Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Yaani imebidi niisome hii story yote!
Inasikitisha sn,nilichojifunza, usihukumu!
According to maelezo,huyu alizaliwa kabla Mzee hajaoa nafikiri! So mke wa ndoa alimkuta huyu!
Though kweli walikuwa marafiki sn kutokana na maelezo ya marehemu!
Ila kweli Mzee ndo alizingua aiseee, yaani miaka hiyo ushindwe kumlea mtt ,Tena kiongozi? William alikosa upendo kutoka Kwa wazazi wote, very sad
Labda alilogwa aisee!
Haya wanawake wenyewe wote chali na watt wanapukutika km hivi.
 
Eeebhana ee Kuna episodes nikibofya napelewa chini kabisa kwenye comments,, nakwama wapii?
 
Sisomagi hadithi za itaendelea lkn hii nimesoma yote.Nimemuelewa.
 
Mzee wake alizingua sana

Ova
 
mngempa maua yake akiwa hai huu mnaoleta ni unafiki achen u snitch
 
Nakubaliana kabisa huyu alikosa mapenzi ya wazazi.
Wazazi wote walishindwa kusimamia nafasi zao kwa mtoto wao.
Pumzika kwa Amani Lemutuz.
Leo ndo nimesoma story yako hii,hakika hata kama ni upande mmoja kama wengi wanavyodai,bado penye shida panaonekana kwa matokea ya tabia ya watoto kwa baba yao.
 
Unajua ndugu mifarakano na wakati mwingine vifo katika familia mara nyingi kuna mambo mengi yanakuwa nyuma yake lakini nikuhakikishie asilimia kubwa husababishwa na kukosa uaminifu kwenye ndoa, mimi na ndugu zangu baba zangu wakubwa fimilia zao zmesambaratika kwasababu ya haya mambo .

Tujitahidi kuwa waaminifu kwenye ndoa zetu hakika maugomvi na visasi vitatuepuka.
 
Kitu ambacho shetani alifanikiwa pale bustani ya eden na ni faida kwake mpaka leo ni kuwafitinisha binadamu na ukiangalia duniani leo ni binadamu wenyewe KWA wenyewe wanadundana bila kujitambua yeye mwenyewe kakaa pembeni.Angalia ukraine ..sudan n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…