Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,642
kama ni ujinga kipi kimrkufanya na wewe kuushiriki(kuchangia) huo ujinga? wewe ndio mjinga kwa kufuatilia ujinga.Nakiona kibamia kipo bussy kuchangia ujinga ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ni ujinga kipi kimrkufanya na wewe kuushiriki(kuchangia) huo ujinga? wewe ndio mjinga kwa kufuatilia ujinga.Nakiona kibamia kipo bussy kuchangia ujinga ujinga
Nitausoma huu uzi mpaka mwisho, there's a unique character and strength in you I'm learning. In fact, for a very long time I've been wrongly perceiving you kwa sababu you never came out to dispute all the allegations levelled against your character, I now know why you had always been quite. There's a lesson in this. I'm still waiting for more to be revealed- Binafsi sijawahi kuusema Umri wangu isipokuwa ukisoma my story utaona matatizo niliyoyapata kwenda Majuu kwa sababu ya Umri mdogo, na the story behind it ni kwamba baada ya kuachana na my ex Wife aliamua kuanza kunichafua kwenye mitandao na hasa alipojaribu kurudiana nikakataa. Akaanza kutangaza umri wangu wa uongo kwamba nina Miaka 55, baadaye ikawa 56, then 58 mwisho akasema miaka 60, alipoona haina impact yoyote ya mimi kukosa Wasichana hapa Bongo akaamua kuungana na Mange kunichafua, akampa copy ya my Passport ikarushwa Dunia nzima bado haikuwa na Impact ndio mpaka leo kila mtu asiyenipenda ana struggle na umri wangu ambao binafsi nimeamua kutoutaja ili kumuonyesha Shetani anayewaongoza wanaonishambulia kuwa hana nguvu na hajui what is my wekaness.
- Ninasema hivi mimi binadam mnyonge kama wengine wote na sio Mkamilifu, ila kwa sababu ninamjua Mungu for myself najua binadam alituumba binadam kwa mfano wake, na kwamba Mungu alimnyima Shetani kujua siri ya Weakness zetu binadam, so Shetani anapokushambulia anachofanya ni kubahatisha wapi unyonge wako upo kusudi akumalize. Binadam wanapokuchukia wanaongozwa na Shetani ndio maana kwenye my Story nilisema mpaka leo bado ninapigana na Shetani yule yule niliyeanza kupigana naye toka nikiwa mdogo isipokua siku hizi kwa kujua kuwa nina akili nyingi sana ananirushia makombora mazito sana, nilikataa toka nikiwa mtoto kumuonyesha Shetani my Weakness na mpaka leo sijakubali kumpa hiyo nafasi ya kumuonyesha kua amenipata, ndio watu wengu mnahangaika sana na mimi ni kwa sababu mnahangaishwa na Shetani ambaye anadhani anaweza kunivuruga kwa kutumia wajinga wengi kunishambulia.
- Imagine my ex Wife anayo copy za Passport yangu lakini mpaka leo na yeye anahangaika kusimamia umri wangu wewe huoni kua ni maajabu ya Dunia?
- Now majuzi Shetani kabahatisha sana kuchukua kipande cha Video kwa wizi akadhani sasa kanipata, hahahahaha matokeo ni kagundua kua wala hata sijatingishika so anahangaika maana alishawaaminisa watu wake wajinga kwamba kwa hii kivideo atanimaliza hahahahahaha, na yote hii nini ni urithi wa Baba yetu mzazi ambaye yupo hai inasikitisha sana,
- Ninakumbuka nikiwa mdogo ndugu yangu wa kiume Marehemu Senyagwa alipofariki Dunia (Mungu Amuweke Pema Peponi) vichwa vya habari vya Magazeti vilisema "MTOTO WA KWANZA NA PEKEE WA KIUME WA WAZIRI MALECELA AFARIKI DUNIA" ilinishangaza sana as of WHY wameandika vile na huku wanajua nipo na wanjua kua kuna mwingine marehemu Ippy Malecela na yeye ni mtoto wa Malecela? Nani aliyewatuma kuandika vile? Ndio maana ninasema huyo ni Shetani niliyanza naye siku nyingi sana kupigana naye, nia na madhumuni yamekuwa ni kuhakikisha Dunia inaamini mimi sipo na kwa bahati mbaya sana hata my ex Wife naye akatumbukia huo mtego, leo my ex hataki niwaone watoto wangu lakini yupo radhi kuwapelekea kwa maadui zangu za jadi ..hahahahahaha....lakini sijawahi kutingishika wala kubabaika mwendo wangu wa maisha ni ule ule,
- So now najua Shetani anajipanga upya baada ya kuona kivideo hakina effect najua atakuja na kituko kingine cha ajabu maana ni kazi yake kuwaaminisha wale wanaomuamini kua ana nguvu, ambazo ninajua kwa kumjua Mungu hana ndio mimi nipo mpaka leo. Suala la umri analijaribu sana kulitumia Shetani lakini anashindwa kwa sababu sijampa nafasi hahahahahahaha!
