hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaaa aiseee yakupasa utambue kuwa huyo NI mtu wawapi ..ile genocide imemuachia athari kichwaniMaan uyu Dada kakaa kishari Shari mda wote kam tupo somalia bhana ,kumbe tunarefresh akil jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaa aiseee yakupasa utambue kuwa huyo NI mtu wawapi ..ile genocide imemuachia athari kichwaniMaan uyu Dada kakaa kishari Shari mda wote kam tupo somalia bhana ,kumbe tunarefresh akil jf
Why compare his hustles with others? Uliposema tuu "Lemutuz cha mtoto" tayari hayo ni mashindano
Hili jamaa ni liongo kwelikweli, kuna matutusa yake humu hayajawahi hata kufika Nairobi ndio wanavutiwa na porojo zake.Ndani ya Basi la Greyhound kutoka Ottawa/Canada tunaelekea New York City/USA nilikuwa ninawaza nitakapofika New York City itakuwaje? Simjui mtu so sitakuwa na mahali pa kulala JE ITAKUWAJE?................
Kuna Mbongo mshikaji wangu nilikuwa na namba yake ya simu aliahidi kuja kunipokea lakini dakika ya mwisho HAKUJA nikashuka na begi langu dogo la nguo kama kawa nikakuta Ma Homeless kibao wanajitayarisha kulala so nikatafuta mahali saafi nikatoa Blanketi langu
naomba ufafanuzi.......humjui mtu ila kuna mtu umempigia aje akupokee
Kwahiyo kwa wiki ulikuwa unatengeneza Tsh Millioni 10 na ukaacha kazi!![emoji3] [emoji3]Unajua wewe jamaa ni mbishi sana?? Sasa mie nakuambia hapa huko bongo niliacha kazi niliokua nikifanya customs kila siku nikitoka job nina kama tshs 2m. Nikaja huku US nikaanza kazi za kubeba mabox kwanza huku nasoma hadi sasa nimekaa vizuri nina kazi nzuri na familia na maisha yansonga msuano. Itakuwa kuacha ubaharia kazi ya kukaa miezi 6 majini tu. Hio kitu acha kabisa inaitwa sacrifice. Na hapo le mutuz ni kua dad ake alikua PM lakini aliamua kuingia front mwenyewe kwenye kikosi cha mizinga kujilipua. Acha ubishi wa kwenye ghahawa za saigon .
nilicomment "mbona matusi mengi sana" baada ya kuona wadau wakitukana kwenye hiyo post yake kilichofuata nikala Block [emoji23][emoji23]Hivyo si ndio anavyojiita amekupaje block
Humu JF kuna watu inabidi uwatazame tu maana hawana haya.m
mifuko imejaa pesa kila siku,na bado ukaamua fuata your dream kwenda nje-Au pesa Enzi hiyo haina thamani? bundle ya noti inanunua beer mmoja?
Bosman_makoiEmbu jitajie Id unayotumia Insta,ili nimwambia likokobanga aku-unblock
vp ame ku unlock?Totoo200 nitashkuru b-13
Pensi lake unaweza funika bus la kichina la lisionekaneMzee wa mapensi ya hewa
View attachment 690373
tuungane tukaungame kwake [emoji23][emoji23]Hivi hatuwezi kutuma ujumbe wa kuomba atu unblock,maana katudhuru wengi
Ahahhaha polenilicomment "mbona matusi mengi sana" baada ya kuona wadau wakitukana kwenye hiyo post yake kilichofuata nikala Block [emoji23][emoji23]
Hapana mkuu badovp ame ku unlock?
Miaka ya 80 zilikuepo zile simu za mezani ee,lakin kwa wenzetu labda kulikua na simu kila kona,au alipiga simu ya kweny basi!?????Hili jamaa ni liongo kwelikweli, kuna matutusa yake humu hayajawahi hata kufika Nairobi ndio wanavutiwa na porojo zake.
