jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Hahahaha vya kurithi ni vikali kinoma na huwa vinazidiLabda mida hii ila 3 hours ago nilim DM .kamkosea sana le baharia, ila nadhani mama yake naye ka play role ya kuweka chuki kwa watoto
Baharia anahitaji matibabu tu
By the way hata mwanae anapenda wabebezView attachment 871631
Aisee walisema kuishi kwingi ni kuona kwingi. Yale matusi kumtukana baba mzazi ni kikomo cha uvumilivu. Lakini bado huwa nasisitiza. Internet ni sehemu inayoweza kumharibu mtu akabakia kama jivu isipotumiwa kwa uangalifu. Dogo anaonekana amekulia yale mazingira ya ki-black american 100%.Hii issue ya AGAPEO mbona naona imezimwa kila sehemu kuanzia JF hadi kwa Mange post zimefutwa kama ZOTE.
Nimejifunza kitu kuna jmaa yangu alikaa huko kwa trump yapata 10 yrs alikua anabukua!! sasa akawa ananipa story kuhusu blacks na tabia zao!! japo alikua anapata mazali ya bebez za kizungu kumpenda na nini!! nikamwambia jilipue kwa totoz moja ya kizungu..Lakini mwisho wa siku akaja kuoa zake tanzania!! na yupo zake huku.
Anasema Marekani atakua anaenda kutembea na sio kupiga job anasema na kodi ipo juu sana na pia alikua anamis sana vyakula vya asili huku, mbuzi choma, e.t.c !! anasema kama atafanya kazi ataenda nchi zingine.
Kumbe states Noma!! brazaa lemutuz hongera sana Umepigana sana na life ya kule!!
Big up brother !!- Sasa tumeuza vitabu 900 wanasema ni record, na tunaendelea soon nategemea kwenda nje kuviuza zaidi.
le Mutuz Superbrand
Big up brother !!
You are humbled you know ha ha ha ha ha.- Sasa tumeuza vitabu 900 wanasema ni record, na tunaendelea soon nategemea kwenda nje kuviuza zaidi.
le Mutuz Superbrand
Mkuu siku ukikutana na hawa mablack hutawaelewa hata kidogoI'm not fan of him(lemutuz) but ukiangalia vizuri ile comment ya Instagram inatia mashaka, kuna tatizo kwenye grammar ambapo mtoto aliyezaliwa na kukisoma tangu miaka ya mwanzo wa maisha yake kingereza hawezi kufanya.
You are humbled you know ha ha ha ha ha.
Mkuu siku ukikutana na hawa mablack hutawaelewa hata kidogo
Mkuu siku ukikutana na hawa mablack hutawaelewa hata kidogo
Yani inasikitisha sana,mtoto anaonekana amepandikizwa chuki sana na mama,haya ndo madhara ya utengani mkuu,songa mbele.- Ok kama ni mtu uayefuatilia JF tthen unajua matusi yale ni ya Mama ambaye amekuwa akitukana hapa kwa muda mrefu sana, on a serious note yule mama ni wa kumuombea kwa Mungu kwa sababu niambie ni nani atamuajiri yule mtoto wakati matusi yapo kwa jina lake? huzuni sana
le Mutuz Superbrand
- Ok kama ni mtu uayefuatilia JF tthen unajua matusi yale ni ya Mama ambaye amekuwa akitukana hapa kwa muda mrefu sana, on a serious note yule mama ni wa kumuombea kwa Mungu kwa sababu niambie ni nani atamuajiri yule mtoto wakati matusi yapo kwa jina lake? huzuni sana
le Mutuz Superbrand
Una mawasiliano na wanao? Yaani yale ya baba na watoto?
Yani inasikitisha sana,mtoto anaonekana amepandikizwa chuki sana na mama,haya ndo madhara ya utengani mkuu,songa mbele.
- Ukisoma kitabu maelezo yote yapo very clear tafuta kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE"
le Mutuz Superbrand
So mchezo,unajua kuna baadhi ya wanawake wanaakili fupi,akili za kushikiwa ..anafanya kitu cha kipuuzi alafu anakuja kujutia baadae.- Mtoto hakupandikizwa Chuki hapana ni ujinga tu wa my ex, unajua ukiwa na chuki sana unakua huwezi kufikiri tena sawa sawa kwenye kulilia Divorce alidanganywa na wenzake by the time anakuja kugundua kua amekosea it was too late inahuzunisha sana ila sina la kumsaidia.
- Cha ajabu ni kwamba nilikua ninajaua toka mwanzo kwamba hajui analolifanya na baadaye atakuja kulia, leo miaka 7 baada ya na ameolewa lakini bado anahangaika na mimi, ananifuatilia kila mahali na ID za uongo mpaka inasikitisha sana.
le Mutuz Superbrand
So mchezo,unajua kuna baadhi ya wanawake wanaakili fupi,akili za kushikiwa ..anafanya kitu cha kipuuzi alafu anakuja kujutia baadae.
Fanya mpango mwanao umuweke karibu yako mkuu.
Sasa ujinga ambao alifanya anajutia huko aliko.- Mwanamke aliambiwa na alishauriwa na kila mtu kwamba anafanya makosa lakini akaamua kuwamaini marafiki zake wanaompoteza, Familia yake mwenyewe ilikaa chini na kumtaka arudi kwenye ndoa akawasikiliza wenzake, ndugu yangu sasa it is too late.
le Mutuz Superbrand