I hope nimewasaidia wengi hapa leo kwa haya maneno machache lakini mazito sana ninajua hilo!
le Mutuz Mobimba!
Le mutuz Umeandika mpaka machozi yamenilenga! wewe ni Jasiri kweli wewe ni komandoo vita haujaiaza Leo Since kipindi hiko mpaka Leo upo steel... Hakika ni kama walitangaza kifo chako! lakini naamini Mungu hujawahi muacha mwenye haki- Binafsi sijawahi kuusema Umri wangu isipokuwa ukisoma my story utaona matatizo niliyoyapata kwenda Majuu kwa sababu ya Umri mdogo, na the story behind it ni kwamba baada ya kuachana na my ex Wife aliamua kuanza kunichafua kwenye mitandao na hasa alipojaribu kurudiana nikakataa. Akaanza kutangaza umri wangu wa uongo kwamba nina Miaka 55, baadaye ikawa 56, then 58 mwisho akasema miaka 60, alipoona haina impact yoyote ya mimi kukosa Wasichana hapa Bongo akaamua kuungana na Mange kunichafua, akampa copy ya my Passport ikarushwa Dunia nzima bado haikuwa na Impact ndio mpaka leo kila mtu asiyenipenda ana struggle na umri wangu ambao binafsi nimeamua kutoutaja ili kumuonyesha Shetani anayewaongoza wanaonishambulia kuwa hana nguvu na hajui what is my wekaness.
- Ninasema hivi mimi binadam mnyonge kama wengine wote na sio Mkamilifu, ila kwa sababu ninamjua Mungu for myself najua binadam alituumba binadam kwa mfano wake, na kwamba Mungu alimnyima Shetani kujua siri ya Weakness zetu binadam, so Shetani anapokushambulia anachofanya ni kubahatisha wapi unyonge wako upo kusudi akumalize. Binadam wanapokuchukia wanaongozwa na Shetani ndio maana kwenye my Story nilisema mpaka leo bado ninapigana na Shetani yule yule niliyeanza kupigana naye toka nikiwa mdogo isipokua siku hizi kwa kujua kuwa nina akili nyingi sana ananirushia makombora mazito sana, nilikataa toka nikiwa mtoto kumuonyesha Shetani my Weakness na mpaka leo sijakubali kumpa hiyo nafasi ya kumuonyesha kua amenipata, ndio watu wengu mnahangaika sana na mimi ni kwa sababu mnahangaishwa na Shetani ambaye anadhani anaweza kunivuruga kwa kutumia wajinga wengi kunishambulia.
- Imagine my ex Wife anayo copy za Passport yangu lakini mpaka leo na yeye anahangaika kusimamia umri wangu wewe huoni kua ni maajabu ya Dunia?
