Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
He hekwani wewe wataka kupitwa mkuu...mbona upo huku hahaa kama globle daahh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He hekwani wewe wataka kupitwa mkuu...mbona upo huku hahaa kama globle daahh
Uzuri wa the list hakujibu kama we sio mwenye thread hata ukimquote vipiprishaz kamchokoza the list huko ....nenda kamuombee pooohhh....hahaaaa
Mamy nimefunguliwa inabidi tuanze kampeni yako sasaUkikuta umefunguliwa inabidi tucelebrate kidogo, najua utakuja niombea na mimi nifunguliwe.
aiseeee hahaaaaa sasa katika huo umri siilipaswa na mimi niwe mmiliki wa apartment zangu ..kama nikweli Nina akili kubwa ...NIMEJARIBU KUYASOMA TU MAWAZO YA Shunie anavyowaza...hahahaaaaMwanaume anaejitambua hawezi kuishi kwa kivuli cha mzazi wake..huwezi katika umri huo ukawa bado pussy kias hicho kwamba kila hoja my dad ooh alifanya hivi mara vile..mbona bado mjinga sana ww..unajiita vipi mwanaume mwenue mafanikio wakati ukienda kwa watu cha kwanza wanachotambulishwa ni mtoto wa fulan..yaani bado unaishi kwa kivuli chake..stupid kabisa.
Na nikuombe tu unieleweshe AKILI KUBWA ni ipi?? Kwamba katika umri ambao retirement ndio unamiliki an online t.v with unexperienced and cheap workers sijui saba.
Akili kubwa ni kwamba you are almost 60+ na bado unaishi kwenye apartment ya kupanga kwamba huna sehemu unayoweza sema hii ni nyumba yangu kwa maana ya ujenzi na umiliki
Akili kubwa..ni katika miaka yako 60+ huna kitu kinachoitwa familia..yaani sio ya kwako kwa maana ya watoto wako tu lakini ata ndugu zako wamekutenga??
Akili kubwa katika miaka yako ya 60+, PICHA ZA UCHI zikionyesha maumbile ya ukinyago uliyonayo zinasambaa mitandaoni..
Akili kubwa uliyonayo wewe ni ipi..kwamba katika miaka ambayo mtu anatakiwa kuwa relaxed na kuenjoy matunda ya ujana wake wewe ndio tako liko barabarani na mitandaon kwamba unatafuta maisha.
Akili kubwa uliyonayo wewe ni ipi..?? Kwamba katika miaka ya 60+ uliyonayo unajibizana na wanawake mitandaon mpaka matusi ya nguoni??
hahahah emu nieleweshe akili kibwa uliyonayo wewe ni ipi maana the way i see it naona upuuzi mtupu wa mtu aliyekurupukia maisha uzeeni na sasa anaforce maisha ambayo alipaswa kuyaishi akiwa kwenye 30's.
yeye huwa anapmbana na Mwenye uzi ..Jamaa bhana ni rude boyUzuri wa the list hakujibu kama we sio mwenye thread hata ukimquote vipi
Niliona ukilalamika sana na kubembeleza nikaona wacha nikuombee kwa Le Kokobanga, Mobimba ili na wewe ufurahie uhondo wa post zake kule Insta. Ha ha ha ha ha haya mkuu Shunie , asante kwa hizo "kiss".Mkuu asante sana ubarikiwe mnooo yaan kweli kaniunblock bila juhudi zako ningeendelea kula block
Acha nikupe zawadi ya makiss tu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] mpaka nikuchafue na mate mwili mzima
Kwa taarifa yako kabla ya kuwa melini nilikuwa BAHARIA wa inchi KAVU.. Nimeanza kusafiri nikiwa na umri wa miaka 20... Now Nina 42,, nishasafiri INDIA, ZPAKISTAN.. IRAN.. TURKY,, GREECE,, SOUTH,, MADAGASCA.. ITALY,, SPAIN,, BELGIUM.. sasa nipo melini nazunguka na MADUDE TU... huyo atawadanganya nyie msiojuwa hata SAFARI NI KITU GN... hayo aliyoongea chumvi ni nyingi kuliko MBOGA... tumepitia MAISHA magumu kuliko huyo anayedanganya watu.. NISHALALA NJE SANA,, INDIA,, ,, nchi ambayo MBWA ana THAMANI kuliko mtu mweusi.NISHALALA saba MAKABURINI PAKISTAN.. . Na nimeishi,, nikapambana nikasafiri kwenda TURKY.. UKAWA NDY mwanzo wa safari zangu... Kwhyo tunapopinga haimaanishi ni wivu au chuki,, tunataka msioelewa kama nyie mpate faida,, msidanganywe.. Na MABAHARIA WA NCHI KAVUNimegundua percent kubwa ya watu wanaomdiss Le mutuz wako huko bongo ila wengi walioko mambelez wanamuelewa sana hayo maisha aliopitia yapo sana ughaibuni. Na wengi wanaomchukia ni sababu za stress tu za bongo ingawa wenyewe wanajidai bongo hamna stress. Huyo wa melini achana nae ni baharia uchwara anasikiliza stories za vijiweni. Tuna series iendelee le mutuz.
Ubarikiwe mno nina karibia mwaka nimekula block msaidie na Prishaz basi na yeye alikula block akupe username yakeNiliona ukilalamika sana na kubembeleza nikaona wacha nikuombee kwa Le Kokobanga, Mobimba ili na wewe ufurahie uhondo wa post zake kule Insta. Ha ha ha ha ha haya mkuu Shunie , asante kwa hizo "kiss".
