Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Mimi huwa nashangaa,kwanini watu huwa wanamdiss huyu jamaa..
Ni poor judgement of peoples.
Huwezi kumpangia mtu aishi vipi,akiamua kujimwaga freestyle ni yeye,maisha ni mafupi sana na ukifa ndo grand finale,hakuna kurudi,
nilianza kumjua kupitia facebook ,kipindi akiwa New york,
alikuwa anapiga kazi mno,utasikia niko bronx,hujakaa sawa anaupdate yuko downtown manhatan,
mara new jersey, etc,busy busy,

wiliam ni mpambanaji na hiyo ndo Legacy yake
 
Huyu jamaa KAMBA SN,, ameleta story za VIJIWENI,, ANA ACT ni yeye.,, USITUDHALILISHE SEAFARERS,,, hukuwahi kupanda meli,,, wala kufanya kazi melini, wacha FIX
Uongo wake ume kuathiri nini mkuu km kaamaua kuchangamsha kijiwe it's ok! in all hatupo hapa ku judge maisha ya mtu alio chagua kuishi tusubirie story km Shigongo sawa km kweli kikubwa ume jifunza nini!?
 
Ushasafiri kuishi nje we mpuuzi .
Le Mutuz ana family na watoto huko US.
Mkiachana kisheria mke anamilikishwa kila kitu alee watoto.
We unatolewa live kwako na bado unapigwa palanja asilimia kadhaa za mshahara anapewa yule ex.
ndo mana mkubwa Le alisoma alama za nyakati akarudisha majeshi
kwa hiyo child support inakomba mshahara wako wote?...acha uongo wewe
 
Nothing to learn from this made stories,inaonekana at some points huyu jamaa alicheza na maisha,la pili atuambie alikuwa wapi siku zote mpaka amekua babu ndiyo anataka kuoa?
Kwani mtu huwezi kuishi bila kuoa mbona wengi tuu mtaani wahawana Time na hizo ndoana
 
Big mind discuss ideas, medium mind discuss events, small mind discuss people !
-Great Thinkers Protocol
Wachache waliochangia humu wameDiscuss events za kuhusu hiyo story ya le mutuz iliyoletwa humu ila ni 85% ya watu wote waliochangia humu wamemDiscuss lemutuz( as discussing people).
Thanks haina haja ya kusema ni wa watu wa mind ya namna gani hapo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
small minds wamesema; lemutuz kibamia, etc hiyo ya kibamia ndio noumer zaidi [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,
Big minds leteni ideas basi
Cc. Big minds & great thinkers
 
tatizo kubwa la le mutuz anaishi chini kivuli cha ya matatizo ya kifamilia.......hizo digrii tatu alizitafuta sio kwa ajili ya kumake life bali ni kwa ajili ya kuionyesha familia ya mama yake akina dr.Mwele kwamba na mimi nimesoma kama nyie inferior complex ndio ilimsukuma kutafuta hizo digrii......haiingii akilini uwe na degree 3 tena za US ushindwe kuzifanyia kazi ....tungetegemea kwa influence ya baba ake ukichnganya na madegree yake sasa hivi jamaa angekuwa CEO wa moja ya makampuni makubwa hapa TZ!
Ila nahisi akuhitaji mbeleko ndio maana kajichagulia njia yake mkuu.
 
Ndugu Yangu haya mambo ya kubet yameharibu kabisa ubongo wa vijana wetu ukiondoa na ule uvivu asilia.... hajui watu wanafanya kazi tofauti tofauti huko duniani kwa masaa 23 na analala only one hour.
Yeye akilala saa sita usiku baada ya kutoka kubet anaamka kesho yake saa nane mchana anaenda kubet akitoka hapo pull table mpaka saa sita tena.

Sad.
Hahahah
Daah na sasa nasikia kuna biko na 3mzuka huko mtaani
 
Back
Top Bottom