- Now majuzi Shetani kabahatisha sana kuchukua kipande cha Video kwa wizi akadhani sasa kanipata, hahahahaha matokeo ni kagundua kua wala hata sijatingishika so anahangaika maana alishawaaminisa watu wake wajinga kwamba kwa hii kivideo atanimaliza hahahahahaha, na yote hii nini ni urithi wa Baba yetu mzazi ambaye yupo hai inasikitisha sana,
- Ninakumbuka nikiwa mdogo ndugu yangu wa kiume Marehemu Senyagwa alipofariki Dunia (Mungu Amuweke Pema Peponi) vichwa vya habari vya Magazeti vilisema "MTOTO WA KWANZA NA PEKEE WA KIUME WA WAZIRI MALECELA AFARIKI DUNIA" ilinishangaza sana as of WHY wameandika vile na huku wanajua nipo na wanjua kua kuna mwingine marehemu Ippy Malecela na yeye ni mtoto wa Malecela? Nani aliyewatuma kuandika vile? Ndio maana ninasema huyo ni Shetani niliyanza naye siku nyingi sana kupigana naye, nia na madhumuni yamekuwa ni kuhakikisha Dunia inaamini mimi sipo na kwa bahati mbaya sana hata my ex Wife naye akatumbukia huo mtego, leo my ex hataki niwaone watoto wangu lakini yupo radhi kuwapelekea kwa maadui zangu za jadi ..hahahahahaha....lakini sijawahi kutingishika wala kubabaika mwendo wangu wa maisha ni ule ule,
- So now najua Shetani anajipanga upya baada ya kuona kivideo hakina effect najua atakuja na kituko kingine cha ajabu maana ni kazi yake kuwaaminisha wale wanaomuamini kua ana nguvu, ambazo ninajua kwa kumjua Mungu hana ndio mimi nipo mpaka leo. Suala la umri analijaribu sana kulitumia Shetani lakini anashindwa kwa sababu sijampa nafasi hahahahahahaha!
I hope nimewasaidia wengi hapa leo kwa haya maneno machache lakini mazito sana ninajua hilo!
le Mutuz Mobimba!
Le mutuz Le Mobimba!- Thanks Boss, on a serious note watu hasa vijana wadogo wanatakiwa kusoma hii "TRUE STORY" of my life na kujitafakari wapi inawahusu nawajua watoto wengi wa Viongozi hapa Mjini wanaoranda randa no life, kisa walilewa na Majina ya Baba zao na sifa za watu wanafiki,
1. Sijawahi kujuta kukosa kuishi in power ya Baba yangu yaani UWaziri Mkuu na Makamu wa Rais, ingawa mara nyingi aliniomba nirudi nilimkatalia katakata, leo ninawaona Watoto wengi ambao alikulia kwenye power wanavyohangaika ninamshukuru sana Mungu, ingawa sio wote wapo ambao Baba zao walizitumia nafasi zao wapo sawa lakini sifurahishwi na maisha yao ya kujificha ficha kuogopa watu wasiwaseme kuhusu baba zao.
2. Enzi za utoto wangu ni Ubaharia na Soccer za Yanga na Simba ndizo zilizokua na impact za kutoboa kimaisha bila kusoma, lakini kwenye Ubaharia ilikua ni more fantasy than reality ambayo niliiona mwenyewe nikiwa baharini Mabaharia walikua wakirudi hawasemi hadithi yote kwa mfano mateso ya kuvuka "Bermuda Triangle" Mishahara midogo kumbuka kwenye ubaharia kulikua na Cheap Labor ya Wafilipino so malipo yalikua madogo sana ila kwa sababu walikua wanakaa muda mrefu bila kuchukua mshahara wakiwa safarini ndio maana walionekana wana pesa waliporudi ingawa pesa haikudumu sana kwa sababu tatizo halikua pesa ila akili ndogo za Mabaharia, nilitaka sana kuepuka kurudi namna hiyo and I did.