Mzee wa Busara kwa lugha ya mtaani maana yake ni mwanaume mchawiKuna wazee wanazeeka vibaya nisaidie mungu nije kuwa mzee mwenye busara
Halafu kweli...Miaka ya 80 zilikuepo zile simu za mezani ee,lakin kwa wenzetu labda kulikua na simu kila kona,au alipiga simu ya kweny basi!?????
He is humbled u know???
We kweli mburula unasema mtu kama pdidy hana kitu.Hahaha najua unatania, mark hataki attention ili watu wa muone, yupo bzz kufanya coding ili imuingizie pesa ndo maana hajuagi fassion mpya za nguo anaangalia acc inasoma billion ngapi. Mambo ya kuvaa wamewaachia watu weusi km akina PDidy, Nelly nk kwakuwa hawana kitu kichwani. Yaani km anavyoelezea Le mutuz ndo napata picha ya Nigers
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Le Mutuz MOBIMBA ,Le Mutuz BOMAYE ,Le Mutuz CITWAYEEN,NYE NYE NYE.
Huo ni uongo halfcast ni nigga tu hakuna et higher classPART 17- "MY AMERICAN EXPERIENCE"
nikaanza Dating tena baada ya kuacha kwa muda mrefu sababu ya kuteswa na kivuli cha Ericka nikaanza na Msichana Nigga kwenye picha kwa jina Antoniette with experience ya Ericka nilikua ninayo idea tayari ingawa huyu now was Black ni tofauti kabisa alikua anafanya kazi ila anaishi na Mama yake mzazi aliyekua na Uwezo mkubwa sana wanaishi Uzunguni North
![]()
mimi ninaishi South in USA always kuna o Class ya North kwa wenye Uwezo na South kwa Masikini pia alikua na Dada zake 2 Mmoja Light Skin na mwingine Mweusi.
Katika kutumia rule ya Divide and Rule yaani kuwagawanya Weusi ili wawatawale sawa sawa Wazungu walifanya makosa ya kibinadam ya kutembea na Watumwa wakaishia kuzaa watoto ma Half Aibu yao Wazungu wakaanza kuwa treat wale watoto wao Cast k tofauti na Watumwa wengine wakawafanya Superior kuliko wenzao weusi kabisa ni Ugonjwa walipandikiza kwa weusi mpaka leo wa kuamini Half Cast ni bora recently.
nimeanza kuona Ugonjwa huu ukiingia mpaka Bongo na kama ilivyo USA kwenye Movies na Music Videos msichana mzuri lazima awe Mweupe so Blacks karibu wote huwa ni lazima wawe na mtoto mmoja Half Cast ambaye Mama aliamua kwa makusudi kuzaa na Mzungu au Bwana mweupe ili apate mtoto mmoja mweupe.
so huyu ndiye anakuwa kipenzi cha Mama always kuliko wote wengine cause ni mweupe na yeye anakua na majivuno ya ajabu sana so my Babe naye alikua na Dada mmoja kwa jina Shawn mweupe ila urefu wangu na kupiga kazi sana ukamfanya huyu Dada mtu anipende sana na kwa sababu yeye alinipenda na Mama mzazi naye akawa hana Choice ila kunipenda so na Antoinette naye akani penda sana ila hakua na Elimu kubwa ingawa alikua na kazi nzuri ya Serikali.
now Shawn akaanza kunishauri nihamie nyumbani kwaa kwa vile hawana Mwanaume kwenye nyumba nikaanza kutafakari idea huku nikijiuliza maswali mazito sana ya maana halisi ni kua MARIO yaani nataka kutunzwa na Mwanamke na familia yake nilikua najichekea mwenyewe peke yangu nikakumbuka mafundisho ya Jandoni kua Mwanaume huwezi kutunzwa na Mwanamke how can I do that now?
but nikihamia kwao nitaokoa Dola 1,000 za kodi ya nyumba kila mwezi JE NIHAMIE AU NISIHAMIE? ....ITAENDELEA 18