Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeadimika...
Hahaha...
Yaani umepoteza kweli mkuu, Le Baharia ndio role model wako????
:becky::becky:
Mimi ni shabiki wako mkubwa sana na pia ni role model wangu ktk maisha ya kujitegemea japo wewe mwenzangu una msaada wa wazazitofauti na mimi sina wazazi
Ila kuna kitu sikipendi japo si kibaya ila ni hatari kwako ni tabia yako ya kupost kila kitu ktk maisha yako ya kila siku instagram na pia kupost maisha yako binafsi ktk blog yako wakati unaiita ni blog ya wananchi.
kwa amani tu badilika kaka mkubwa hiyo tabia ni chance katika kwa maadui wako kukushambulia maana kila kitu chako wanakijua
Namalizia kwa kukwambia siyo wote tusiosoma hatuna akili ila matatizo ya dunia kwa kukosa ada kwa hiyo kuwa na lugha nzuri si kwa kutukatisha tamaa pia unaweza kuwa msomi halafu ukaenda kununua magazeti ya kiswahili tupu na elimu yake ikawa bora vilele
kuna mwanalfasa mmoja alisema "lugha unayotumia kuwaza ndiyo itakayokuletea mafanikio"
Happy new year
Dah kaka Lemutuz ni role model katika lipi? Wenda kuna kitu cha kujifunza.
- Sasa hivi live at Bilicanas having fun U know, role model my left foot just KUFWA for me!!
Le Mutuz
Hahaha...
Yaani umepoteza kweli mkuu, Le Baharia ndio role model wako????
:becky::becky:
Dah sijui bora hata huyu!!!!
Kuna mtu alinishangaza kule Ig, eti anamsifia yule shoga mtotowamama, "you are my role model wakuache miaka miaaa"!
Nikajiuliza hivi yawezekana hilo neno role model hatulielewi vizuri na tunalimissuse au? Lol
Le mutuzi hana maadui na kwa umri ule na maisha aliyoyachagua hana cha kupoteza.
Kumchafua le mutuzi Sawa na kujichafua.
- Sasa hivi live at Bilicanas having fun U know, role model my left foot just KUFWA for me!!
Le Mutuz
- Happy New Year, hapa nilikuwa nasherehekea New Year na le mbebezz Super mutindizi Le Jenny at Arusha, Nduruma live from "Camp Davis", U know it was like a baang with the New Year U know we were just having fun and things just enjoying U know, and now I am back at bongo, ok do you have a problem with that? hahahahahah KUFWA for me!!
Le Mutuz
Lol. Kazi ipo
Hahaha...
Yaani umepoteza kweli mkuu, Le Baharia ndio role model wako????
:becky::becky:
Dah kaka Lemutuz ni role model katika lipi? Wenda kuna kitu cha kujifunza.
Yaan nimecheke sana dah jamaaa kaongea kama mbunge Wa ccm aiseee anachukia tabia za role model wake duuu
- Shoga ni lazima ajiseme mwenyewe hasa sehemu kama JF, ukiona mnajadili something else halafu mtu from nowhere anaingiza ushoga ujue ni shoga sasa anatafuta attention hahahahaha, ila unahitaji kumsoma sana between the lines utamjua tu kuwa ni shoga!!
Le Mutuz
labda kwenye kupiga picha na madem Wa watu
[/TD]
[/TD]
[/TD]
[/TD]
[/TD]