Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

upload_2018-2-14_9-42-42.jpeg

PART 22:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"

Picha ni safari yangu ya kwanza Majuu at Frankfurt .. Niggazz Antoniette alikuja Manispaa na Limousine na akiwa kavalia rasmi kwa ajili ya Ndoa I mean gauni na mashella na maua kitu ambacho nilikua nimemuomba sana asikifanye nilipomuuliza sababu akasema hakutaka Manispaa wajue kua ni Fekero maana angekuja hajajitayarisha wangeshitukia na yeye aliambiwa na wanaojua zaidi haya mambo sikujua kama nina hasira au nina uoga ila sikua sawa tukafunga ndoa chapu chapu tukaondoka na Limousine tukapiga picha kibao maana kwenye kuomba Green Card picha za ukumbusho zinahitajika seriously it was one of the worst day of my life ilinichukua Miaka 3 ku recover

Baada ya ndoa Fekero sikutaka kumuona tena yule Niggazz cause nilikua na mahusiano na another Niggaz Janice alikua Niggaz wa kisasa sana so I was in infact alishanitambulisha mpaka kwa wazazi wake Mama yake Janice akanipenda sana sana until one day kila kitu kilipokuja kubadilika juu chini ...hiyo siku kama kawaida IIjumaa nimetoka kazini tu Jioni nikaenda nyumbani kwa Janice Mama yake akatupikia tukala then tukaenda Movie baada ya kumaliza tukarudi nyumbani kwao Janice na kumkuta Mama yake anatusubiri living room macho yamevimba kwa kulia machozi akatuita Jikoni tukakaa meza ya chakula akaanza kulia zaidi wote tulikua tumepigwa na mshangao of What happened?

Mama akatoa copy ya Marriage Certificate yangu na Antoinette akaiweka mezani akaendelea kulia kwa nguvu sasa nikaisoma ile karatasi na kuondoka nje ndani ya gari langu nikarudi nyumbani kwangu ...kumbe Antoinette alishgundua kua ninam date Janice ambaye alisoma naye High School so akampigia Mama yake na kumfahamisha kua mimi ni Mume wake wa Halali tena wa Ndoa ndipo akampelekea makaratasi ya ushahidi wa Ndoa ni makosa makubwa sana Majuu kutembea na Mume wa Mtu ndio maana Mama Janice alikua analia kwa uchungu.

I was speechless cause nilikua nampenda sana Janice yeye hakuongea hata neno ila kulia tu machozi the Niggaz Antoniette ameniweza kuliko maelezo ndio tabia yao now nikaanza maelezo kwa Janice kuhusu Ndoa Fekero Janice na familia yake ni pure Niggaz wala hawajawahi kusikia haya mambo they were stunned na hizi news!

.ITAENDELEA!
 
Mabuya, umeeleza vizuri saaana historia yako kwa mapana na marefu ila kitu kimoja unachanganya sana na lugha ya kiingereza, unajuwa wengi wa watanzania wanajua lugha ya kiswahili tu, nakuomba upunguze kwa kiwango kikubwa matumizi ya lugha ya kiingereza.
 
Mtu asiyekuwa na malengo ni wa kumuonea huruma tu! mtu kama ulikuwa hunywi, huvuti sigara na baharini hakuna mademu huyu jamaa alikuwa na starehe gani kipindi hicho na hela yake aliifanyia nini na kwake kipimo cha kuwa na comfortable life ni kupanda ndege na kulala hoteli nzuri duh duh !!! Ningemuomba Le Mutuz atuelezee uzoefu wake kuhusu habari za mabaharia wengi kutumika kusafirisha unga na madereva pia wa magari makubwa pia na yeye amefanya kazi sehemu hizo mbili!!! Je alishatumia unga, aliwashawahi kuuza unga na alipokuwa na maniggaz wengi pia kazi zao ni hizo.Je ilikuwaje kote huko stori za kutumia au kuuza unga hatujazisikia!!!!!!
 
Ni mekushika pabaya Mr KINUKTA..Matusi na POVU LA nn? wewe Sio BAHARIA na wala hutokuwa BAHARIA,,, usitudhalilishe na uongo wako..hata vyeo vya meli Hujuwi... Wadanganye wasiopanda meli,,, Sio MIMI,,

- Ukinishika pabaya nitajiua siku hiyo hiyo hahahahaha nimepanda Meli kwa jina "Mv. Mineral Luxemburg" mali ya kampuni ya CMB Celestine Maritime Belgique nimesoma Zeeman Huis Maritime College Antwerpen, now sema meli uliyopanda watu waka google waone ukweli, hahahahahaha unapigana na ukuta kaka hahahahahaha

le Mutuz Mobimba
 
Mtu asiyekuwa na malengo ni wa kumuonea huruma tu! mtu kama ulikuwa hunywi, huvuti sigara na baharini hakuna mademu huyu jamaa alikuwa na starehe gani kipindi hicho na hela yake aliifanyia nini na kwake kipimo cha kuwa na comfortable life ni kupanda ndege na kulala hoteli nzuri duh duh !!! Ningemuomba Le Mutuz atuelezee uzoefu wake kuhusu habari za mabaharia wengi kutumika kusafirisha unga na madereva pia wa magari makubwa pia na yeye amefanya kazi sehemu hizo mbili!!! Je alishatumia unga, aliwashawahi kuuza unga na alipokuwa na maniggaz wengi pia kazi zao ni hizo.Je ilikuwaje kote huko stori za kutumia au kuuza unga hatujazisikia!!!!!!

1. Sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara pesa zangu nilikua ninaweka benki nikaanza kuzitumua kusoma Shule mpaka namaliza Degree ya pili pamoja na kuoa mke na watoto 2 zilikua zimeshaisha na well spent.

2. Comfortability kwa binadam inatofautiana kwangu ni kuishi vizuri bila wasi wasi, kulala vizuri, kula vizuri, stable income, pesa mfukoni na kufanya lolote ninalolitaka within my range bila tatizo ndio maisha yangu ila sijui kama na wewe its like that.

3. Unga nimeuona kwa mara ya kwanza nikiwa Primary School, kijana mmoja darasani alipewa na kaka yake Baharia sikuelewa ni nini na sikuwahi hata kujali kuelewa, lakini nikaja kukutana nao tena USA kwa kuwaona watu wanautumia na wanaouza, lakini never in my life sikuwahi kujihusisha nao never!

I hope nimekusaidia

le Mutuz Mobimba
 
Watanzania wamejaa chuki na wivu ,na sasa team Mange kimambi wameamia JF ,kumsakama mtu mmoja

Le mutuz endelea na story achana na hao jamaa Wa kamati ya Roho Mbaya

- Worry out hawanisumbui ila wananisaidia sana infact ndio wamenisaidia kufanikisha kukubaliwa rasmi na You Tube yaani kuanza kulipwa nao baada ya miezi 2 tu online TV so nawapenda sana maana hawajui walitendalo

le Mutuz
 
Back
Top Bottom