Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Mali zake inakuwaje sàsa baada ya kufariki.
hahahahahaa, eti mali,
mwezi huu mwanzoni tukaenda kufungua chumba alichokua anaishi ,
lahaula tumekutaka mashati makubwa makubwa, na kanzu kama 7 hivi na sandals za aina kama nne.

kifupi tumekuta ana mawani 9 za rangi mbali mbali,
tumekuta ana CD za music wa Congo box zima, na zaidi ya yote tumekuta ana kiboxi cha pipi kifua .

kifupi hizo ndio mali alioacha duniani
 
hahahahahaa, eti mali,
mwezi huu mwanzoni tukaenda kufungua chumba alichokua anaishi ,
lahaula tumekutaka mashati makubwa makubwa, na kanzu kama 7 hivi na sandals za aina kama nne.

kifupi tumekuta ana mawani 9 za rangi mbali mbali,
tumekuta ana CD za music wa Congo box zima, na zaidi ya yote tumekuta ana kiboxi cha pipi kifua .

kifupi hizo ndio mali alioacha duniani
Duh
 
hahahahahaa, eti mali,
mwezi huu mwanzoni tukaenda kufungua chumba alichokua anaishi ,
lahaula tumekutaka mashati makubwa makubwa, na kanzu kama 7 hivi na sandals za aina kama nne.

kifupi tumekuta ana mawani 9 za rangi mbali mbali,
tumekuta ana CD za music wa Congo box zima, na zaidi ya yote tumekuta ana kiboxi cha pipi kifua .

kifupi hizo ndio mali alioacha duniani
Chai
 
Le Mutuz katufundisha mengi.

Wanasema don't judge a book by its cover.

Le Mutuz alikuwa na akili nyingi sana, tulimchukulia poa tu.
Wewe ndo ulimchukulia poa, wengine tulimzingatia kitambo.

Nyinyi nawafananisha na mliomchukia Magufuli mkijua akiondoka mtapata ahueni, leo mnalia.

Nilichogundua watanzania wagumu kuvitambua vitu vizuri mapema
 
Le Mutuz katufundisha mengi.

Wanasema don't judge a book by its cover.

Le Mutuz alikuwa na akili nyingi sana, tulimchukulia poa tu.

Alikua na akili mingi? Are serous mkuu?

Au ulidanganyika na maisha yake ya sinema ya kwenye sicial media?

Le
 
Wewe ndo ulimchukulia poa, wengine tulimzingatia kitambo.

Nyinyi nawafananisha na mliomchukia Magufuli mkijua akiondoka mtapata ahueni, leo mnalia.

Nilichogundua watanzania wagumu kuvitambua vitu vizuri mapema

Aiseee
 
View attachment 702927
PART 47:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"


Ninarudia tena unapokua kwenye matatizo ya msongo wa mawazo hakuna binadam mwenye Uchawi wa kukusaidia kuondokana nao kwa haraka ni kwamba binadam tumeumbwa na uwezo tofauti wa kufikiri..binafsi maisha niliyokulia yalinifanya nijifunze mapema namna ya kukubali ukweli sijawahi kuukwepa wala ku ignore the truth never! ndio maana mimi huwezi kuniona wala kunikuta popote nisipotakiwa. Sihitaji kuambiwa nikishaziona dalili natafuta njia ya kujiepusha haraka sana hua kuna maumivu lakini kwa kawaida ni madogo sana kulinganisha na ya kuukataa ukweli..

Wanawake siku zote huwa kuna binadam mmoja wanayemtegemea sana na hua ni Mwanamke mwenzao wanayemuambia siri zao zote wanapokutana na a strongman huwa wanafurahia sana lakini only to come and realize kua he is too strong hana makosa mengi so ni vigumu kumtawala so huanza kutafuta ushauri kwa wenzao ghafla Mwanaume waliyekua wanamsifia kua ni mzuri sana kwa ajili ya kutafuta support au justifications za kumuacha kwa sababu ni too strong to be Controlled wataanza kukutengenezea kesi kwa yule wanayemuamini mwisho watapata support wanayoitaka na kuanza kuongea na Spare ..

Now seriously a spare man hana kazi sana zaidi tu kuonyesha huruma kwa Mwanamke ambaye anatafuta Comfort. Atajifanya kushangaa sana jinsi yule strongman anavyom treat na kwamba yeye hawezi kumfanyia vile. Now kwa vile Mwanamke ameshasema mwenyewe asiyotaka na anayotaka kufanyiwa , spareman atapigana kuhakikisha anayafanya hata kama sio tabia zake cause in the quest ya kum prove wrong a strongman Mwanamke ataingia gharama yoyote hata kutumia pesa kuwa na spareman. ....