3. Nia na lengo langu kwenda ilikua kutafuta Elimu na Maisha bora zaidi nilipofika Majuu nikaishia kupata kitu muhimu sana ambacho sikukifikiria mwanzoni nacho ni "EXPOSURE" ndio maana leo ninawasumbua sana wabongo wenye akili finyu ni kwa sababu hiyo tu. Bongo kuna watu wana pesa lakini hawajui cha kuzifanyia, mimi sina pesa nyingi lakini ninajua what to with my little money. Wananishangaa kwa sababu wanaamini sina pesa sasa ninapofanya mambo yangu ya kipesa ambayo wao wanaamini wanatakiwa wayafanye wao ninawashangaza sana,
- Kuna siku mtu mmoja aliniambia kwamba "SIKU HIZI UNA PESA SANA" nikamuuliza kistaarabu sana ni lini aliwahi kuniona na pesa au nikiwa sina? hakuwa na jibu kwa sababu nilijifunza kwa Baba yangu kua pesa sio our thing,
4. Ninaomba kuchukua nafasi hii kusema bila kupindisha kwamba hii topic hapa imenishangaza sana kwa sababu ni kwa mara ya kwanza kua na mjadala unaonihusu humu JF ambao ni Fair toka nibadili ID yangu fake miaka mingi iliyopita na kua mimi mwenyewe. Nilipokua na Fake ID nilikua maarufu humu JF kuliko wote labda MWanakijiji tu ndiye tulikua level moja, lakini nilipobadili tu ID na kua mwenyewe siku zote imekua negative silalamiki cause ndiyo sababu leo ninakusanya Millions kutokana na Social Media kwa sababu nilianzia hapa JF. Nimefarijika sana kwamba kumbe sio Wabongo wote ni wajinga huu mjadala ukiusoma wote utaona Unbalance ya Negativity ambayo ni ndogo sana kulinganisha na Positive comments. Infact ni kwa mara ya kwanza nimeona watu wengi wakitetea my works in the Story,
- Ingawa pia ninaomba kuwashukuru sana Jamiiforums kwa kuamua kuibeba hii Story of my life, ninawashangaa sana wanaopinga kwa kushindwa kurekebisha wanachokipinga, ukisema hapa anasema uongo unatakiwa uuseme ukweli. Guys this is not about me it is about what I have faced in my life na jinsi nilivyopigana kufikia nilipo, binafsi sina wasi wasi na nilipo ni ninajua kua bila ya kwenda Majuu nisingekua hapa nilipo utajiri wangu mkubwa niliorudi nao ni AKILI KUBWAZZZ I am so proud of myself for that.
- Halafu Haters poleni sana maana bado ninataka kuandika Vitabu vingi, kuna "MY JF EXPERIENCE", "MY FACEBOOK EXPERIENCE", "MY INSTAGRAM EXPERIENCE" "MY BONGO'S EXPERIENCE" so mna kazi sana ya kupinga pinga bila Facts hahaha saty tuned!
le Mutuz Mobimba! Le Mutuz Nye! Nye! Nye!
I salute this man, I'm just speechless aiseeLe mutuz Umeandika mpaka machozi yamenilenga! wewe ni Jasiri kweli wewe ni komandoo vita haujaiaza Leo Since kipindi hiko mpaka Leo upo steel... Hakika ni kama walitangaza kifo chako! lakini naamini Mungu hujawahi muacha mwenye haki
wala watoto wake kuomba omba mtaani! yeye ni mwaminifu na bahati nzuri unammjua!
Pia nitumie Fursa hii kukuomba uni unblock uliniblok 2015 wakati wa campaign kosa lilopelekea kuni block ni baada ya kuhoji mbona matusi mengi , comment nyingi zilikuwa na matusi
please unblock @bosman_makoi najua ni bahati mbaya
le mutuz Le Mobimba BOMAYE! Anajua gharama ya kusamehe inahitaji Process[emoji23][emoji23]Kuwasamehe waliokukosea ni sawa na kuwapa nafasi ingine ya kukuumiza coz they missed you at first
Nye nye nye! U knowle mutuz Le Mobimba BOMAYE! Anajua gharama ya kusamehe inahitaji Process[emoji23][emoji23]
He is realle mutuz Le Mobimba BOMAYE! Anajua gharama ya kusamehe inahitaji Process[emoji23][emoji23]
Mkubwa unachokisema ni Sawa ila bongo ni kugumu sana kwa sisi beginners, tunatamani tufike where you are but capital ni shida. Acha na sisi tuanzie na Huo ubaharia then baadae tukiwa melini tutatafuta kiwanja cha kuanzia maisha kama ww ulivyofanya.- Ubaharia ni kazi ya hovyo sana ndio maana hapa mjini hakuna Baharia aliyefanikiwa kimaisha kama Baharia, labda Marehemu Machen peke yake na yeye haikuwa Ubaharia peke yake ilikua na zaidi. Mimi nilikua Baharia na nawajua almost wote, hapa mjini sijawahi kukutana na mtu mwenye mafanikio kimaisha akaniambia aliwahi kuwa Baharia.
