Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,642
- Maumivu ya kuachwa unanipa moyo tu kwamba I was right, ndio maana nipo very careful kwenye kuoa tena maana nisije nikaishia kuoa mke mwingine kama wewe, na I thank my God kwamba nilikuacha Imagine kuishi nyumba moja na mke kama wewe hahahahaha pole sana ila mimi hutakuja kuniona tena kwenye your life, it was a mistake nimejifunza ndio maana I am taking my time na the next one wewe endelea na huyo Mume wa mtu, pole sana ila uliyataka mwenyewe!! hahahahaha, I mean mama wa watoto wangu wawili pole sana nawaonea huruma sana hao watoto na ninawaombea kwa Mungu kila siku maana najua dhambi ya mama yao kuwa hawara wa mume wa mtu tena wa dini tofauti ya yako hicho kichumba unachoishi kimejaa dhambi tupu kamuombe Mungu wako akusamehe, ungekwua Mwanamke kweli ungetuafuta bwana siye mume wa mtu, mimi siajwahi ku date mke wa mtu wala mtumzima kama wewe mwenye miaka 50 no way, so pole sana ila it is over!!
- Halafu hayo maneno ya REd yamenichekesha sana hahahahahahahahaha hahahahahah!!, mtoto anayewaka hawezi kuhangaika na waume za watu anakuwa na bwana wake mwenyewe sio Mwanaume apitie London kwanza kwa mkewe ndio akuletee makombo, haha no way mimi sina mke wa mtu NEVER!! na wala sijawahi, pole sana!! ila uliyataka mwenyewe!!
Le Mutuz
Ina maana le mutuz ugomvi wake na mke wake amehuamishia huku jf???