Le Mutuz hii sasa imezidi

Inabidi sasa nikae pembeni mwenyewe maana watu washatoka katika point na nahisi kaka le mutuz hakunielewa maana sikumsema kwa ubaya na nilimshauri tu

- Ungeanza kujishauri mwenyewe namna ya kuandika kwa kutumia jina lako kamili sio kurukia Social Media na kushauri watu kwa kutumia majina ya bandia kama ni ushauri unauhitaji wewe kwanza U know sio mimi, eti nibadili my lifestyle kisa mtu kama wewe Mwanaume unayefuatilia maisha ya wanaume wengine na kuanza kuwashauri kwa kutumia majina ya bandia? please hahahahahahaha jishauri mwenyewe kwanza ok!!

Le Mutuz
 
- Well, uniponde usiniponde unaweza kubadili nini in my life mkuu? Mimi ndio The King of All Bongo Social MEdia ninafanya mambo yangu kwa strategies unachoona ni ujinga ndio what I use to make money pole sana ila tupo Dunia ya Capitalism kinachouza ni individualism sio collectivism so badilika na uanze kuwa individualistic zaidi na wewe uweze kupata pesa kwenye this Capitalism World!!

Le Mutuz
 
umeona ndugu nahisi anajua akishauriwa vizuri basi anaona anaonewa donge hata mi nimemshauri vizuri tu maana hata sisi tungefanya kama yeye ingekuwaje pasingetosha,
 
Le Mutuz hana jema,anapenda kusifiwa tu,hapendi kukosolewa hata kidogo!!
 
Asante kaka umenifanya niungane na wanaokuponda maana kawaida ya mtu mwenye akili timamu akishauriwa anasikiliza ule ushauri na kama asipoupenda basi anamawambia aliyemshauri nimekusikia ahsante kwa ushauri wako ila nafanya hivi kwa ajili ya hivi ila nafanya hivi kwa ajili ya hivi.
Ila kwa majibu yako ya kukera na wasiwasi na elimu yako pamoja maana unaweza kuwa na elimu na usielimike.
 
Ana Degree 3 za USA, ila usisahau Thermometor ina Degree 100 ila kazi yake inaisha kwapani.
 
Kila siku tunakusikia una degree tatu lakini hutuambii GPA.maana naamini una pass tu.haiwezekani usome kila siku unarudia communication skills,devp studies, three times.na jinsi unavyopenda sifa ungekuwa una first class au upper 2nd pasingetosha.
 
umeona ndugu nahisi anajua akishauriwa vizuri basi anaona anaonewa donge hata mi nimemshauri vizuri tu maana hata sisi tungefanya kama yeye ingekuwaje pasingetosha,

- Ushauri wako baki nao ni pure foolisness kwangu hahahahahahah U know!!

Le Mutuz
 
Kila siku tunakusikia una degree tatu lakini hutuambii GPA.maana naamini una pass tu.haiwezekani usome kila siku unarudia communication skills,devp studies, three times.na jinsi unavyopenda sifa ungekuwa una first class au upper 2nd pasingetosha.

- hahahahahaha yaani sasa nianze tena kuingia kwenye GPA? Ok fungua thread yake hii sio U know hahahahahah

Le Mutuz
 
- Sasa unampondaje mtu ana Degree 3 wewe huna hata moja, hahahahahahahah U know foolish baki na ujinga wako!!

Le Mutuz
 
Ana Degree 3 za USA, ila usisahau Thermometor ina Degree 100 ila kazi yake inaisha kwapani.

- Matola hivi wewe Mwanaume au maana kuandika majungu na umbeya kama unavyofanya ni kazi sana kwa Mwanaume eti ni Mamen kweli? hahahahahaha

Le Mutuz
 
Kila siku tunakusikia una degree tatu lakini hutuambii GPA.maana naamini una pass tu.haiwezekani usome kila siku unarudia communication skills,devp studies, three times.na jinsi unavyopenda sifa ungekuwa una first class au upper 2nd pasingetosha.

Sipati picha kama angekuwa na Honorable Degree.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…