Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Yaani imebidi niisome hii story yote!Labda hapo mwisho umemalizia vizuri, all in all Mzee alianza kuvuruga familia ya kwa tamaa yake, hivi kulikuwa kuna sababu gani ya msingi ambayo ilipelekea Mzee kuwa na mahusiano na rafiki ya mke wake ili hali anandoa tayari? Hakuona hili lingeleta mpasuko kwenye familia yake?.
Inasikitisha sn,nilichojifunza, usihukumu!
According to maelezo,huyu alizaliwa kabla Mzee hajaoa nafikiri! So mke wa ndoa alimkuta huyu!
Though kweli walikuwa marafiki sn kutokana na maelezo ya marehemu!
Ila kweli Mzee ndo alizingua aiseee, yaani miaka hiyo ushindwe kumlea mtt ,Tena kiongozi? William alikosa upendo kutoka Kwa wazazi wote, very sad
Labda alilogwa aisee!
Haya wanawake wenyewe wote chali na watt wanapukutika km hivi.