Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Yeah, hayo ni maneno ya Le Mutuz mwenyewe, amesema; "mwambie asirudie tena kuandika upuuzi". Ha ha ha ha ha.Hahahaha asirudie kuandika upuuzi wala kuguna Shunie umesikia? BTW hongera sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, hayo ni maneno ya Le Mutuz mwenyewe, amesema; "mwambie asirudie tena kuandika upuuzi". Ha ha ha ha ha.Hahahaha asirudie kuandika upuuzi wala kuguna Shunie umesikia? BTW hongera sana
Unaitumia vibaya sana haki na uhuru wako wa kuwa mjinga..this crap you are writing ni ujinga ata kukujibu naona kinyaa..- hahahahahaha nimeshakuelewa sana ila hapa umepiga ukuta cause unanisoma na unalia lia, mzazi wangu ni mzazi wangu hawezi kua wako hahahaha naona ungependa kua mtoto wa Malecela kwa haya maneno yako hahahaha Mama yangu mzazi aliamua mwenyewe kwa hiaro yake kwenda kuishi Tuduma mbali na Dunia, nilimuomba ahame achukue nyumba yangu Kinyerezi hakutaka, alisema hawezi kucha makaburi ya wazazi wake,
- Baada ya mazishi yake wananchi wa Tunduma waliniomba nitoe muda wa Mwaka mmoja na nusu kusudi Kaburi likae sawa kwasababu ya udongo kuwa imara, otherwise muda walionipa umetosha na sasa nimeshaanza mipango ya kulijenga pesa ninayo so wala sio ishu,
- Ni afadhali ya baba yangu aliyezaa mtoto anayeweza kusimama mwenyewe like me kuliko mjinga kama wewe anayetumia majina ya bandia kutukana watu kwenye mitandao, ningekua wewe ningejiua hahahahahahaha
le Mutuz
HAHAAAAAAA AISEEEEUnaitumia vibaya sana haki na uhuru wako wa kuwa mjinga..this crap you are writing ni ujinga ata kukujibu naona kinyaa..
Unazungumza eti nataman Malecela awe baba yangu..emu ona aibu na umsitiri baba yako..maana sion lolote la usifa au uzuri kunifanya niwe matamanio hayo..the way i see it baba yako historia hii itambuka kwa tiltle tu ya UWAZIRI MKUU..lakini we all know ukiachana na na U-PM alikuwa mburula aliyeotea nafas kulingana na mazingira ya uhaba wa wasomi na nia ya Mwl kuweka watu wa karibu ambao angeweza kuwa manipulate na kuwatumia to his advantage na baba yako was a perfect chambo!!
Swali la kaburi la mama yako..ndio sababu nitaendelea kukuita mjinga tu, na siku nyingine hii i.d THE LIST usikurukupe kuijibu kipwagu hivo..hakuna mahali duniani udongo unafanya tabia zinazoendana na theory ya utetezi ulioandika kasome SOIL PROFILE!! Eti ukae mwaka na unusu..puuzi kabisa
Na ni afadhali umekiri kuwa sasa umepata hela ya kujenga kaburi..na kuwa hii ina reflect logically kuwa by time MAMA YAKO ANAFARIKI ukiwa na miaka 50+ hukuwa na pesa ya kujenga!!! hahaha duh what a waste!! Inawezekanaje hii !!!
ishi umri wako mzee sio size ya kiatu yako..idiot!!
MhMkuu Shunie Kwa jinsi ulivyokuwa unambembeleza Le Mutuz, Le Kokobanga, Mobimba, Nye nye nye, aku-unblock Instagram, nimeona niwasiliane naye na amekubali kuku-unblock.
Sasa nafikiri uko huru kutembelea page yake ya Instagram. Unajua Le Mutuz ni mtu mmoja "peace" sana, and he is always humble you know! Ha ha ha ha.
By the way, Le Mutuz amesema usirudie tena kuandika mambo ya "kipuuzi" kwenye Page yake ya Instagram, uki-comment, ucomment kwa adabu. Ha ha ha ha ha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeah, hayo ni maneno ya Le Mutuz mwenyewe, amesema; "mwambie asirudie tena kuandika upuuzi". Ha ha ha ha ha.
Ila wewe [emoji3]HAHAAAAAAA AISEEEE
HALAFU UKIWAGA UNAJIBU COMMENT ZAKO HUMU UWE UNA NITAG MKUU ...MAANA HUWA ZINAONGEZA SIKU ZA KUISHI...DAAAHH HAHAAA
Wewe tumbiri pori unaemweleza hayo ni nani?? sasa kama ameamua maisha yake yawe tabled kwenye streams za social media..wewe ni nguchiro gani kusema isijadiliwe..Duh! Mkuu kuwa mpole tu, kubali kuwa watu hawalingani. Lemutuz hiyo ndio personality yake na ni maisha yake ameamua kuyaishi so kama hayamkwazi yeye sioni kwanini mwingine akwazike. Ikiwa uzi wake unakukwaza upotezee tu kibingwa. Peace
Unaitumia vibaya sana haki na uhuru wako wa kuwa mjinga..this crap you are writing ni ujinga ata kukujibu naona kinyaa..
Unazungumza eti nataman Malecela awe baba yangu..emu ona aibu na umsitiri baba yako..maana sion lolote la usifa au uzuri kunifanya niwe matamanio hayo..the way i see it baba yako historia hii itambuka kwa tiltle tu ya UWAZIRI MKUU..lakini we all know ukiachana na na U-PM alikuwa mburula aliyeotea nafas kulingana na mazingira ya uhaba wa wasomi na nia ya Mwl kuweka watu wa karibu ambao angeweza kuwa manipulate na kuwatumia to his advantage na baba yako was a perfect chambo!!
