- Mtoto hakupandikizwa Chuki hapana ni ujinga tu wa my ex, unajua ukiwa na chuki sana unakua huwezi kufikiri tena sawa sawa kwenye kulilia Divorce alidanganywa na wenzake by the time anakuja kugundua kua amekosea it was too late inahuzunisha sana ila sina la kumsaidia.
- Cha ajabu ni kwamba nilikua ninajaua toka mwanzo kwamba hajui analolifanya na baadaye atakuja kulia, leo miaka 7 baada ya na ameolewa lakini bado anahangaika na mimi, ananifuatilia kila mahali na ID za uongo mpaka inasikitisha sana.
le Mutuz Superbrand