Siku zote ni a temporary thing cause Mwanamke aliyezoea kuwa na strongman hawezi kuishi na just a spareman HAWEZI sooner or later ataanza kumkumbuka a strongman cause ni almost impossible to replace a strongman with a Weak man isipokua kuna tatizo la EGO Mwanamke wenye akili atagundua kua alifanya makosa na kutafuta njia ya kumrudia a Strongman au kutafuta mwingine strongman lakini mwanamke mjinga ataongozwa na ego na kujifanya yupo Happy na spareman lakini ataanza tabia za kunywa pombe sana na kufuatilia kila siku habari za Mwanaume wake wa zamani! ..ITAENDELEA
Hii narration nimeipenda, uandishi huu ni mgumu kidogo kuufuatilia na kuelewa mwandishi anamaanisha nini,ila inabidi uwe na abstractive mind kuweza kuelewa hasa linapokuja suala la mwanamke anavyobehave wakati wa kumuacha strong man na kuwenda kwa spare man and the vise versa
 
sikumuambia kitu my ex ambaye alikuja kugundua yote na kuomba sana radhi kwangu kitu ambacho kilikua ni kawaida sana in our marriage tatizo kubwa ni we were too far apart at Uwezo wa kufikiri na kuona mbali au kukubali ukweli unapotokea ambalo ni tatizo langu namba moja KUKUBALI UKWELI
"sikumuambia kitu my ex ambaye alikuja kugundua yote na kuomba sana radhi kwangu kitu ambacho kilikua ni kawaida sana in our marriage tatizo kubwa ni we were too far apart at Uwezo wa kufikiri na kuona mbali au kukubali ukweli unapotokea ambalo ni tatizo langu namba moja KUKUBALI UKWELI"

Nimeipenda quotation hii
 
View attachment 703661
PART 60:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Picha hii kabla sijaoa I was a Happy man ...My ex alinijibu kua roho mbaya ni ya Mama yake mzazi Baba yake hakua nayo I mean binadam wote tuna Good side and Bad ila kuna wengine Shetani anawazidia like my ex ..I am not standing here na kujifanya mkamilifu HAPANA ninayo mapungufu na kubwa lililokua linamkera sana my ex ni uwezo wangu wa kujua mambo mengi sana nina uwezo wa kuona dalili na kutoa tahadhari kwa litakalofuatia.

Kwa mfano kuna wakati tulikua na House Girl mbongo siku moja akaamua kutoroka hakurudi tena nikamuonya my ex usimuongelee negatively kwa yeyote cause habari zitamfikia tu kwa sababu hatukua tunamlipa kama Sheria ya USA inavyotaka anaweza kutingiza matatani ...my ex kama kawaida hakusikia maana mimi najifanya najua sana siku moja kuna Mama mmoja wa kizungu akapiga simu ya nyumbani kumuulizia kuwa mbona hamuoni tena na alikua anamsafishia nyumba my ex akaanza kumuongelea negatively kua katoroka anatafutwa na Uhamiaji na maneno mengi sana yasiyohusu ..

kumbe yule Mama ni Mwanasheria wa Haki za Binadam baada ya siku 3 yule House Girl alienda kumsafishia nyumba mama wa kizungu akamuambia yote yaliyosemwa na my ex ohhh my God msichana kwa panic akaanza kufunguka kila kitu hasa kuhusu malipo mzungu akampigia my ex na kumtaka afike ofisini kwake anataka kutufungulia kesi my ex akanificha lakini bahati nzuri msichana mmoja mbongo alikua anajua yule House Girl alipo walikua close yule msichana akanishitua kuhusu kilichojiri nikamuomba amuite yule House Girl nikutane naye akatoa sharti nisije na my ex nikakubali tukakutana nikamuomba sana radhi akaniambia kama isingekua wewe mke wako angeshika adabu.

Akaniambia nimetoroka kwa sababu ya mke wako mvivu mno.well nikaenda naye kwa mzungu akamuomba amsamehe mke wangu kwa niaba yangu Mama wa kizungu akanionya niongee na my ex tusirudie tena kuleta House Girl nikamshukuru sana Mungu ila sikumuambia kitu my ex ambaye alikuja kugundua yote na kuomba sana radhi kwangu kitu ambacho kilikua ni kawaida sana in our marriage tatizo kubwa ni we were too far apart at Uwezo wa kufikiri na kuona mbali au kukubali ukweli unapotokea ambalo ni tatizo langu namba moja KUKUBALI UKWELI

..ITAENDELEA

Enzi zako Shark
 
Back
Top Bottom