Swali la kaburi la mama yako..ndio sababu nitaendelea kukuita mjinga tu, na siku nyingine hii i.d THE LIST usikurukupe kuijibu kipwagu hivo..hakuna mahali duniani udongo unafanya tabia zinazoendana na theory ya utetezi ulioandika kasome SOIL PROFILE!! Eti ukae mwaka na unusu..puuzi kabisa
Na ni afadhali umekiri kuwa sasa umepata hela ya kujenga kaburi..na kuwa hii ina reflect logically kuwa by time MAMA YAKO ANAFARIKI ukiwa na miaka 50+ hukuwa na pesa ya kujenga!!! hahaha duh what a waste!! Inawezekanaje hii !!!
ishi umri wako mzee sio size ya kiatu yako..idiot!!
kwani wewe wataka kupitwa mkuu...mbona upo huku hahaa kama globle daahhIla wewe [emoji3]
Wewe tumbiri pori unaemweleza hayo ni nani?? sasa kama ameamua maisha yake yawe tabled kwenye streams za social media..wewe ni nguchiro gani kusema isijadiliwe..
acha kujipendekeza kwa usiowajua na kutafuta huruma zao..ata kama umezalishwa vitumbiri na kutelekezwa..uza ata visheti sio kudanga na kujipendekeza mitandaoni ..pathetic fool
prishaz kamchokoza the list huko ....nenda kamuombee pooohhh....hahaaaaIla wewe [emoji3]
Kumbe unataka slope ya kupata meli? Tafuta hela nenda kapande meli mbele huko, ndo nyie mabaharia hamna hata passportMimi nimesoma DMI ila ukiniomba ushauri nitakwambia achana na hicho chuo, kama kweli dream zako ni ubaharia basi kasome ulaya.
Naielewa vizuri hii industry, kwa sasa DMI ni kama chuo kinachokula pesa za watu ambao wanachosoma kamwe hakiwasaidii lolote kiuhalisia.
Atleast kipindi cha nyuma tulikuwa na Sinota ship ndio ilikuwa opportunity pekee ya leavers wa DMI kupanda melini na kwa sasa sidhani kama Snota ship kama bado ipo.
Hahahaha hatari sana hii, wacha nisubiri simulizi tamu mie ya Lemutuz....prishaz kamchokoza the list huko ....nenda kamuombee pooohhh....hahaaaa
Ukikuta umefunguliwa inabidi tucelebrate kidogo, najua utakuja niombea na mimi nifunguliwe.Sitakuna wala kucomment chochote ebu ngoja nihakikishe ni kweli
wenye league zao hao mama huwawezi ..ngoja namm nisubiri kama weweHahahaha hatari sana hii, wacha nisubiri simulizi tamu mie ya Lemutuz....
Mwanaume anaejitambua hawezi kuishi kwa kivuli cha mzazi wake..huwezi katika umri huo ukawa bado pussy kias hicho kwamba kila hoja my dad ooh alifanya hivi mara vile..mbona bado mjinga sana ww..unajiita vipi mwanaume mwenue mafanikio wakati ukienda kwa watu cha kwanza wanachotambulishwa ni mtoto wa fulan..yaani bado unaishi kwa kivuli chake..stupid kabisa.- Wazee wote wa zamani walioenda Shule walitoboa, wewe mzazi wako ina maana hakusoma ndio maana hajulikani mpaka leo, sio kosa langu. Malecela is my dad and I am proud of him ni binadam mwenye mapungufu kama wengine. Alinizaa Mwanaume na I toook it from there nimesihi maisha mazuri na very comfortable mpaka leo. Nimejisomesha mwenyewe MAjuu na ndio maana leo nina uwezo wa kuandika niliyoyapitia kuwapa elimu na moyo wengine wasikate tamaa maisha hayategemei baba, ni wewe mwenyewe kusimama na kupigana na here I am living my life as I wanna!
- Marehemu Mama yangu nilitaka kujenga siku ile ile wananchi wakaniambia huwezi kujenga kaburi kwenye udongo kama wa Tunduma siku hiyo hiyo wakanishauri nisubiri like Mwaka mmoja kwanza, ninazo hela za kwenda Vacation Dubai Wiki 2 ila sina hela Ths. 400K za kaburi Tunduma? kama ningekua hivyo ningetakiwa kufa hahahaha
- Maisha yangu yapo sawa sawa tena right on the track, ninaishi vizuri sana kwa sababu nimesafiri dunia nzima ninajua maana ya maisha mazuri ni kama ninayoishi, na ndio maana wenye maisha mazuri hapa mjini wote wananikubali cause wanajua kuwa nipo sawa nao, hapa Bongo kuna Class kama ulikua hujui hata uigize vipi kama huna Class wahusika wanakujua na wanakukwepa,
- Mkuu hapa unashindana na Akili Kubwa nenda kacheze na watoto wadogo wenzako hii ndoma ni kuwa sana kwako, mimi situmii majina ya bandia inaitwa KUJIAMINI uwezo wangu wa kufikiri huna, rudi nyuma kajipange kwanza!
le Mutuz
Mkuu asante sana ubarikiwe mnooo yaan kweli kaniunblock bila juhudi zako ningeendelea kula blockMkuu Shunie Kwa jinsi ulivyokuwa unambembeleza Le Mutuz, Le Kokobanga, Mobimba, Nye nye nye, aku-unblock Instagram, nimeona niwasiliane naye na amekubali kuku-unblock.