Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Sasa hakuna kilingala kinaitwa citwayen citoyen ni kifaransa maana yake citizen labda ulishindwa elewa jinsi ya kuandika kifaransa oi,oy=wa kwa kifaransa wewe ndo unapiga kelele nakurekebisha Anza kutumia citoyen sio citwayen
Mkuu uko vizuri ktk hiyo lugha sawa lakini haivalidate the story and the msg
 
- hahahaha wangekuwa wanajua mengi wangeshasema, MWanamke alikataa ndoa nikamkubalia sasa kaishia mke wa pili na kubadili dini na kunitukana kwenye mitandao ya kijamii nini tatizo lake? hahahahaah sasa Mkurya kamuoa au kaolewa maana Mwanaume kutumwa kuleta sabuni za kuuza bongo kila wakati na mwanamke huoni ni huzuni sana? hahahahahaha mimi situmwi na Mwanamke yoyote in my life then and now!

le Mutuz
Tehe tehe. Mura anatumwa kuuza/kutembeza sabuni...hahaha!
Nye! Nye! Nye!
 
Mkuu uko vizuri ktk hiyo lugha sawa lakini haivalidate the story and the msg
Mi nilikua nasema citoyen tu other stories I can't accept or doubt them I have never been there au kumjua tu huyo jamaa so siwezi kuponda. Though kuita waafrika wenzako nigga tena in a negative way ni ubaguzi mkubwa si useme black or African American
 
Huwa napenda sana kujifunza maisha kupitia wakubwa zangu waliofanikiwa ila kaka mkubwa Le Mutuz napata shida mno kumuelewa

Pamoja na hayo naamini ana mengi mazuri ya kuturithisha sisi generation mpya ila bado tu hatujamuelewa...
 
Dah stori tamu sana japo watu wanamdisi kuwa jamaa nimuongo
Yes kama ni baharia ni kazi inayolipa kuliko hyo social media bness anayofanya angerudi bongo na kupanda meli nyingine
 
Sasa hakuna kilingala kinaitwa citwayen citoyen ni kifaransa maana yake citizen labda ulishindwa elewa jinsi ya kuandika kifaransa oi,oy=wa kwa kifaransa wewe ndo unapiga kelele nakurekebisha Anza kutumia citoyen sio citwayen

- Sawa sawa hebu iandike Citoyen kwa kilingala! piunguza maneno maneno kwenye hii story yagu ya USA huna la kuongeza wala kupunguza kaaa pembeni ujifunze tu!

le Mutuz
 
Yes kama ni baharia ni kazi inayolipa kuliko hyo social media bness anayofanya angerudi bongo na kupanda meli nyingine

- Ubaharia ni kazi ya hovyo sana ndio maana hapa mjini hakuna Baharia aliyefanikiwa kimaisha kama Baharia, labda Marehemu Machen peke yake na yeye haikuwa Ubaharia peke yake ilikua na zaidi. Mimi nilikua Baharia na nawajua almost wote, hapa mjini sijawahi kukutana na mtu mwenye mafanikio kimaisha akaniambia aliwahi kuwa Baharia.

- Kuishi Majuu ni ujanja ila kwa muda fulani sio kwa maisha yote, waliobaki Diaspora wajua rumba la ajabu la kurudi Bongo hakuna kitu wanaogopa kama hicho cha kuambiwa kurudi Bongo,

- Siku niliposhuka Melini niliapa sitarudia tena na kweli mpaka leo sijarudia kwa sababu sio kazi ya maana ni kazi ya Wazungu wasiokua na mbele wala nyuma.

le Mutuz
 
Naona umeanza kukumkubali....however jamaa yupo true ktk maelezo yake you must agree
Hivi wewe una akili timamu kweli? Unaelewa nimemuunga mkono katika lipi?

Na ni nani aliyekudanganya watu wapo hapa kupinga tu au kusifia tu?

Au wewe ndio yule dogo wa blog ya Le Mutuz aliyeniomba nauli kwenye event ya wizara fulani?
 
- Ubaharia ni kazi ya hovyo sana ndio maana hapa mjini hakuna Baharia aliyefanikiwa kimaisha kama Baharia, labda Marehemu Machen peke yake na yeye haikuwa Ubaharia peke yake ilikua na zaidi. Mimi nilikua Baharia na nawajua almost wote, hapa mjini sijawahi kukutana na mtu mwenye mafanikio kimaisha akaniambia aliwahi kuwa Baharia.

- Kuishi Majuu ni ujanja ila kwa muda fulani sio kwa maisha yote, waliobaki Diaspora wajua rumba la ajabu la kurudi Bongo hakuna kitu wanaogopa kama hicho cha kuambiwa kurudi Bongo,

- Siku niliposhuka Melini niliapa sitarudia tena na kweli mpaka leo sijarudia kwa sababu sio kazi ya maana ni kazi ya Wazungu wasiokua na mbele wala nyuma.

le Mutuz
Kaka asante kwa stori nzuri wenye kujifunza yumejifunza kupitia uliyopitia.

Naomba ufafanuzi ulichomaanisha hapo nilipobold mkuu. Kwanini wanaogopa kurudi, ni kwamba maisha hayapo vizuri kuwafanya waje wasalimie au inakuwaje. Umeniacha kidogo.
 
- Wanaogopa kurudi kuanza maisha upya kama nilivyofanya ndio maana niliporudi walipiga kelele sana kua nimekimbia na maneno mengi ni fear tu kwamba nimefanikiwa kurudi wao wanaogopa.

le Mutuz
 
exposure gani kijinga wewe ni ulimbukeni tu.ndio maana TRUMP awatukana
Trump anantukana mimi au wewe unaelazimisha Le Mutuz aishi unavyotaka wewe! Let him live his life, hata huyo Trump hafatilii maisha ya mtu ndo maana kuna Mashoga na Mahakahaba na serikali haiwabughudhi ilimradi hawavunji sheria na wanalipa kodi. Ishi maisha yako, hata ukitaka kuwa shoga its up to u, ukipata mshahara nenda kale bata Dubai nawewe usilazmishe aishi kimasikini km wewe.
 
Usicheke jaman utaharibu hapa naomba anunblock insta hata dalili siioni sijui ndio nazidi kuharibu
Bado hujafunguliwa tu jamani!! Au tuandamane nini? Binafsi nammiss sana ndio maana niko fulu kny huu uzi.
 
Back
Top Bottom