Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz huwa anakataa umri wake bure.

Marehemu Mzee Nyirabu alikuwa Office kati ya 1974-1989.

Mzee Jamali Waziri wa Fedha mara ya pili 1979-1983.

Roughly tuchukulie 1983 ndio aliomba Visa ya Belgium. Hadi kumaliza form 4, JKT etc si chini ya miaka 20. Jumlisha tofauti ya 2018 na 1983 inakuja 55 years Ndio Umri watu ambao huwa wanamwabia. Ila yeye anadai ana 35 yrs.

Jf haijawahi kuniangusha,hahahajaja
 
- Thanks boss I am nothing but imperfect creature of God, lakini toka ninasoma mpaka leo sijawahi kukosa pa kulala wala pa kula na mara ya mwisho kupewa hela na wazazi ilikua nikiwa Form Two, na siku zote nimekua ninaishi maisha yangu bila ya tatizo mpaka leo, infact hata niliporudi na USD $ 1000 bado niliweza kuishi maisha yangu mpaka leo, nina kampuni, nina wafanyakazi, nina ofisi yangu Posta, ninaishi Apartment nzuri hapa Posta, now ukiwasikiliza haters humu ni kama vile haya yote sio mafanikio ya mtu aliyeishi Majuu, ok labda niwaulize mtu aliyeishi majuu anatakiwa kuwa na nini hasa? Na wapo wangapi hapa mjini? maana mimi kila siku jamaa kibao waliokuwa wananicheka nilipokua ninaenda Shule Majuu wanashinda ofisini kwangu kuomba nauli,

- Guys waulizeni waliobaki Majuu kama ni rahisi kurudi Bongo na kufanikiwa kuishi kama mimi, wakiamua kua wakweli utalia machozi jinsi wanavyoumia na kurudi kwangu. Sijawahi kufanya anything bila kufikiri au kua na Facts za justifications, ndio maana sijawahi kuuliza ushauri wa Wabongo cause wengi wetu uwezo wa kufikiri ni mdogo sana halafu tumekaririshwa maneno ambayo hata maana yake hatujawahi kuijua wala kuishi,

- Le Kigagula ana Dunia yake na siku zote ni agent wa kutumiwa na Wengine kwa manufaa yao huku akidhani kwamba yeye ni Powerful sana kumbe inategemea na wanaowashambulia, mimi sijawahi kumuogopa na mashambulizi yake yote cause najua anachotafuta yaani kilichomshinda Mama yangu wa Kambo ambaye ni marehemu sasa, anahangaika tu hapa ni ukuta, ila kuna anaowatesa na anayoyafanya sio mimi.

- Vijana wadogo wa Bongo wana choice ya kuchagua wanataka nini na inategemea nini kinawalipa, ingawa ninapowaangalia hua nasikia kulia maana they have no clue na kinachoendelea zaidi ya kuja hapa na kutukana tukana, ndio maana juzi niliwaambia Shilawadu kwamba nilipokua umri wenu nilikua Shule, nyinyi mnafanya kazi ya kutukana maadui wa bosi wenu, sasa mkifikia ukubwa au uzeeni Bosi wenu atakuwepo? Je bado mtakua mnafanya kazi hapo mlipo? Je maadui wa bosi wenu mnaowatukana sasa hivi hamtawahitaji mbele ya safari?

- Again Vijana wana Choice kusuka au kunyoa!

le Mutuz
Hii point kubwa sana. salute you bro
 
- hahahaha hapo nilikua Dubai kwenye mapumziko, I mean sijawahi kujaribu kuwaelewa Wabongo wengi sana ambao hawana maisha lakini wapo mbele kulilia maisha ya wengine.

- Nimkwenda Belgium, kule nimetumia Miaka 5 ya kusoma na kurudi Bongo nikajenga nyumba jirani na Mzee Apiyo ambaye baadaye niliiuza nikaongeza pesa zangu za mtaani nikaenda USA nikaishi Miaka 25 ambayo 10 niliitumia kusoma. Nikarudi Bongo na Dola 1000, 500 nikanunua Laptop ambayo ndiyo nilifungulia Blog na kuanza kupiga pesa za matangazo, nilianza na Elfu Tano mpaka leo Ninapiga Millions. Nikafungua Kampuni ambayo leo inaajiri vijana 10, 6 kati yao wamemaliza Vyuo Vikuu, nimefanikiwa kuwa na Apartment with 3 Bedrooms downtown Posta, nina Ofisi yangu downtown Posta, nina gari la kunitoa Point A to B, ninajilipia maisha yangu, ninasaifiri kila wakati Kikazi na kula batazz sometimes. Kila Mwisho wa Mwaka ninaenda Nje kupumzika, Mwaka juzi nilienda South Africa Wiki 2 kupumzika, Mwaka Jana nikaenda China Hong Kong na Macau Kupumzika, Mwaka huu nimeenda Dubai kupumzika for 2 Weeks,

- Eti humu JF ninaambiwa na Life failure? huwa naishia kucheka sana sana maana sijawahi kuona binadam mbumbumbu kama wengi humu ndani, I mean nina nyumba na shamba Kinyerezi na nina Plot Mbweni, lakini kwangu cha msingi ni Quality ya maisha ninayoishi.

