Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

We nawe acha ufala sio kila mtu ni x wa Lemutuz,huyo Le Kibamiazi anajishtikizia kila dakika na wakati maisha yake yote ya mitandaoni yani like an old public joker,Mimi ningekuwa huyo mke wake unafikiri ningemuexpose kiasi gani na siri zake zote na miaka yote walioishi?Me Kibamiazi aache kujishtukizia na kumchafua X wake ambaye hana hata time naye.
 
Sasa tuchukulie hivyo unavyotaka ww kwamba ww sio x wake ss maisha yke yanakuhusu nn kila mtu na maisha ndugu yngu tuache roho hzo watu weusi watu km nyie ndio wachawi wenyewe wa kipindi hiki hiyo husda mbaya sna ndugu yngu pole sna muache huyo nae mwita kubwa jinga kibamia ndio maisha yke ww angalia yko ukishindwa njoo pm nikupe mume mm...
 
Mkuu salute!! Umeongea kila kitu umemaliza maana kuna maprofessor wamepiga kitabu balaa na wamekaa majuu miaka kibao lakini wapo hapo bongo na hawana kitu na wanaonekana wamefail maisha. Mie namkubali le kokobanga yuko very open kwa maisha yake , Haigizi.
 
Kuna rafiki yangu mmoja anaitwa nuru ni mdada wa mjini nilikua nakuonaga nae sana miaka flani hivii tukimuuliza lemutuz ni mtu wako anakataa mwisho wa siku akasema nimeachana na lemutuz eti hasi...... acha niishie hapa tu
Mama hujakoma???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utalamba kufuri na uku
 
Le Mutuz jiongeze wanaosema una kibamia na ni wanaume wanataka uwagonge, ki kawaida utani kama huo wanasema wanawake, do it man! All the best
Aisee kweli mwauname Mzima unamwandama Mwanaume Mwenzio eti anakibamia maana Ashawai kukugonga unataka aongeze ili iwe bonge ya pipe ili akupelekee vizuri wapuuzi kweli awa jamaa
 
Hakika Le Mutuz umepambana, nakupongeza sana sana.
Hakuna mwanadamu mkamilifu,

na wengi wetu tunanyooshea vidole vibanzi vya wenzetu huku tukificha maboriti yaliyoko katika maisha yetu ya kila siku.

Umejaribu kupambana bila kuegemea katika mgongo wa wenye madaraka, hukutaka kubebwa, wala kudekezwa na wakubwa.

Umepigana kiume hadi umefanikiwa, umekuwa mfano kwa vijana kuiga falsafa ya kujitegemea kwa kusimama kwa miguu yao.

Sikujui, ila stori yako imenifurahisha sana, ni ya ujasiri na nguvu.

Baadhi ya watoto wa wakubwa hawawezi kupita katika njia zako, wanapita njia za mkato kwa mbeleko.

Kuhusu tabia nzuri au mbaya ni Mungu pekee ndiye anayeweza kusema, sio binadamu.
Binadamu anaweza kutoa ushauri mzuri kwa mtu na sio kuhukumu.

Asante Le Mutuz, kwa stori nzuri ya maisha, wenye busara wamekuelewa vizuri.
 
