Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,642
This too much! mwana mpotevu alipogundua amemkosea Bwana wake alirudi kwake na kuomba msamaha! pls W. J. Malecela le mutuz Mobimba fungua moyo[emoji120]Akikuunblock niombee na mm eenh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This too much! mwana mpotevu alipogundua amemkosea Bwana wake alirudi kwake na kuomba msamaha! pls W. J. Malecela le mutuz Mobimba fungua moyo[emoji120]Akikuunblock niombee na mm eenh
nilikuwa sikuheshimu na kuna mengi tunatofautiana, lakini story yako inanifanya nikuheshimu bro...sikuheshimu kwasababu una akili kuliko mimi, hapo nakupinga, inawezekana akili tupo sawa, exposure tupo sawa hata kama mimi sijakaa miaka mingi nje kama wewe, lakini kwenye kupambana maisha, kuvumilia unapopambana na watu wa karibu yako hadi x wife na ndugu zako, kupotezea issue ambazo wengi wanaona ni aibu kama ile video etc, kunanifanya nikuona una moyo mkuu sana na utaishi miaka mingi kwasababu unao uwezo ku ignore vitu ambavyo havikusaidii jambo ambalo mimi sijalipata maishani mwangu. nakupongeza kwa kweli. andika kitabu/hamishia kwenye kitabu aisee kitawasaidia watoto wa kitz kujifunza mambo mengi sana, hasa watoto wa nje ya ndoa wanaopambana na watoto wa ndani ya ndoa wakipigwa na kuumizwa kwa makosa yasiyokuwa yao, wao walizaliwa kama malaika tu lakini wanakuja kurithi uadui ambao hata hawakuutengeneza wao. nina mtoto wa nje ya ndoa ambaye kwa story yako inanifanya nimpende na kuwa tayari kumprotect kuliko hata watoto ninaokaa nao na wanaoenjoy fatherly love kila siku. sipendi mtoto wangu yamkute yaliyokukuta aisee.- Binafsi sijawahi kuusema Umri wangu isipokuwa ukisoma my story utaona matatizo niliyoyapata kwenda Majuu kwa sababu ya Umri mdogo, na the story behind it ni kwamba baada ya kuachana na my ex Wife aliamua kuanza kunichafua kwenye mitandao na hasa alipojaribu kurudiana nikakataa. Akaanza kutangaza umri wangu wa uongo kwamba nina Miaka 55, baadaye ikawa 56, then 58 mwisho akasema miaka 60, alipoona haina impact yoyote ya mimi kukosa Wasichana hapa Bongo akaamua kuungana na Mange kunichafua, akampa copy ya my Passport ikarushwa Dunia nzima bado haikuwa na Impact ndio mpaka leo kila mtu asiyenipenda ana struggle na umri wangu ambao binafsi nimeamua kutoutaja ili kumuonyesha Shetani anayewaongoza wanaonishambulia kuwa hana nguvu na hajui what is my wekaness.
- Ninasema hivi mimi binadam mnyonge kama wengine wote na sio Mkamilifu, ila kwa sababu ninamjua Mungu for myself najua binadam alituumba binadam kwa mfano wake, na kwamba Mungu alimnyima Shetani kujua siri ya Weakness zetu binadam, so Shetani anapokushambulia anachofanya ni kubahatisha wapi unyonge wako upo kusudi akumalize. Binadam wanapokuchukia wanaongozwa na Shetani ndio maana kwenye my Story nilisema mpaka leo bado ninapigana na Shetani yule yule niliyeanza kupigana naye toka nikiwa mdogo isipokua siku hizi kwa kujua kuwa nina akili nyingi sana ananirushia makombora mazito sana, nilikataa toka nikiwa mtoto kumuonyesha Shetani my Weakness na mpaka leo sijakubali kumpa hiyo nafasi ya kumuonyesha kua amenipata, ndio watu wengu mnahangaika sana na mimi ni kwa sababu mnahangaishwa na Shetani ambaye anadhani anaweza kunivuruga kwa kutumia wajinga wengi kunishambulia.
- Imagine my ex Wife anayo copy za Passport yangu lakini mpaka leo na yeye anahangaika kusimamia umri wangu wewe huoni kua ni maajabu ya Dunia?
