Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

nilikuwa sikuheshimu na kuna mengi tunatofautiana, lakini story yako inanifanya nikuheshimu bro...sikuheshimu kwasababu una akili kuliko mimi, hapo nakupinga, inawezekana akili tupo sawa, exposure tupo sawa hata kama mimi sijakaa miaka mingi nje kama wewe, lakini kwenye kupambana maisha, kuvumilia unapopambana na watu wa karibu yako hadi x wife na ndugu zako, kupotezea issue ambazo wengi wanaona ni aibu kama ile video etc, kunanifanya nikuona una moyo mkuu sana na utaishi miaka mingi kwasababu unao uwezo ku ignore vitu ambavyo havikusaidii jambo ambalo mimi sijalipata maishani mwangu. nakupongeza kwa kweli. andika kitabu/hamishia kwenye kitabu aisee kitawasaidia watoto wa kitz kujifunza mambo mengi sana, hasa watoto wa nje ya ndoa wanaopambana na watoto wa ndani ya ndoa wakipigwa na kuumizwa kwa makosa yasiyokuwa yao, wao walizaliwa kama malaika tu lakini wanakuja kurithi uadui ambao hata hawakuutengeneza wao. nina mtoto wa nje ya ndoa ambaye kwa story yako inanifanya nimpende na kuwa tayari kumprotect kuliko hata watoto ninaokaa nao na wanaoenjoy fatherly love kila siku. sipendi mtoto wangu yamkute yaliyokukuta aisee.
 
Kwa kweli nimelia.
Nasema hivi, wewe unaye Mungu! Wacha wapigane kukumaliza, wacha wapambane kukuchafua, but nakuhakikishia hautabaki peke yako.
Chukua maneno yangu.
 
- Wanaogopa kurudi kuanza maisha upya kama nilivyofanya ndio maana niliporudi walipiga kelele sana kua nimekimbia na maneno mengi ni fear tu kwamba nimefanikiwa kurudi wao wanaogopa.

le Mutuz
Kwa hili mkuu le mutuz nataka nitofautiane na wewe, sio watu wote walioko huku majuu including mimi walikuja na mpango baadae warudi bongo Naaah!! Kuna wengine na mimi mmojawapo walikuja kuishi yaani bongo waliondoka sio kwa shida ila waliamua sasa wanaenda kuishi huko first world na bongo watakuja kwa matembezi tu. Mie kila mwaka nakuja na familia yangu bongo na wala hatufikii hotel nina mijengo yangu miwili ila kuishi huko nilishaamua sitaki, na huku majuu wala sipangi nina kwangu pia; kwahio ndugu kama ulirudi kwa sababu zako za kimaisha Don't generalise kua wabongo wote hawataki kurudi kwasababu wanaogopa. Lete stories iendelee ilikua angalizo tu, ila kuna hoja hapo le mutuz umeiandika imenitoa machozi unapigana vita kubwa sana in your life..
 
Amezaliwa 1961
 
Huo wako ni ushamba na marekani,, sasa kama ulikuwa unapata 2 millions kwa siku.. Means kwa mwezi una milions 60... Wewe Ndy wale washamba wa ulaya... Na pengine baada ya KUFIKA marekani ulijutia uamuzi wako wa kuacha kazi..... Na pia nikufahamishe kuhusu meli... Siku zote melini sio kama mnakuwa deep sea,, ni pale mnakuta mnaposafiri,, au mnapovua kama meli za UVUVI Ndy mnakuwaDEEP baharini.. Muda mwingine mnakuwa offshore tu... Mnakula bata.. INCHI KAVU.. Si kwl kwamba muda wote mpo majini sio kwl.. Huyo namwita MUONGO sababu vyeo vya meli havijuwi hata baada ya kufanya kazi miaka 3
 
Man, unaonaje ukianzisha uzi wako na ukatupa story yako ya kweli? Maana umekomaa kweli kwenye story ya "uongo" ya Le Mutuz badala ya kuleta story yako ya "kweli", tofauti na hivyo utatufanya tuamini kuwa wewe ni miongoni mwa wale waliodhamiria kummaliza huyu mshua
 
Mie sasa hivi sihangaiki na wewe nishakugundua wewe ni akili ndogo kwahio yote unayoelezwa ni kama kumpigia gitaa mbuzi; kingine una low education sio kosa lako. Im out with you.
 
Passport yake si kaweka hapo imeonyesha kazaliwa 61 au nawe ni mange kimambi?

Sent from my HTC One_M8 Eye using JamiiForums mobile app
 
Senkyu prof. Nimependa andiko lako, ur a really great thinker
 
Mimi nimesoma DMI ila ukiniomba ushauri nitakwambia achana na hicho chuo, kama kweli dream zako ni ubaharia basi kasome ulaya.

Naielewa vizuri hii industry, kwa sasa DMI ni kama chuo kinachokula pesa za watu ambao wanachosoma kamwe hakiwasaidii lolote kiuhalisia.

Atleast kipindi cha nyuma tulikuwa na Sinota ship ndio ilikuwa opportunity pekee ya leavers wa DMI kupanda melini na kwa sasa sidhani kama Snota ship kama bado ipo.
 
Ila all in all baada ya kusoma masimulizi yote ya Le Mutuz Mobimba Nye nye nye ukiacha mapungufu machache nimegunduwa kwamba Mzee Malecela is very weak Man na ni mtu ambaye hakupaswa kuaminiwa hata kupewa ubunge achilia mbali uwaziri mkuu.

Mateso yote ya kifamilia aliyopitia Willy mchawi ni baba yake mzazi mzee Malecela.

Angalieni mfano hai kwa Jakaya Kikwete jinsi alivyoweza kumpa back up kubwa Ridhiwani na siyo mtoto wa Salma Kikwete.

Kitu kikubwa ambacho kimaadili Le Mutuz hawezi kukisema ni kwamba baba yake ni mtu wa kutawaliwa na wanawake.

Kama huyo mzee Malecela angetoka kwenye kabila langu hao kina Dr Mwele watake wasitake wangempa heshima yake Le Mutuz kama kaka mkubwa.

Nahitimisha kwa kusema wanaume msiwape sana vipaumbele wanawake wanaweza hata kukutenga na wazazi wako wakishakushika, na kwa story hii mzee Malecela ni mtu wa hovyo kabisa hapa duniani.

Wazee wasiopenda longolongo haya mambo ya urithi huwa wanagawa hata kabla hawajafa kila mtu anadhibiti chake.

Ujinga huu wa Mzee Malecela pia ameufanya marehemu Samuel Sitta, ana mtoto mkubwa wa kiume siyo wa Magreth Sitta, kosa la mzee hakugawa mali akiwa hai sasa hivi kafa kawaacha wanarogana tu shubamiti.

Hii mizee mingine ni ya hovyo sana.
 
Mkuu umeongea maneno mazito sana yenye ukweli mtupu ndani yangu. Watoto wanapigana vita vya urithi hata mzee hajakata kamba na mzee mwenyewe kauchuna tu. But hii ni tabia ya karibu 90% ya wazee wa bongo kutokugawa urithi wakiwa wazima hivyo majanga pindi wakitwaliwa na mwenyezi mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…