- Kumbuka niliporudi Bongo for Good Miaka 6 iliyopita sikuwa ninamfahamu mtu hapa mjini, lakini ni my Social Media works ndio zimenifanya leo ninafahamiana na kila mtu, Masikini na Matajiri wake kwa waume. Now ninalishagundua kua Masikini wenzangu wengi urafiki wangu na Matajiri unawasumbua sana hahahahaha lakini it is what it is kila mtu na maisha yake, honestly guys mimi mpaka leo hua naamini bado nipo USA ndio maana hua sina muda na mtu wala maneno ya kijinga jinga, akili yangu ni kubwa sana that sina muda wa kusikiliza ujinga wala kuujali,

- Msimamo wangu ya Kisiasa ni ninaunga mkono CCM kwa facts, ndilo kosa langu kubwa humu JF lakini I love JF maana Skills zangu za Social Media nilizipatia hapa na umaarufu wangu wa Social Media umeanzia hapa enzi zile watoto wadogo wengi humu mlikua hmajazaliwa, so guys kwa nini unahangaikia maisha ya mtu kama mimi ambaye nipo sawa ninaishi ninavyotaka na wewe huna maisha? Kumbuka binadam mwenye maisha hawezi kua na muda wa kujua maisha ya mtu asiyemjua, so poleni sana haters maana hapa kwangu mmekutana na ukuta hahahahahaha

- "MY AMERICAN EXPERIENCE" ni mwanzo tu bado nitaandika kuhusu Miaka 6 back in bongo, kuna "MY INSTAGRAM EXPERIENCE" BADO ninataka kuweka wazi "MY INSTAGRAM DATING EXPERIENCE" na katika Vitabu vyote hivi ni cha "MY INSTAGRAM DATINNG EXPERIENCE" ndio kitakuwa namba moja I know that maana nitawashangaza sana wapiga kelele the life I have lived in Instagram for the last 3 years of my fame, angalia unayejifanya kimbele mbele sana usije kukuta mama yako mzazi ameshawahi kuwa victim au dada yako, hahahahahahaha

- Guys bakisha maneno hujui lolote zaidi ya kujidanganya unajua ukweli wakati hujui kitu, tulia uelimishwe

Le Mutuz Mobimba! ...Le Mutuz Nye! Nye! Nye!
Marinda yapo hv au
 
hii inaitwa funga mdomo wako na kakojoe ukalale... mobimba mzee wa fact

27857858_890529534462779_6911976504132179957_n.jpg

- I hope nimekusiadia kidogo maana sikutaka kuweka evidence kama hizi mapema hahahahaa nitakuletea na my Seamen Book maana kila Meli unayopanda lazima ugongewe muhuri kipo so futa kauli zako za kipumbavu sana, Meli nilipanda labda kabla hujazaliwa na kina Hussein Machen hukuwepo hapa Duniani kubali tu

le Mutuz Kokobanga
 
- Thanks boss I am nothing but imperfect creature of God, lakini toka ninasoma mpaka leo sijawahi kukosa pa kulala wala pa kula na mara ya mwisho kupewa hela na wazazi ilikua nikiwa Form Two, na siku zote nimekua ninaishi maisha yangu bila ya tatizo mpaka leo, infact hata niliporudi na USD $ 1000 bado niliweza kuishi maisha yangu mpaka leo, nina kampuni, nina wafanyakazi, nina ofisi yangu Posta, ninaishi Apartment nzuri hapa Posta, now ukiwasikiliza haters humu ni kama vile haya yote sio mafanikio ya mtu aliyeishi Majuu, ok labda niwaulize mtu aliyeishi majuu anatakiwa kuwa na nini hasa? Na wapo wangapi hapa mjini? maana mimi kila siku jamaa kibao waliokuwa wananicheka nilipokua ninaenda Shule Majuu wanashinda ofisini kwangu kuomba nauli,

- Guys waulizeni waliobaki Majuu kama ni rahisi kurudi Bongo na kufanikiwa kuishi kama mimi, wakiamua kua wakweli utalia machozi jinsi wanavyoumia na kurudi kwangu. Sijawahi kufanya anything bila kufikiri au kua na Facts za justifications, ndio maana sijawahi kuuliza ushauri wa Wabongo cause wengi wetu uwezo wa kufikiri ni mdogo sana halafu tumekaririshwa maneno ambayo hata maana yake hatujawahi kuijua wala kuishi,

- Le Kigagula ana Dunia yake na siku zote ni agent wa kutumiwa na Wengine kwa manufaa yao huku akidhani kwamba yeye ni Powerful sana kumbe inategemea na wanaowashambulia, mimi sijawahi kumuogopa na mashambulizi yake yote cause najua anachotafuta yaani kilichomshinda Mama yangu wa Kambo ambaye ni marehemu sasa, anahangaika tu hapa ni ukuta, ila kuna anaowatesa na anayoyafanya sio mimi.

