Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Mara yangu ya kwanza kucoment JamiiForums, hii story ikiwezekana tengeneza na movie kabisa, my appetite ya kusoma vitabu iliisha nilivyomaliza college but I got to admit kokokubanga umenistroke kipande cha ubongo cha kusoma, I will def Buy your book, ila ningekushauri tu angalia maneno unayoyaandika watoto Wako watakuja kusoma siku moja, hayo ya your ex kuolewa na mwislamu or kuwa mke wa pili sio jambo la kushangilia coz inaonyesha u are just as bitter, and I am pretty much sure she has a story to tell, usually kuna 3 dimensions ya ukweli, your side , her side and the truth. Whatever u decide to write kumbuka tu isiumize watoto wako muweke hizo ego pembeni, mafanikio yako yote means nothing Kama hautaweza kurekebisha uhusiano wako na watoto and that means kutumia akili kubwa boss and ego pembeni
 
Haahaha wewe kiazi kweli kweli sijakwambia upambane na Le kokobanga pambana na hali yako ; le mutuz keshapambana tayari na sasa anakula matunda ya juhudi zake, wewe unaepoyoka huku nyuma ya keyboard ndio upambane kivyako.
mimi tayari nakula Matunda ya Uhuru kazi yangu nikumshangaa Le Kokobangaz kulialia mapenzi Kama ndio ana balehe

Mwakani panapo majaliwa nastaafu kwa hiari miaka 55 , pension almost 350,000,0000, Na kila mwezi 2,000,000 za kunywea bia.
Hahahahahah\
 
Kiukwel story yakaka mkubwa imenifundisha kitu kikubwa sana ambacho huwa kinanikosesha amani nikumake furaha yangu naamani yakile ninachokiamini bila kujali macho yawatu wala maneno yao, namaisha niuzima mengine yapo2 endapo kama ukiwa naafya njema so haina haja yakuumiza kichwa sana mpaka ukakosa amani kwavitu ambavyo vipo2 ambavyo ukifanya juhudi utavipata2 sio kama pumzi
 
Hahaha Do not Hunt what You Can't Eat Safi Sana Mzee Mwenzangu Le Mutuz Ijapokuwa Tuna Utofauti wa Kiitikadi Lakini Niseme Tu Hii Story Yako ImekoNga Sana Nyoyo na Vijana Wana Mengi ya Kujifunza Big Up Sana Le MUTUZ BOMAYEEE Le MUTUZ NYE NYE NYE NYE Le Mutuz CITWAYEN [emoji106]
 
Le Mutuz ni uongo sana sana DMI pale alishindwa mitihani, kidato cha nne alifeli kwa kupata Division zero.

Nimesoma porojo zake IG simply ni mtu anayerubuni watu kwa kutafuta huruma na excuse ya kushindwa kwake Maisha

- Ukifeli kidato cha nne hakuna College USA inaweza kukubali unless urudie High School, usichokijua ni kwamba ili usome College USA unahitaji kupeleka makaratasi yako World Education Centre for Evaluation na wao wanawatumia maofisa wao wa Ubalozi hapa ambao wanajua our Education system so wanawarudishia info kule kua ulifeli Kidato cha Nne huwezi kuingia College kama nilivyofanya,

- Baada ya Kumaliza High School nilienda JKT Oljoro, niliporudi nilikaa miezi kama 7 kabla sijaondoka kwenye Belgium Mzungu kwa Jina la Captain Frawn akamuomba baba yangu anipe kozi ndogo ya Ubaharia pale DMI nilisoma miezi 6 ulipofika wa Saba nikaondoka nikiwa nusu ya kozi ya Fitter Mechanic lakini hivi ni vitu ambavyo vitakuwemo kwenye kitabu, kuna mengi sana sijayaandika lakini yatakuwemo kwenye kitabu, kwa mfano nikiwa DMI nilishawahi kufanya research kwa wiki Mbili Mv. Bukoba, Mv. Liemba na Mv. Mwongozo Kigoma na Mwanza.

- Ungesema nimemuongopea kua hakuwahi kuwa Deported back to bongo, au kwa sasa amebadili dini na kuolewa mke wa pili, ningekuelewa jaribu kubishania mambo ya msingi katika story yangu sio huu utoto utoto!

Thanks.

le Mutuz
 

1. Nitakapo oa nitaachana na wabebezz, Biblia inasema ni bora Mwanamke aolewe lakini haikusema lazima aolewe akiwa bikira, unajua maana yake? Itafakari then utanielewa.

2. Watoto wangu ni watoto wangu sihitaji kufanya anything new zaidi ya niliyowafanyia sio wao tu hata na mama yao, so thanks but no thanks, nimekataa ku deal na watoto wangu kwa masharti no way and never!

3. Social Media ndio my Butter and Bread, now sijui kama unajua so far kwenye Social Media huwa ninashindana na Mange na Shilawadu tu, ambao wote 2 ni muhimu sana katika kuongeza my Social MEdia Value kama sio hao na Makosa ya Tundu Lissu recently kunishambulia my Online TV ingeshakufa, wamenisaidia sana kuipandisha juu. Its about business sio kubishana na kama unanifuatilia utagnduka huwa sijibu anyone isipokua hao 2 tu!

4. Kuhusu kuandika Vitabu na mengineyo thanks again niliyajua hayo siku nyingi sana na nilishayaamulia maamuzi magumu tayari so usiwe na wasi wasi I am right on the track.

- Again kama ninavyosema siku zote sijawahi kufanya anything on ushauri wa wengine na sijawahi kumshauri anyone in my life kwa sababu anayeyajua maisha yangu ni mimi mwenyewe tu sio wewe wala anyone else!

le Mutuz
 

- Unanifurahisha sana jinsi unavyobadilika badilika kama Kinyonga, kwanza ulijifanya mtu mwema sana baadaye ukaanza kunitukana sasa naona umebadilika tena, hivi kweli wewe hujui kua my ex ameandika hapa kwa miaka yote matusi ya kila namna?

- Well, again mimi hua sina haraka kazi yangu ni Social Media so ukinichokoza humu mimi kazi yangu ni moja tu kutafuta angle ya kutumia ujinga wako kwa faida yangu, my ex katukana kwa miaka mingi sana niamini hajapata hata senti moja kwa kunitukana humu Social MEdia ila mimi ninaingiza pesa kwa kila ninaloandika ndio tofauti yetu,

- Sasa hivi ninaandika kitabu, na nitafanya mengi sana maana ninazo habari nyingi sana na sio kitabu kimoja tu, ninaweza nikaandika kitabu seriously on her tu na kikauza kuliko anything so relax boss hapa kwangu everything is under control, siri yangu ya maisha ni sijawahi kufanya maamuzi nikiwa na hasira huwa ninasubiri nikiwa nimetulia kwanza.

le Mutuz
 

- Akili timamua zilianza kunijia nikiwa Jandoni Porini Dodoma, since then nilishaamua kua maisha yangu ni yangu na matatizo yangu ni yangu hayamuhusu mtu mwingine, mpaka leo ninaishi hivyo!

le Mutuz
 
Atakuwa ni peter mwingine kabisa not from this planet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…