- Kuishi Majuu ni ujanja ila kwa muda fulani sio kwa maisha yote, waliobaki Diaspora wajua rumba la ajabu la kurudi Bongo hakuna kitu wanaogopa kama hicho cha kuambiwa kurudi Bongo,
- Siku niliposhuka Melini niliapa sitarudia tena na kweli mpaka leo sijarudia kwa sababu sio kazi ya maana ni kazi ya Wazungu wasiokua na mbele wala nyuma.
le Mutuz
Sitaki nimeshaghailiAhahha ngoja aje
KheeeeeMtoto wa kwanza wa lemutuz ana 36
Daah- Binafsi sijawahi kuusema Umri wangu isipokuwa ukisoma my story utaona matatizo niliyoyapata kwenda Majuu kwa sababu ya Umri mdogo, na the story behind it ni kwamba baada ya kuachana na my ex Wife aliamua kuanza kunichafua kwenye mitandao na hasa alipojaribu kurudiana nikakataa. Akaanza kutangaza umri wangu wa uongo kwamba nina Miaka 55, baadaye ikawa 56, then 58 mwisho akasema miaka 60, alipoona haina impact yoyote ya mimi kukosa Wasichana hapa Bongo akaamua kuungana na Mange kunichafua, akampa copy ya my Passport ikarushwa Dunia nzima bado haikuwa na Impact ndio mpaka leo kila mtu asiyenipenda ana struggle na umri wangu ambao binafsi nimeamua kutoutaja ili kumuonyesha Shetani anayewaongoza wanaonishambulia kuwa hana nguvu na hajui what is my wekaness.
- Ninasema hivi mimi binadam mnyonge kama wengine wote na sio Mkamilifu, ila kwa sababu ninamjua Mungu for myself najua binadam alituumba binadam kwa mfano wake, na kwamba Mungu alimnyima Shetani kujua siri ya Weakness zetu binadam, so Shetani anapokushambulia anachofanya ni kubahatisha wapi unyonge wako upo kusudi akumalize. Binadam wanapokuchukia wanaongozwa na Shetani ndio maana kwenye my Story nilisema mpaka leo bado ninapigana na Shetani yule yule niliyeanza kupigana naye toka nikiwa mdogo isipokua siku hizi kwa kujua kuwa nina akili nyingi sana ananirushia makombora mazito sana, nilikataa toka nikiwa mtoto kumuonyesha Shetani my Weakness na mpaka leo sijakubali kumpa hiyo nafasi ya kumuonyesha kua amenipata, ndio watu wengu mnahangaika sana na mimi ni kwa sababu mnahangaishwa na Shetani ambaye anadhani anaweza kunivuruga kwa kutumia wajinga wengi kunishambulia.
- Imagine my ex Wife anayo copy za Passport yangu lakini mpaka leo na yeye anahangaika kusimamia umri wangu wewe huoni kua ni maajabu ya Dunia?
