Mimi nina kaexposure flani vilevile, Le Mutuz atasema sehemu ya ukweli lakini si ukweli wote, ila kiukweli kabisa child support inaweza kuwa ni moja ya sababu ya yeye kukimbia Marekani.
Kwa sababu kazi aliyokuwa anafanya Le Mutuz kwa level za Watanzania janjajanja alikuwa na kazi nzuri sana yenye mshahara mzuri sana huu ndio ukweli ambao watu wote ambao hawajatembeatembea ningependa waujuwe kama walikuwa hawaujui ukweli huu.
Ila mchizi nadhani mtu ambaye alipaswa kuwa mfariji wake mkuu lakini kamzinguwa ni mke wake Neema Ngwilulupi, ila hapa ni pagumu sana, kwenye ndoa kumjuwa nani tatizo ni lazima ukae na wote wawili uwasikilize ndio unaweza kujuwa nani ni tatizo.
Huyu mimi huwa simzimii namuona mpumbavu kupita maelezo, huwa anadiriki kumtukana Freeman Mbowe kisa siasa uchwara wakati ndio age mate wake na washkaji zake, wakati kwenye siasa za Mbowe sijawahi kumuona akifanya personal attacks hasa kwa washkaji, huyu jamaa ni wa kumsamehe tu sometimes ana tatizo la kisaikolojia.