Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)


- Salute Boss, guys ukiona sijakujibu ujue ni below my level, thanks!

le Mutuz
 
- Agreed isipokua pia I am an imperfect creature of God!

le Mutuz


That's correct. IMPERFECTION was inherited... As long as we are humans, we all do wrongs at sometime in life.

Whatever the imperfections might be entailed in Le Mutuz, still your life story imetufunza mengi sana ya msingi hasa sie vijana who are at zero ground hustling from the scratch to chase for our dreams. Binafsi nimefuatilia this life story from top to bottom, na nimechukuamo mengi ya kuzingatia.

Frankly, we live in a dangerous world and we have few good options. But the worst option is to do nothing!
Mkuu, kurudi bongo homeland was the best option to go for. You pulled the trigger with a big shot!
Keep the fire burning in your struggle. Endeleza harakati.

-Kaveli-
 
Sasa tuwafanyeje madingi wa chapa za kina Malecela na Sitta?

Maana wanatuchanganya kwa kupenda papuchi hovyo [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 

Well, thanks ila from mimi mwenyewe ni kwamba:-

1. Binadam pigana sana kulinda akili yako isiingiliwe na binadam wengine ndiyo silaha iliyonifikisha hapa sikuwahi kukubali kumsikiliza anyone na hasa negative people nilikua nawakalia mbali sana. Halafu siku zote nilikua naogopa sana kuwa karibu na wajinga wasiokua na lolote jipya au positive kuhusu maisha, hili somo nilijifunza Primary School nilipoanza kujishirikisha na waliokua na akili ya ubaharia tu!

2. Kwenda Majuu is a good thing lakini swali ni unaenda kufanya nini lazima uwe na mission au goals, now ukishafika Majuu ni muhimu ukachukua muda kujifunza nini unaweza kukipata na nini huwezi, ingawa siku zote kuna ishu ya kabla hujaenda majuu ulikua unafanya nini Bongo? In my case on a serious note nilirudi na kurudia njia zangu zile zile nilizokua nazifanya kabla sijaenda majuu, isipokua nilibadilisha tu mbinu na kuanza kutumia mbinu za akili sana katika kupiga mishe mishe za mjini maana zamani nilipokua nauza siagi nilikua situmii akili nyingi sana.

3. Nilipofika majuu niligundua kua uwezekano wa kurudi na utajiri ni almost zero Wazungu wameijenga system yao ya maisha kuwa so ngumu kwa mgeni kurudi na utajiri, yaani kati ya 100 labda mmoja anaweza kufanikiwa ila kwa matatizo na gharama kubwa sana, otherwise uwezekano wa kurudi na utajiri ni zero, ndipo nikaamua kupigania Elimu ingawa niwe mkweli sikujua itanisaidiaje lakini I just believed in education. So far ni moja ya ngao kubwa sana iliyonisaidia baada ya kurudi cause imenipa nafasi ya kuingia popote hapa bongo bila ya tatizo.

4. Kuwa kool all the times bila kumuonyesha yoyote kua una matatizo, sijawahi kumlilia mtu matatizo au anything au kumpa nafasi mtu ya kuamini maisha yangu yanamtegemea yeye HAPANA! Na sijawahi kumpa nafasi adui ya kumfanya aamini ameniumiza au amenibana in anything siku zote hua hata kama ninaumia siwezi kumuonyesha mtu, hakuna kitu kinamtesa adui kama hicho, sababu ni kwamba nilijifunza siku nyingi kua binadam anapokufanyia ubaya anakua anaongozwa na Shetani ambaye kimsingi Mungu alimyima uwezo wa kujua udhaifu wa binadam ulipo kwa hiyo ukilia lia unampa mwenyewe Shetani nafasi ya kujua udhaifu wako ulipo ndipo huanza kuwekeza mashambulizi yake yote hapo hapo ulipomuonyesha mpaka atakumaliza.

5. Matatizo yako kwenye maisha ni yako pigana nayo mwenyewe usimlilie mtu.

le Mutuz
 
- Mkuu Peter hana hizo tabia he is a koolest guy you have ever met before, ni mstaarabu sana na hana kabisa hizo tabia halafu kama tatizo ni mimi sio yeye, so please topic inanihusu mimi sio Peter

le Mutuz
Sawa mzee. You mentioned Peter, I happen to be a former schoolmate of his, and it brought up bad memories of the dude, which I felt had to be let known. Case closed. Got probs with that nigga?
 
sikuwa na haja ya kujibu but I think you're abusing the legal profession. Lawyers hawana thought za namna hii. you're neither consulted nor hired to act on whom ever behalf...so what's your role?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…