- Now majuzi Shetani kabahatisha sana kuchukua kipande cha Video kwa wizi akadhani sasa kanipata, hahahahaha matokeo ni kagundua kua wala hata sijatingishika so anahangaika maana alishawaaminisa watu wake wajinga kwamba kwa hii kivideo atanimaliza hahahahahaha, na yote hii nini ni urithi wa Baba yetu mzazi ambaye yupo hai inasikitisha sana,
- Ninakumbuka nikiwa mdogo ndugu yangu wa kiume Marehemu Senyagwa alipofariki Dunia (Mungu Amuweke Pema Peponi) vichwa vya habari vya Magazeti vilisema "MTOTO WA KWANZA NA PEKEE WA KIUME WA WAZIRI MALECELA AFARIKI DUNIA" ilinishangaza sana as of WHY wameandika vile na huku wanajua nipo na wanjua kua kuna mwingine marehemu Ippy Malecela na yeye ni mtoto wa Malecela? Nani aliyewatuma kuandika vile? Ndio maana ninasema huyo ni Shetani niliyanza naye siku nyingi sana kupigana naye, nia na madhumuni yamekuwa ni kuhakikisha Dunia inaamini mimi sipo na kwa bahati mbaya sana hata my ex Wife naye akatumbukia huo mtego, leo my ex hataki niwaone watoto wangu lakini yupo radhi kuwapelekea kwa maadui zangu za jadi ..hahahahahaha....lakini sijawahi kutingishika wala kubabaika mwendo wangu wa maisha ni ule ule,
- So now najua Shetani anajipanga upya baada ya kuona kivideo hakina effect najua atakuja na kituko kingine cha ajabu maana ni kazi yake kuwaaminisha wale wanaomuamini kua ana nguvu, ambazo ninajua kwa kumjua Mungu hana ndio mimi nipo mpaka leo. Suala la umri analijaribu sana kulitumia Shetani lakini anashindwa kwa sababu sijampa nafasi hahahahahahaha!
I hope nimewasaidia wengi hapa leo kwa haya maneno machache lakini mazito sana ninajua hilo!
le Mutuz Mobimba!
Sidhani kama itakuwa na msaada wowote kwako.Why unaficha tarehe?
Kwa kweli nimelia.- Binafsi sijawahi kuusema Umri wangu isipokuwa ukisoma my story utaona matatizo niliyoyapata kwenda Majuu kwa sababu ya Umri mdogo, na the story behind it ni kwamba baada ya kuachana na my ex Wife aliamua kuanza kunichafua kwenye mitandao na hasa alipojaribu kurudiana nikakataa. Akaanza kutangaza umri wangu wa uongo kwamba nina Miaka 55, baadaye ikawa 56, then 58 mwisho akasema miaka 60, alipoona haina impact yoyote ya mimi kukosa Wasichana hapa Bongo akaamua kuungana na Mange kunichafua, akampa copy ya my Passport ikarushwa Dunia nzima bado haikuwa na Impact ndio mpaka leo kila mtu asiyenipenda ana struggle na umri wangu ambao binafsi nimeamua kutoutaja ili kumuonyesha Shetani anayewaongoza wanaonishambulia kuwa hana nguvu na hajui what is my wekaness.
- Ninasema hivi mimi binadam mnyonge kama wengine wote na sio Mkamilifu, ila kwa sababu ninamjua Mungu for myself najua binadam alituumba binadam kwa mfano wake, na kwamba Mungu alimnyima Shetani kujua siri ya Weakness zetu binadam, so Shetani anapokushambulia anachofanya ni kubahatisha wapi unyonge wako upo kusudi akumalize. Binadam wanapokuchukia wanaongozwa na Shetani ndio maana kwenye my Story nilisema mpaka leo bado ninapigana na Shetani yule yule niliyeanza kupigana naye toka nikiwa mdogo isipokua siku hizi kwa kujua kuwa nina akili nyingi sana ananirushia makombora mazito sana, nilikataa toka nikiwa mtoto kumuonyesha Shetani my Weakness na mpaka leo sijakubali kumpa hiyo nafasi ya kumuonyesha kua amenipata, ndio watu wengu mnahangaika sana na mimi ni kwa sababu mnahangaishwa na Shetani ambaye anadhani anaweza kunivuruga kwa kutumia wajinga wengi kunishambulia.
