mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Tegeta limtu kitambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Among other things, new Lessons learnt to me:
*USIKAE SEHEMU USIYOTAKIWA. Kubali ukweli and move on.
*Under any circumstances, fight for your PEACE OF MIND. Bora ugali kwa chumvi kwenye amani, kuliko nyama choma vitani.
*VAA IMAGE YA MJINGA UKIWA UGENINI.
*WIFE CAN TURN BEING A KNIFE TO CUT YOUR LIFE! Vijana tuwe extremely careful kwenye kuchagua mke. Pia tuwe mostly conscious kwenye kuishi na mwanamke/mke.
*WHEN YOU LOOSE THE WAY, GO BACK TO THE BEGINNING and start afresh. You can rise again.
Much respect & Salute to you Sir W. J. Malecela for being a soldier of struggles at local & international levels. I can sense an ironic strength in you. Kesho na keshokutwa waweza kuja kuwa miongoni mwa more powerful people in Tz. Who knows!
Long live The King of social media, Le Mutuz Mobimba. Nye Nye Nye!!
God Bless 'Le Mutuz Nation'.
-Kaveli-
- Agreed isipokua pia I am an imperfect creature of God!
le Mutuz
Unataka kumpa?Bamia
Huyo atakuwa case anahangaika baada ya kila kitu kuwekwa waziUnataka kumpa?
Sasa tuwafanyeje madingi wa chapa za kina Malecela na Sitta?Ila all in all baada ya kusoma masimulizi yote ya Le Mutuz Mobimba Nye nye nye ukiacha mapungufu machache nimegunduwa kwamba Mzee Malecela is very weak Man na ni mtu ambaye hakupaswa kuaminiwa hata kupewa ubunge achilia mbali uwaziri mkuu.
Mateso yote ya kifamilia aliyopitia Willy mchawi ni baba yake mzazi mzee Malecela.
Angalieni mfano hai kwa Jakaya Kikwete jinsi alivyoweza kumpa back up kubwa Ridhiwani na siyo mtoto wa Salma Kikwete.
Kitu kikubwa ambacho kimaadili Le Mutuz hawezi kukisema ni kwamba baba yake ni mtu wa kutawaliwa na wanawake.
Kama huyo mzee Malecela angetoka kwenye kabila langu hao kina Dr Mwele watake wasitake wangempa heshima yake Le Mutuz kama kaka mkubwa.
Nahitimisha kwa kusema wanaume msiwape sana vipaumbele wanawake wanaweza hata kukutenga na wazazi wako wakishakushika, na kwa story hii mzee Malecela ni mtu wa hovyo kabisa hapa duniani.
Wazee wasiopenda longolongo haya mambo ya urithi huwa wanagawa hata kabla hawajafa kila mtu anadhibiti chake.
Ujinga huu wa Mzee Malecela pia ameufanya marehemu Samuel Sitta, ana mtoto mkubwa wa kiume siyo wa Magreth Sitta, kosa la mzee hakugawa mali akiwa hai sasa hivi kafa kawaacha wanarogana tu shubamiti.
Hii mizee mingine ni ya hovyo sana.
That's correct. IMPERFECTION was inherited... As long as we are humans, we all do wrongs at sometime in life.
Whatever the imperfections might be entailed in Le Mutuz, still your life story imetufunza mengi sana ya msingi hasa sie vijana who are at zero ground hustling from the scratch to chase for our dreams. Binafsi nimefuatilia this life story from top to bottom, na nimechukuamo mengi ya kuzingatia.
Frankly, we live in a dangerous world and we have few good options. But the worst option is to do nothing!
Mkuu, kurudi bongo homeland was the best option to go for. You pulled the trigger with a big shot!
Keep the fire burning in your struggle. Endeleza harakati.
-Kaveli-
Sawa mzee. You mentioned Peter, I happen to be a former schoolmate of his, and it brought up bad memories of the dude, which I felt had to be let known. Case closed. Got probs with that nigga?- Mkuu Peter hana hizo tabia he is a koolest guy you have ever met before, ni mstaarabu sana na hana kabisa hizo tabia halafu kama tatizo ni mimi sio yeye, so please topic inanihusu mimi sio Peter
le Mutuz
umechafua hali ya hewa MkuuMy tanzania exepeliense
sikuwa na haja ya kujibu but I think you're abusing the legal profession. Lawyers hawana thought za namna hii. you're neither consulted nor hired to act on whom ever behalf...so what's your role?hongera story yako ni nzuri, ila mwanamke wako aisee ni kichwa maji sana. hata hivyo, tumesikia upande wa kwanza, kwetu sisi wanasheria umetuaminisha kuwa mwanamke ni wa aina hiyo, tukisikia upande wa pili nao ulete story yake hapa, usijeshangaa mambo yanabadilika ghafla. kwetu sisi wanasheria, huwezi kuamua kesi kwa kusikiliza upande mmoja, kila mtu ana story yake, lakini kwa harakaharaka, kwa kadiri nilivyoanza kukufuatilia nimeamini wewe huwa unaongea kilichopo moyoni na kuna uwezekano mkubwa ukawa mkweli.....umeshaestablish primafacie case inayohitaji x wako au watu wengine wanaokujua upande mwingine wajitetee ili jamii itoe hukumu kwa either kujifunza au kuwakosoa. but generally, kuna jambo kubwa sala la kujifunza kwenye maisha yako, na kwa mwili wako huo angekuwa mtu mwingine angeshakufa kwa pressure zamani sana, au angeshapata stroke...utakuwa uliumia moyo sana.