- Vijana wadogo wa Bongo wana choice ya kuchagua wanataka nini na inategemea nini kinawalipa, ingawa ninapowaangalia hua nasikia kulia maana they have no clue na kinachoendelea zaidi ya kuja hapa na kutukana tukana, ndio maana juzi niliwaambia Shilawadu kwamba nilipokua umri wenu nilikua Shule, nyinyi mnafanya kazi ya kutukana maadui wa bosi wenu, sasa mkifikia ukubwa au uzeeni Bosi wenu atakuwepo? Je bado mtakua mnafanya kazi hapo mlipo? Je maadui wa bosi wenu mnaowatukana sasa hivi hamtawahitaji mbele ya safari?

- Again Vijana wana Choice kusuka au kunyoa!

le Mutuz
Dah aisee kisu kiligusa mfupa
 
Muulize muhusika mimi ni mjumbe tu.

Pamoja na Ujumbe wako unakosea kitu kimoja,
Kuziweka episodes zote mfulululizo,
Nadhani hata yeye hajashindwa kuziweka hivyo mfululizo kama unavyoziweka wewe, anaweka moja moja ili watu wazisome kwanza (Regardless ni za ukweli ama vipi).
 
exposure gani kijinga wewe ni ulimbukeni tu.ndio maana TRUMP awatukana
Tulia we mchimba chumvi, kwanza unajua kuspendi ww? Au unadhani kuchunwa ndo kuspend? Mtu alikua anafly af analala hotelin, unazijua hotel au umezoea gest bubu unazo lala ukiwa safari? Watu tonatofautiana, unaweza kuwa tajiri lkn bahiri au kipato cha kawaida lkn mtu wa matanuz. So ni aina tu ya maisha mtu unaweza hagua. Km huna exposure huwez ng'amua haya
 
Hivi alikaa ubelgiji ameshindwa hâta kuandika citoyen anaandika citwayen [emoji23][emoji23][emoji23] ila story nzuri japo sijapenda anapowaita waafrika wenzake nigga.

- Cintwayeen Kintonzengu ni kwa kilingala pole sana mkuu, miaka 5 ya kukaa Belgium nilijifunza Kilingala chote pale Matonge, hayo majina yangu ya Kilingala ni Majina Mobutu alimpatia Mohamed Ali alipopigana na Foreman Zaire, muwe mnatafiti kabla ya kupiga piga kelele!

le Mutuz
 
- Cintwayeen Kintonzengu ni kwa kilingala pole sana mkuu, miaka 5 ya kukaa Belgium nilijifunza Kilingala chote pale Mtonge, hayo majina yangu ya Kilingala ni Majina Mobutu alimpatia Mohamed Ali alipopigana na Foreman Zaire, muwe mnatafiti kabla ya kupiga piga kelele!

le Mutuz
Mobimba Nye nye nye [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
- hahahaha wangekuwa wanajua mengi wangeshasema, MWanamke alikataa ndoa nikamkubalia sasa kaishia mke wa pili na kubadili dini na kunitukana kwenye mitandao ya kijamii nini tatizo lake? hahahahaah sasa Mkurya kamuoa au kaolewa maana Mwanaume kutumwa kuleta sabuni za kuuza bongo kila wakati na mwanamke huoni ni huzuni sana? hahahahahaha mimi situmwi na Mwanamke yoyote in my life then and now!

le Mutuz
Kwahili tuko pamoja and i strong support you.

Hizi ni kauli za kiume no matter what.
 
- Cintwayeen Kintonzengu ni kwa kilingala pole sana mkuu, miaka 5 ya kukaa Belgium nilijifunza Kilingala chote pale Mtonge, hayo majina yangu ya Kilingala ni Majina Mobutu alimpatia Mohamed Ali alipopigana na Foreman Zaire, muwe mnatafiti kabla ya kupiga piga kelele!

le Mutuz
Sasa hakuna kilingala kinaitwa citwayen citoyen ni kifaransa maana yake citizen labda ulishindwa elewa jinsi ya kuandika kifaransa oi,oy=wa kwa kifaransa wewe ndo unapiga kelele nakurekebisha Anza kutumia citoyen sio citwayen
 
Napekua humu siooni kale ka clip ka kutoka bafuni
 
Sawa ni number, lakini kuna vitu ukifika inabidi u slow down kidogo. Matokeo yake unapigwa picha kama zile.

Kwa utamaduni wetu pia tumezoea kuona wazee ni watu wa hekma busara etc, sasa its odd kumuona Mtu anayekaribia 60 anafanya mambo ya kibaridhuli kwenye mitandao.
Mkuu lilaksi itatolewa maelezo ktk moja ya episodes humu wait and read...
 
Back
Top Bottom