The List nilichangia mwanzoni baadae nikawa msomaji tu!.
kwenye blue
Hivi toka W. J. Malecela kazaliwa hadi alipofikia hujaona kitu cha vijana kujifunza hadi uishie sema sio mfano wa kuigwa na vijana!..Hujaona historia aliyosema toka alipokuwa kwenye meli mpaka anasoma USA hadi anarud Bongo kuna nini cha kujifunza!?.
  • Vijana hawawezi jifunza ndoto zao zinatakiwa/zinaweza badilika pale watakapokutana na mambo tofauti na waliyoamini?.
  • Hawaezi kujifunza kwamba maisha ni popote wasiogope kwenda sehemu yeyote kutafuta?.
  • Hawaezi kujifunza haijalishi ulikuwa nani na unamjua nani ila utakuwa nani na utawajua kina nani?.
  • Hawezi jifunza usiogope chekwa na dunia mradi unajua nini wafanya?.
  • Hawaezi jifunza unapoona hujafanikiwa ugenini usione aibu kurudi nyumbani kujipanga upya?.
  • Hawaezi kujifunza kutoamini sana wapenzi wao hadi kupiga mapicha ya ajabu?.
Hizo 'tabia za uozo' za Lemutuz tumuachie yeye kama Lemutuz vijana wanatakiwa chukua hustles alizopitia na kujifunza zifanya kwa utaalamu mpya utakaowafanya wafanikiwe mapema!.
Kwenye Red
Hivi ni watu gani hao ambao wanasoma huu uzi halafu wanakufata wewe kukupa siri za Lemutuz, kwani hawawezi kufungua ID na kukoment wao kama wao ili tuwahoji!?. Kuna allegation zingine zitahitaji maelezo tukikuuliza utayakosa itabidi urudi yauliza kwao then uje yajibu sasa kama mwanaume kwanini usiwaambie 'ingieni mchangie hayo mambo JF' kupunguza maswali ya JF kuja kwangu. Je nikisema haya nitakuwa nimekosea?
  • Wewe ni mchochezi.
  • Wewe ni Mbea.
  • Wewe unatumika na wabaya wa Lemutuz.
  • Wewe ni ndugu hasi wa W. J. Malecela.
  • Wewe ni Mange kimambi.
Huyo Mwanamke ni nani?.. Kwanini useme Lemutuz hana akili kwa kutumia mfano wake?. Simfahamu W. J. Malecela lakini nachukua historia wa struggle zake kama mfano bora kwa vijana watafutaji!
 


- hahahahahaha hebu jipime kwa huyu mchumba wangu wa sasa uone hahahaha ona kitu cha natural hicho, ulipokuwa unambembeleza Davis Mosha nikurudie hukujua kua ni kibamia? hahahahaha umejua sasa baada ya kukukataa hahahaha wewe endeleaa kuwa mke wa pili wa Muisilamu,

- Mke wa pili wa Patric Mwanga mume halali wa Mariam Komanya na watoto wao 2 na wewe ndani, hahahahaha pole sana umeolewa lakini huna amani unafuata fuata ndio Wanawake wenzako watajifunza kutoka kwako kua sio wanaume wote hapa Duniani ni wa kuchezea, hahahahaha

- Le Mchumba anaitwa Super Model Maria,

le Mutuz
 


- hahahaha jipime hapo mama wa watoto 2 na picha za mwaka juzi, hii ni last weeek hahahahaha pole sana umenichafua sana ili wanawake wanikatae lakini unaona katoka yule kaja huyu hahahahaha

le Mutuz
le mutuz achana nao bna . huyu ndo neema?
 
le mutuz achana nao bna . huyu ndo neema?


- Hapana huyu ndiye mchumba wangu wa sasa Super Model Maria, sasa nimemletea Neema my ex Wife ajipime maana anajaribu kutishia nyau na picha zake za zamani sana alipokua mdogo, aweke za sasa ajipime na huyu my babe hahahahaha ameyataka mwenyewe!

le Mutuz
 


- Wewe Neema Mwanga Patric achana na mimi nilisha move on wala sikuhitaji, Baba yangu mzazi ana akili sana toka nilipokua na wewe kwenye ndoa aliniambia niuze Shamba na Nyumba yangu kwa sababu aliniambia kuna siku wewe na ndugu zako mtajaribu kuniua kwa sababu ya lile shamba ndilo linalokutesa mpaka leo,

- Niache mimi nina mchumba huyo hapa Super Model Maria, wala hamfanani wewe ni mzee una watoto 2 huyu msichana mbichi sana umeona? hahahahahaha I love it Le Mutuz Mobimba!

le Mutuz
 
huyu mbabe wa ukweli sana hongera.nasra umemuacha? halafu story yako nimeipenda sana bro .unajua mwanzoni nilikuwa sikuelewi ila toka nilivokusoma nimekuheshimu ndugu yangu .wewe ni mshindi amini hivo kwa majanga yale usikubali kabisa mtu akupangie maisha yako .lipi hujawai kuona eti?
 
huyo mwanga patric si ana mke na watoto uk? amemuoa lini tena neema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…