- Imagine my ex Wife anayo copy za Passport yangu lakini mpaka leo na yeye anahangaika kusimamia umri wangu wewe huoni kua ni maajabu ya Dunia?
- Now majuzi Shetani kabahatisha sana kuchukua kipande cha Video kwa wizi akadhani sasa kanipata, hahahahaha matokeo ni kagundua kua wala hata sijatingishika so anahangaika maana alishawaaminisa watu wake wajinga kwamba kwa hii kivideo atanimaliza hahahahahaha, na yote hii nini ni urithi wa Baba yetu mzazi ambaye yupo hai inasikitisha sana,
- Ninakumbuka nikiwa mdogo ndugu yangu wa kiume Marehemu Senyagwa alipofariki Dunia (Mungu Amuweke Pema Peponi) vichwa vya habari vya Magazeti vilisema "MTOTO WA KWANZA NA PEKEE WA KIUME WA WAZIRI MALECELA AFARIKI DUNIA" ilinishangaza sana as of WHY wameandika vile na huku wanajua nipo na wanjua kua kuna mwingine marehemu Ippy Malecela na yeye ni mtoto wa Malecela? Nani aliyewatuma kuandika vile? Ndio maana ninasema huyo ni Shetani niliyanza naye siku nyingi sana kupigana naye, nia na madhumuni yamekuwa ni kuhakikisha Dunia inaamini mimi sipo na kwa bahati mbaya sana hata my ex Wife naye akatumbukia huo mtego, leo my ex hataki niwaone watoto wangu lakini yupo radhi kuwapelekea kwa maadui zangu za jadi ..hahahahahaha....lakini sijawahi kutingishika wala kubabaika mwendo wangu wa maisha ni ule ule,
- So now najua Shetani anajipanga upya baada ya kuona kivideo hakina effect najua atakuja na kituko kingine cha ajabu maana ni kazi yake kuwaaminisha wale wanaomuamini kua ana nguvu, ambazo ninajua kwa kumjua Mungu hana ndio mimi nipo mpaka leo. Suala la umri analijaribu sana kulitumia Shetani lakini anashindwa kwa sababu sijampa nafasi hahahahahahaha!
I hope nimewasaidia wengi hapa leo kwa haya maneno machache lakini mazito sana ninajua hilo!
le Mutuz Mobimba!
Kwa hili mkuu le mutuz nataka nitofautiane na wewe, sio watu wote walioko huku majuu including mimi walikuja na mpango baadae warudi bongo Naaah!! Kuna wengine na mimi mmojawapo walikuja kuishi yaani bongo waliondoka sio kwa shida ila waliamua sasa wanaenda kuishi huko first world na bongo watakuja kwa matembezi tu. Mie kila mwaka nakuja na familia yangu bongo na wala hatufikii hotel nina mijengo yangu miwili ila kuishi huko nilishaamua sitaki, na huku majuu wala sipangi nina kwangu pia; kwahio ndugu kama ulirudi kwa sababu zako za kimaisha Don't generalise kua wabongo wote hawataki kurudi kwasababu wanaogopa. Lete stories iendelee ilikua angalizo tu, ila kuna hoja hapo le mutuz umeiandika imenitoa machozi unapigana vita kubwa sana in your life..- Wanaogopa kurudi kuanza maisha upya kama nilivyofanya ndio maana niliporudi walipiga kelele sana kua nimekimbia na maneno mengi ni fear tu kwamba nimefanikiwa kurudi wao wanaogopa.
le Mutuz
Amezaliwa 1961Le Mutuz huwa anakataa umri wake bure.
Marehemu Mzee Nyirabu alikuwa Office kati ya 1974-1989.
Mzee Jamali Waziri wa Fedha mara ya pili 1979-1983.
Roughly tuchukulie 1983 ndio aliomba Visa ya Belgium. Hadi kumaliza form 4, JKT etc si chini ya miaka 20. Jumlisha tofauti ya 2018 na 1983 inakuja 55 years Ndio Umri watu ambao huwa wanamwabia. Ila yeye anadai ana 35 yrs.
Huo wako ni ushamba na marekani,, sasa kama ulikuwa unapata 2 millions kwa siku.. Means kwa mwezi una milions 60... Wewe Ndy wale washamba wa ulaya... Na pengine baada ya KUFIKA marekani ulijutia uamuzi wako wa kuacha kazi..... Na pia nikufahamishe kuhusu meli... Siku zote melini sio kama mnakuwa deep sea,, ni pale mnakuta mnaposafiri,, au mnapovua kama meli za UVUVI Ndy mnakuwaDEEP baharini.. Muda mwingine mnakuwa offshore tu... Mnakula bata.. INCHI KAVU.. Si kwl kwamba muda wote mpo majini sio kwl.. Huyo namwita MUONGO sababu vyeo vya meli havijuwi hata baada ya kufanya kazi miaka 3Unajua wewe jamaa ni mbishi sana?? Sasa mie nakuambia hapa huko bongo niliacha kazi niliokua nikifanya customs kila siku nikitoka job nina kama tshs 2m. Nikaja huku US nikaanza kazi za kubeba mabox kwanza huku nasoma hadi sasa nimekaa vizuri nina kazi nzuri na familia na maisha yansonga msuano. Itakuwa kuacha ubaharia kazi ya kukaa miezi 6 majini tu. Hio kitu acha kabisa inaitwa sacrifice. Na hapo le mutuz ni kua dad ake alikua PM lakini aliamua kuingia front mwenyewe kwenye kikosi cha mizinga kujilipua. Acha ubishi wa kwenye ghahawa za saigon .
Man, unaonaje ukianzisha uzi wako na ukatupa story yako ya kweli? Maana umekomaa kweli kwenye story ya "uongo" ya Le Mutuz badala ya kuleta story yako ya "kweli", tofauti na hivyo utatufanya tuamini kuwa wewe ni miongoni mwa wale waliodhamiria kummaliza huyu mshuaHuo wako ni ushamba na marekani,, sasa kama ulikuwa unapata 2 millions kwa siku.. Means kwa mwezi una milions 60... Wewe Ndy wale washamba wa ulaya... Na pengine baada ya KUFIKA marekani ulijutia uamuzi wako wa kuacha kazi..... Na pia nikufahamishe kuhusu meli... Siku zote melini sio kama mnakuwa deep sea,, ni pale mnakuta mnaposafiri,, au mnapovua kama meli za UVUVI Ndy mnakuwaDEEP baharini.. Muda mwingine mnakuwa offshore tu... Mnakula bata.. INCHI KAVU.. Si kwl kwamba muda wote mpo majini sio kwl.. Huyo namwita MUONGO sababu vyeo vya meli havijuwi hata baada ya kufanya kazi miaka 3
Mie sasa hivi sihangaiki na wewe nishakugundua wewe ni akili ndogo kwahio yote unayoelezwa ni kama kumpigia gitaa mbuzi; kingine una low education sio kosa lako. Im out with you.Huo wako ni ushamba na marekani,, sasa kama ulikuwa unapata 2 millions kwa siku.. Means kwa mwezi una milions 60... Wewe Ndy wale washamba wa ulaya... Na pengine baada ya KUFIKA marekani ulijutia uamuzi wako wa kuacha kazi..... Na pia nikufahamishe kuhusu meli... Siku zote melini sio kama mnakuwa deep sea,, ni pale mnakuta mnaposafiri,, au mnapovua kama meli za UVUVI Ndy mnakuwaDEEP baharini.. Muda mwingine mnakuwa offshore tu... Mnakula bata.. INCHI KAVU.. Si kwl kwamba muda wote mpo majini sio kwl.. Huyo namwita MUONGO sababu vyeo vya meli havijuwi hata baada ya kufanya kazi miaka 3
Passport yake si kaweka hapo imeonyesha kazaliwa 61 au nawe ni mange kimambi?Le Mutuz huwa anakataa umri wake bure.
Marehemu Mzee Nyirabu alikuwa Office kati ya 1974-1989.
Mzee Jamali Waziri wa Fedha mara ya pili 1979-1983.
Roughly tuchukulie 1983 ndio aliomba Visa ya Belgium. Hadi kumaliza form 4, JKT etc si chini ya miaka 20. Jumlisha tofauti ya 2018 na 1983 inakuja 55 years Ndio Umri watu ambao huwa wanamwabia. Ila yeye anadai ana 35 yrs.
