Nimepiga kimya sababu nimeona ni UPUUZI kufuatilia story yake,, nikajiweka pembeni muendelee kudanganywa,,, USHAHIDI ninaoutaka mm sio USHAHIDI wa makaratasi,, aweke USHAHIDI wa picha,, yupo mwenye meli hyo,,, nimeshajiridhisha kuwa hakuwa SEAFERAR,,, labda wa inchi KAVU,, labda nikukumbushe mkuu,, hyo miaka anayosema amesafiri Ilikuwa ni miaka ya UONGO MWINGI,, nakumbuka watu WENGI kipindi HICHO Ilikuwa wananunuwa DOMUMENTS FAKE za meli,, NINA MAANA discharge book.. pomoja na documents zingine,,, zikiwa zimegongwa mihuri yote,, ili tu akifika mbele aonekane ni SEAFERAR,, Na kwanini watu wanasoma SEAFERAR... wanasoma ili kujuwa sheria na kuijuwa meli hata kabla hujaipanda,,,, hata kama mtu atakuwa na mavyeti,,, lakini hakusoma,,vyeti vina maana gani! yeye hajuwi vyeo vya MELI,,, atajuwaje SEAFERAR? Na Bado nalifanyia kazi suala LA kuingia BELGIUM kwa viza,,, maana miaka hyo TANZANIAN Passport holder Ilikuwa inchi nyingi za ulaya na UK unaingia BILA VISA,,, bado nachimba chimba gougle.... nione uongo wake... Mimi ni SEAFERAR,, na siwezi kuweka nipo meli GANI,, kila mtu anajuwa humu yupo UNKNOWN.. ILA maelezo yangu yanajitosheleza,,,