[emoji15][emoji15][emoji15] khaa me siwazi hivyo nina furaha yangu ya kufunguliwa insta huko ndio ninachowaza usinisababibishie nikala block tena
Ndio uzuri wa mzee wa empty set rubbishyeye huwa anapmbana na Mwenye uzi ..Jamaa bhana ni rude boy
Mwenzio hajapandia meli Tz,kwa hiyo hawezi kuwa na hizo babumash za Sumatra ambazo vinapatikana bila msulivipo VYETI 11 vya Sumatra.... HICHO ni baadhi tu![]()
HAHAAAAA[emoji15][emoji15][emoji15] khaa me siwazi hivyo nina furaha yangu ya kufunguliwa insta huko ndio ninachowaza usinisababibishie nikala block tena
ASANTEKwa taarifa yako kabla ya kuwa melini nilikuwa BAHARIA wa inchi KAVU.. Nimeanza kusafiri nikiwa na umri wa miaka 20... Now Nina 42,, nishasafiri INDIA, ZPAKISTAN.. IRAN.. TURKY,, GREECE,, SOUTH,, MADAGASCA.. ITALY,, SPAIN,, BELGIUM.. sasa nipo melini nazunguka na MADUDE TU... huyo atawadanganya nyie msiojuwa hata SAFARI NI KITU GN... hayo aliyoongea chumvi ni nyingi kuliko MBOGA... tumepitia MAISHA magumu kuliko huyo anayedanganya watu.. NISHALALA NJE SANA,, INDIA,, ,, nchi ambayo MBWA ana THAMANI kuliko mtu mweusi.NISHALALA saba MAKABURINI PAKISTAN.. . Na nimeishi,, nikapambana nikasafiri kwenda TURKY.. UKAWA NDY mwanzo wa safari zangu... Kwhyo tunapopinga haimaanishi ni wivu au chuki,, tunataka msioelewa kama nyie mpate faida,, msidanganywe.. Na MABAHARIA WA NCHI KAVU
Atamfungulia tu msijali kula yake inategemea sana idadi ya followersAisee jinsi unavyombembeleza Le Mutuz! Yaani nafikiri hata aki............. anyway acha nisiendeleee.
By the way, ndugu yangu W. J. Malecela hebu msikilize huyu mdada anakubembeleza sana um-unblock Instagram, anaitwa Shunie , nenda kwenye Pm yake muwasiliane bhana. Le Mutuz Mobimba. Nye, nye, nye.
Mwanaume anaejitambua hawezi kuishi kwa kivuli cha mzazi wake..huwezi katika umri huo ukawa bado pussy kias hicho kwamba kila hoja my dad ooh alifanya hivi mara vile..mbona bado mjinga sana ww..unajiita vipi mwanaume mwenue mafanikio wakati ukienda kwa watu cha kwanza wanachotambulishwa ni mtoto wa fulan..yaani bado unaishi kwa kivuli chake..stupid kabisa.
Na nikuombe tu unieleweshe AKILI KUBWA ni ipi?? Kwamba katika umri ambao retirement ndio unamiliki an online t.v with unexperienced and cheap workers sijui saba.
Akili kubwa ni kwamba you are almost 60+ na bado unaishi kwenye apartment ya kupanga kwamba huna sehemu unayoweza sema hii ni nyumba yangu kwa maana ya ujenzi na umiliki
Akili kubwa..ni katika miaka yako 60+ huna kitu kinachoitwa familia..yaani sio ya kwako kwa maana ya watoto wako tu lakini ata ndugu zako wamekutenga??
Akili kubwa katika miaka yako ya 60+, PICHA ZA UCHI zikionyesha maumbile ya ukinyago uliyonayo zinasambaa mitandaoni..
Akili kubwa uliyonayo wewe ni ipi..kwamba katika miaka ambayo mtu anatakiwa kuwa relaxed na kuenjoy matunda ya ujana wake wewe ndio tako liko barabarani na mitandaon kwamba unatafuta maisha.
Akili kubwa uliyonayo wewe ni ipi..?? Kwamba katika miaka ya 60+ uliyonayo unajibizana na wanawake mitandaon mpaka matusi ya nguoni??
hahahah emu nieleweshe akili kibwa uliyonayo wewe ni ipi maana the way i see it naona upuuzi mtupu wa mtu aliyekurupukia maisha uzeeni na sasa anaforce maisha ambayo alipaswa kuyaishi akiwa kwenye 30's.
Ukiona wanakupiga mawe sana jua wamekujubali.Hata kama ni Uongo kwani mnalazimishwa Muamini au Msome..? Basi leteni hadithi zenu sasa tuone URODA wenu...
NDY Hapo mnapodanganywa,,, kwani aliyekwambiya ukisoma bongo unapanda meli za bongo ni nani? Mabaharia 90 % wamesoma bongo au south,,,,,, huyo MAKAPTULA ataendelea kuwadanganya... Pasi na kujuwa ukweliMwenzio hajapandia meli Tz,kwa hiyo hawezi kuwa na hizo babumash za Sumatra ambazo vinapatikana bila msuli
Kajipange urudi tena kwenye mashindano ya kumdiss mwenzako as if ndo kitu kitakachokupa credit ktk maisha uliyonayo sasa
Ebu huko [emoji3]HAHAAAAA
Nimeanza dear umpe user name yakoAsante shunie naona umeanza kazi...