Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Story inajichanganya hii, but Kwa huyu mpenda sifa na muongo huwa simwamini 100% maana maneno 10 ya Le Mutuz matatu ndiyo ya ukweli mengine yote pumba
Kimsingi ametowa ufafanuzi wa mgogoro wake wa kifamilia kwa ufupi na kuuweka ukweli hadharani.

Hizo porojo nyingine achana nazo ni sawa na za Magufuli tu, usisahau huyo ni kada hawa huwa uongo ni sehemu muhimu ya maisha yao, ila kwenye simulizi vionjo lazima viwepo ili kukoleza utamu.

Hii inaitwa in good faith.
 
Story inajichanganya hii, but Kwa huyu mpenda sifa na muongo huwa simwamini 100% maana maneno 10 ya Le Mutuz matatu ndiyo ya ukweli mengine yote pumba

- Nilidhani Great Thinkers huwa wanarekebisha uongo kwa kutumia FACTS, au? hahahahaha kwenye hii my American Story kwanza kuna mengi sana sijayaweka ila yatakuwepo kwenye kitabu so tulia usubiri kitabu NITAWEKA YOTE WAZI!

le Mutuz
 
Kwel maana naisi hata makomandoo hawajafkia hyo style yake ya ulalaji

- Ok nilikua natoka Shuleni Saa Nne za usiiku, ninaenda kazi yangu ya USiku kwenye Jumba la Cinema la Co-op City/Bronx ninaingia kazini Saa Tano usiku, nikifika ninalala mpaka Movie ziishe katika ya Saa Saba, ninasafisha Ukumbi kwa lisaa Limoja au Mawili depending na uzuri wa Movie cause kuna siku ukumbi unakua msafi kwa kukosa waangaliaji wengi, Ninalala Kuanzia Saa Tisa naamka Saa Kumi na Moja na Nusu naingia kazini kuendesha Malori,

- Ninatoka kazini Saa Tisa mchana ninarudi nyumbani kulalaa, Saa Kumi na Mbili Jioni naingia Shuleni mpaka Saa Nne, hiyo ndio iliyokua routine ya maisha yangu kwa Miaka karibu 8, ndio maana mpaka leo siwezi kulala zaidi ya masaa 4 na ninaweza kulala mahali popote pale bila tatizo na saa yoyote ile, kwenye my story nimeandika niliyoyapitia tu so ni vigumu sana kwako kutafuta makosa cause hayapo ni maisha niliyoyaishi.

- Ningekua nimeandika uongo popote pale ungewaona Diaspora nilioishi nao USA wangeshajitokeza hapa au my ex, umeona kajaribu jaribu kakimbia!

Thanks.

le Mutuz
 
- Nilidhani Great Thinkers huwa wanarekebisha uongo kwa kutumia FACTS, au? hahahahaha kwenye hii my American Story kwanza kuna mengi sana sijayaweka ila yatakuwepo kwenye kitabu so tulia usubiri kitabu NITAWEKA YOTE WAZI!

le Mutuz
Safi sana mkuu ukiona Mtu hakubaliani na historia yako mwambie aelezee yeye sasa...
 
Nice story God bless you Imma waiting for your book
 
Story inajichanganya hii, but Kwa huyu mpenda sifa na muongo huwa simwamini 100% maana maneno 10 ya Le Mutuz matatu ndiyo ya ukweli mengine yote pumba
Weka huo ukwel sasa kichwa tikiti ww
 
Story inajichanganya hii, but Kwa huyu mpenda sifa na muongo huwa simwamini 100% maana maneno 10 ya Le Mutuz matatu ndiyo ya ukweli mengine yote pumba
Matatu mengi. Maneno yake kumi moja ndio la ukweli
 
- Nilidhani Great Thinkers huwa wanarekebisha uongo kwa kutumia FACTS, au? hahahahaha kwenye hii my American Story kwanza kuna mengi sana sijayaweka ila yatakuwepo kwenye kitabu so tulia usubiri kitabu NITAWEKA YOTE WAZI!

le Mutuz
Kitabu au kijarida
 
Wanakujua ni one stupid big liar with a pinky finger sized dic.k so no muda wa kupoteza kwako
 
- hahahahaha bonge la jibu hahahahaha!

le Mutuz
Hahhaha yani unashindwa hata kufatilia posts zangu kuona kama zinaendana na uyo yur ex or not hahaha na bado unajiita akili kubwa.... nahisi akili zako ni ndogo kuliko ako kakibamia chako
 
Hahhaha yani unashindwa hata kufatilia posts zangu kuona kama zinaendana na uyo yur ex or not hahaha na bado unajiita akili kubwa.... nahisi akili zako ni ndogo kuliko ako kakibamia chako
We kyuma mnuko siufanye yako maalaya wakimboka ww,sasa kama humjui kwan umfuatilie wakat hakupendi?Kama hupendwi tafuta wakukupenda kiss me kirefu ww.
 
We kyuma mnuko siufanye yako maalaya wakimboka ww,sasa kama humjui kwan umfuatilie wakat hakupendi?Kama hupendwi tafuta wakukupenda kiss me kirefu ww.
Wewe choko mbona hujaquotiwa wewe unawashwa kujibu. Au we ndio kibamia mwenzake daudi bashite? Pumbavvvv
 
Mkuu Matola , Mapadre na Masister wapo Kanisa Katoliki na wao ndiyo wanaolawiti vitoto vidogo. Mimi binafsi siyo "Mkatoliki". Lakini nafikiri hao wakatoliki wameupata ujumbe wako.

By the way, ushauri wangu ulikuwa ni kwa ajili ya Le Mutuz na siyo wewe. Kama binti yake anafanya hayo uliyoandika wewe, hii ni juu yake mwenyewe. Kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe!
 
Huyu mbaba yeye mwenyewe is not taking himself serious, mikaputula, unene uliokithiri, mdomo Mchafu etc, sasa hata mtoto wake anamtukana, ni aibu sana kwa mzee malecela, kuwa na humpty dumpty kama huyu
 
I'm not fan of him(lemutuz) but ukiangalia vizuri ile comment ya Instagram inatia mashaka, kuna tatizo kwenye grammar ambapo mtoto aliyezaliwa na kukisoma tangu miaka ya mwanzo wa maisha yake kingereza hawezi kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…