Haha, uwe na moyo km wa Lemutuz le mobimba nye nye nyee.... vuta subra yuko karibu kuwapa msamahaSitaki nimeshaghaili
Sawa mkuu utaniambiaHaha, uwe na moyo km wa Lemutuz le mobimba nye nye nyee.... vuta subra yuko karibu kuwapa msamaha
Hako kapicha uliloweka umelala beach ni kakwako ?Sawa mkuu utaniambia
Senkyu prof. Nimependa andiko lako, ur a really great thinkerso what? kwani kupigwa na maisha ni dhambi? pesa huja na kupotea...i hope yeye (Lemutuz) siyo wa kwanza, na siyo wa mwisho kukumbwa na hizo misfortune. hata hivyo, maisha yake binafsi yanakuhusu nini? kwa nini umushikie bango na kashfa juu? why? sikutaka kujibu your comment, ila imenibidi tu. Records show kuwa unalalamikiwa na kila member humu JF kwa lugha isiyo na staha....kumbuka hakuna mkamilifu hapa Duniani. Yeah, may be Lemutuz ni ombaomba...Coz i don't know the guy in person...but what the fucker are you to judge him?. je wewe unajua future yako? think this way, Kesho ukigongwa na gari or uangukiwe na nyumba na u-paralyze mwili mzima...je hutokuwa ombaomba in one way or another?
THINK TWICE
Mimi nimesoma DMI ila ukiniomba ushauri nitakwambia achana na hicho chuo, kama kweli dream zako ni ubaharia basi kasome ulaya.Mkubwa unachokisema ni Sawa ila bongo ni kugumu sana kwa sisi beginners, tunatamani tufike where you are but capital ni shida. Acha na sisi tuanzie na Huo ubaharia then baadae tukiwa melini tutatafuta kiwanja cha kuanzia maisha kama ww ulivyofanya.
My details: Age 27, I am a student I pursue Bachelor of Engineering in Electrical and Electronic Engineering nipo mwaka wa mwisho so mungu akinijalia nikigemua mwaka huu mwezi wa nane nitajiunga pale Dar es salaam Maritime Institute (DMI) nisome Mandatory Course ninaimani ramani zitaanza kusomeka taratibu.
Mkuu lilaksi itatolewa maelezo ktk moja ya episodes humu wait and read...
Mkuu umeongea maneno mazito sana yenye ukweli mtupu ndani yangu. Watoto wanapigana vita vya urithi hata mzee hajakata kamba na mzee mwenyewe kauchuna tu. But hii ni tabia ya karibu 90% ya wazee wa bongo kutokugawa urithi wakiwa wazima hivyo majanga pindi wakitwaliwa na mwenyezi mungu.Ila all in all baada ya kusoma masimulizi yote ya Le Mutuz Mobimba Nye nye nye ukiacha mapungufu machache nimegunduwa kwamba Mzee Malecela is very weak Man na ni mtu ambaye hakupaswa kuaminiwa hata kupewa ubunge achilia mbali uwaziri mkuu.
Mateso yote ya kifamilia aliyopitia Willy mchawi ni baba yake mzazi mzee Malecela.
Angalieni mfano hai kwa Jakaya Kikwete jinsi alivyoweza kumpa back up kubwa Ridhiwani na siyo mtoto wa Salma Kikwete.
Kitu kikubwa ambacho kimaadili Le Mutuz hawezi kukisema ni kwamba baba yake ni mtu wa kutawaliwa na wanawake.
Kama huyo mzee Malecela angetoka kwenye kabila langu hao kina Dr Mwele watake wasitake wangempa heshima yake Le Mutuz kama kaka mkubwa.
Nahitimisha kwa kusema wanaume msiwape sana vipaumbele wanawake wanaweza hata kukutenga na wazazi wako wakishakushika, na kwa story hii mzee Malecela ni mtu wa hovyo kabisa hapa duniani.
Wazee wasiopenda longolongo haya mambo ya urithi huwa wanagawa hata kabla hawajafa kila mtu anadhibiti chake.
Ujinga huu wa Mzee Malecela pia ameufanya marehemu Samuel Sitta, ana mtoto mkubwa wa kiume siyo wa Magreth Sitta, kosa la mzee hakugawa mali akiwa hai sasa hivi kafa kawaacha wanarogana tu shubamiti.
Hii mizee mingine ni ya hovyo sana.