Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Mali zake inakuwaje sàsa baada ya kufariki.
hahahahahaa, eti mali,
mwezi huu mwanzoni tukaenda kufungua chumba alichokua anaishi ,
lahaula tumekutaka mashati makubwa makubwa, na kanzu kama 7 hivi na sandals za aina kama nne.

kifupi tumekuta ana mawani 9 za rangi mbali mbali,
tumekuta ana CD za music wa Congo box zima, na zaidi ya yote tumekuta ana kiboxi cha pipi kifua .

kifupi hizo ndio mali alioacha duniani
 
Duh
 
Chai
 
Le Mutuz katufundisha mengi.

Wanasema don't judge a book by its cover.

Le Mutuz alikuwa na akili nyingi sana, tulimchukulia poa tu.
Wewe ndo ulimchukulia poa, wengine tulimzingatia kitambo.

Nyinyi nawafananisha na mliomchukia Magufuli mkijua akiondoka mtapata ahueni, leo mnalia.

Nilichogundua watanzania wagumu kuvitambua vitu vizuri mapema
 
Le Mutuz katufundisha mengi.

Wanasema don't judge a book by its cover.

Le Mutuz alikuwa na akili nyingi sana, tulimchukulia poa tu.

Alikua na akili mingi? Are serous mkuu?

Au ulidanganyika na maisha yake ya sinema ya kwenye sicial media?

Le
 
Wewe ndo ulimchukulia poa, wengine tulimzingatia kitambo.

Nyinyi nawafananisha na mliomchukia Magufuli mkijua akiondoka mtapata ahueni, leo mnalia.

Nilichogundua watanzania wagumu kuvitambua vitu vizuri mapema

Aiseee
 
Hii narration nimeipenda, uandishi huu ni mgumu kidogo kuufuatilia na kuelewa mwandishi anamaanisha nini,ila inabidi uwe na abstractive mind kuweza kuelewa hasa linapokuja suala la mwanamke anavyobehave wakati wa kumuacha strong man na kuwenda kwa spare man and the vise versa
 
"sikumuambia kitu my ex ambaye alikuja kugundua yote na kuomba sana radhi kwangu kitu ambacho kilikua ni kawaida sana in our marriage tatizo kubwa ni we were too far apart at Uwezo wa kufikiri na kuona mbali au kukubali ukweli unapotokea ambalo ni tatizo langu namba moja KUKUBALI UKWELI"

Nimeipenda quotation hii
 
Enzi zako Shark
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…