- Now majuzi Shetani kabahatisha sana kuchukua kipande cha Video kwa wizi akadhani sasa kanipata, hahahahaha matokeo ni kagundua kua wala hata sijatingishika so anahangaika maana alishawaaminisa watu wake wajinga kwamba kwa hii kivideo atanimaliza hahahahahaha, na yote hii nini ni urithi wa Baba yetu mzazi ambaye yupo hai inasikitisha sana,
- Ninakumbuka nikiwa mdogo ndugu yangu wa kiume Marehemu Senyagwa alipofariki Dunia (Mungu Amuweke Pema Peponi) vichwa vya habari vya Magazeti vilisema "MTOTO WA KWANZA NA PEKEE WA KIUME WA WAZIRI MALECELA AFARIKI DUNIA" ilinishangaza sana as of WHY wameandika vile na huku wanajua nipo na wanjua kua kuna mwingine marehemu Ippy Malecela na yeye ni mtoto wa Malecela? Nani aliyewatuma kuandika vile? Ndio maana ninasema huyo ni Shetani niliyanza naye siku nyingi sana kupigana naye, nia na madhumuni yamekuwa ni kuhakikisha Dunia inaamini mimi sipo na kwa bahati mbaya sana hata my ex Wife naye akatumbukia huo mtego, leo my ex hataki niwaone watoto wangu lakini yupo radhi kuwapelekea kwa maadui zangu za jadi ..hahahahahaha....lakini sijawahi kutingishika wala kubabaika mwendo wangu wa maisha ni ule ule,
- So now najua Shetani anajipanga upya baada ya kuona kivideo hakina effect najua atakuja na kituko kingine cha ajabu maana ni kazi yake kuwaaminisha wale wanaomuamini kua ana nguvu, ambazo ninajua kwa kumjua Mungu hana ndio mimi nipo mpaka leo. Suala la umri analijaribu sana kulitumia Shetani lakini anashindwa kwa sababu sijampa nafasi hahahahahahaha!
I hope nimewasaidia wengi hapa leo kwa haya maneno machache lakini mazito sana ninajua hilo!
le Mutuz Mobimba!
Akikuunblock niombee na mm eenhLe mutuz Umeandika mpaka machozi yamenilenga! wewe ni Jasiri kweli wewe ni komandoo vita haujaiaza Leo Since kipindi hiko mpaka Leo upo steel... Hakika ni kama walitangaza kifo chako! lakini naamini Mungu hujawahi muacha mwenye haki
wala watoto wake kuomba omba mtaani! yeye ni mwaminifu na bahati nzuri unammjua!
Pia nitumie Fursa hii kukuomba uni unblock uliniblok 2015 wakati wa campaign kosa lilopelekea kuni block ni baada ya kuhoji mbona matusi mengi , comment nyingi zilikuwa na matusi
please unblock @bosman_makoi najua ni bahati mbaya
Dah, kweli shunie wakiku unblock utatulia tuliii, hata comments utakuwa hucomment, maana umewasisitiza sana, na wao wanazingua ina maana hawaoni maombi yako haya!Akikuunblock niombee na mm eenh
Yaan nitatulia nitakuwa mkimya nitatoa like tu wanaona basi tuDah, kweli shunie wakiku unblock utatulia tuliii, hata comments utakuwa hucomment, maana umewasisitiza sana, na wao wanazingua ina maana hawaoni maombi yako haya!
Hahahahaaaaa, inabidi le mutuz akitoa reply yake humu, nawe quote uzi wake umwambie aku unblock instaYaan nitatulia nitakuwa mkimya nitatoa like tu wanaona basi tu
Mbona nilishamquote mimiHahahahaaaaa, inabidi le mutuz akitoa reply yake humu, nawe quote uzi wake umwambie aku unblock insta
Sema umri na wewe una miaka mingapi kwahiyo?- Binafsi sijawahi kuusema Umri wangu isipokuwa ukisoma my story utaona matatizo niliyoyapata kwenda Majuu kwa sababu ya Umri mdogo, na the story behind it ni kwamba baada ya kuachana na my ex Wife aliamua kuanza kunichafua kwenye mitandao na hasa alipojaribu kurudiana nikakataa. Akaanza kutangaza umri wangu wa uongo kwamba nina Miaka 55, baadaye ikawa 56, then 58 mwisho akasema miaka 60, alipoona haina impact yoyote ya mimi kukosa Wasichana hapa Bongo akaamua kuungana na Mange kunichafua, akampa copy ya my Passport ikarushwa Dunia nzima bado haikuwa na Impact ndio mpaka leo kila mtu asiyenipenda ana struggle na umri wangu ambao binafsi nimeamua kutoutaja ili kumuonyesha Shetani anayewaongoza wanaonishambulia kuwa hana nguvu na hajui what is my wekaness.