u know
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom