Ni kweli kabisa mkuu. Wabinafsi ni rahisi sana kuhukumu wengine bila sababu za msingi.Umenena vema mkuu achana na watu wasiokuwa na exposure hao, wamekariri maisha. Mtu anashindwa kujiuliza baba yake alikuwa mtu kubwa TZ lkn anabeba box ulaya, Lzm kunachangamoto alikuwa anakutana nazo. Wataalamu wa saikolojia wangeweza iweka sawa hii
Safiiiiiiiiiiiii sana. Unaendelea kutoka pale alikokuficha.PART 15.- "MY AMERICAN EXPERIENCE"
was a Nigga trying to be someone l was not Wabongo tumezoea kuwaona Niggaz kwenye Cinema na Video za Music wakiwa potrayed as kool kumbe ni Uongo wa ajabu sana pole pole nikaanza kugundua ukweli kuhusu Niggazz kumbe ndio maana Bezo alinipenda sana alikua anajua siri ya Niggaz so alijua mimi kua Muafrika nina tabia tofauti na Niggaz guys ukweli ni kwamba Niggaz asili yao ni Utumwa sisi wabongo hatujawahi kuchukuliwa utumwa.
to their level so hatujui madhara yake kumbe Niggaz mpaka leo bado hawaja recover from kupelekwa utumwani kwa Babu zao mpaka leo bado wanacho kivuli kinawasumbuan bila ya kujijua.
nikagundua Wazungu wamewavuruga sana ndugu zetu Black Americans HAWAJITAMBUI kabisa waliwapa uhuru wa uongo ila kisaikolojia jamaa ni Watumwa mpaka leo on a serious note Nigga is a Nigga good for nothing hawafanyi kazi kabisa cause Wazungu wanawapa Social Checks kila ljumaa malipo ya kuishi bure wana nyumba maalum wamewajengea so wapo wapo tu nimasikini sana wa Mali na Akili
wana roho mbaya sana na wivu na nikagundua kwamba hata pale Maskani majority ni Jamaicanl Americans na ndio waliokua wananipenda sana knowing that mimi sio Full Nigga ambao kazi yao ni matatizo na Polisi kila siku na kulala Rumande ikafikia mahali mimi peke yangu ndio nilikua sijakamatwa hata siku moja wengine wote walishakamatwa kila siku in and out nilipigwa na mshangao wa why Wazungu wanatuletea hizi American Culture Africa.
ambayo wao wenyewe waZungu they dont even touch it cause unakuta Video na Cinema nyingi zina tukuza kuwepo Jela kama vile ni fun wakati it is not na misuruali kiunoni lakini hukuti mzungu anafanya huo upuuzi never i mean unakuta watoto Weusi wanacheza basketball mchana mzima mtaani watoto wa wazungu wapo Shule.
now niggazz wakaanza kunionyesha their otherside of character wakawa wanapigana ili na mimi nikamatwe nilale umande kama wao lakini I was too smart for them na Bezo alishaniambia mapema now kwa sababu yan tabia yangu nzuri ya kibongo Mabebezz wao wakaanza kumiminika wenyewe infact kuna time wale Vijana walikua wananibembeleza ni date dada zao ..hahahaha... I mean exciting nikaanza kumpenda mbebz Janicee! ...ITAENDELEA!
Hawajui hawa.Mkuu jifunze kufikiria nje ya box, wapo wengi ambao kwao maisha mazr lkn wanaishi maisha magumu, nyuma ya pazia kuna sababu. Hicho ndo unapaswa kukistudy hapa
Indeed, its interesting and educative. Only if one is reading with an open mind.Young bucks, you can learn a few or two from this story. Pay attention and stay put...Shaka Zulu is on deck.
Indeed madam. It's unfortunate most of these young bucks nowadays they're good for nothing.Indeed, its interesting and educative. Only if one is reading with open mind.
I was almost about to ask the same thingAssistant Engineer = Ofisa wa Meli ndani ya meli?..#am humble you know..
Niilishahisi Le Mutuz hana uhusiano mzuri na akina Dr. Mwere na kwa simulizi hii, niki-connect na line za mama zao, siwezi kushangaa.
Baadhi ya wamama wa kambo wenye fikra za kimaskini hulea watoto wao kwa namna wawaone watoto wa mama mwingine kama ni threat kwao.
Na kama ni kweli Mama Mwere alimpora mume/bwana mama Le Mutuz wakati walikuwa marafiki, basi ni very possible chuki ya wanawake wawili walionyang'ana bwana kuhamia kwa watoto!!
Na kama baba ukiwa mdwanzi, au kv mshua mwenyewe ndo vile tena huenda alikuwa busy na shughuli za serikali (Le Mutuz been genius enough not to blame his dad) basi possibility ya kukutwa na yaliyomkuta Le Mutuz ni possible kwa sababu huenda mshua alikuwa wala hafahamu nini kilikuwa kinaendelea skani!!
Hayo mengine namwachia mwenyewe lakini kama aliyosema kuhusu family matter ni kweli basi ni possible Le Mutuz ni matokeo ya family bullying!
Hpa akabakiwa na option mbili... ama ageuzwe kuwa like houseboy asiye na mtetezi ndani ya nyumba ya baba yake mwenyewe au asepe!!
Hata hivyo, inawezekana pia Le Mutuz alikuwa Nuda kupita kiasi to the point he's a family shame!! Na kama anamsingizia Mama Mwere, basi Mungu anamuona!
Hata mimi na-salute hustle zake including hizi za kidijitali!!
Lakini hata hilo la ku-save sana na kurudi Bongo bila kitu, issue muhimu hapo ni ku-save! Unarudi na kiasi gani inategemea ulikuwa unaingiza kiasi gani manake hicho ndicho kita-determine kiasi unacho-save . Unaweza ku-save sana lakini kama kipato chenyewe ni kidogo basi hata kile unacho-save hakiwezi kuonekana sana!!
Lakini kama nimemuelewa... ni kwamba amesema "ali-save sana" ili akapige shule!
Hey, don't forget, jamaa ana madigrii matatu!!!
Melini kuna Chief engineer, sasa huyo Le mbebez alikuwa Asistant, siyo nafasi ndogo kwa structure ya vyeo vya melini ukianza na captain, ABC then Chief engineer.I was almost about to ask the same thing
Nikaogopa kuitwa mchochezi!
#am humble you know
Umemuumbua.. njia ya muongo kweli ni fupiAnasema zamani kulikua kilikuwa hakuna digree ya leseni ok
Lemutuzi mwisho wa hayo ma digree ilikuwa miaka ya 1972
Kwa hiyo hadi umalize standard 7 na secondary kisha chuoni kwa hiyo umezaliwa mwaka 1956
Huyu jamaa ni babu wa miaka 57 kutokana na story yake ya chuo cha ubaharia
Swissme
story haijafika mwisho lakini kuna kitu najifunza kwa huyu mtu
1. alitumia nafasi ya baba yake vizuri kiasi bila kuwa na utegemezi wa 100% tofauti na kama mimi mzee wangu angekua malechela nisingekaa nilale hata guest ya bei chee sembuse warehouse
2. Mpaka sasa hajalaumu sana familia yake amegusia kidogo umama wa kambo lakini hajaonesha athari za waziwazi kwenye maisha yake
3. kwa kiasi ni mfano wa kuigwa kwa watoto wa viongozi wengine kwa namna alivyohastle.
4. Naona hata now anauwezo wa kuwa billionaire kwa namna asivyo na aibu wa kujali he can do anything... ingawa mara nyingi mtu asiyekuwa na aibu busara yake inakua ndogo kiasi.
CHA KUNISHANGAZA...
Inaonekana jamaa jamaa alikua mdogo sana kipindi ambacho kwa Mimi tayari nilikua na mtoto kwa sababu ya hamu za ujana ...so jamaa hajaelezea hata nukta ya maisha yake ya mahusiano ....
Kingine kinachonishangaza kwa maelezo yake ukipiga hesabu alipotoka baharini alikua na pesa ndefu coz alikua havuti wala hanywi na misosi yote ni ya bure kwenye meli...lakini ni kama alianza moja from kwenye treni..sasa najiuliza alikua anasave how...labda sijaelewa..baharia mwaka mzima huna mpango na mwanamke ni hatari kidogo
Inasikitisha mno mkuu, waTz wengi huwa wanafurahia matatizo ya wenzao. Binafsi baada ya kusoma comments za wengi naona wengi wanajibu kwa kufuata mkumbo sidhani kama hata wanareason kidogo maana huwezi kosa kitu positive kwenye hii simulizi. Mimi namkubali lemutuz kwa kuwa haishi kinafiki ameamua kuishi anavyopenda yeye.
Muulize ebuekwa hiyo child support inakomba mshahara wako wote?...acha uongo wewe