Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, niwie radhi, tuendelee na story, nisija kukutibua tukakosa story yetu nzuri. tafadhali, lete story bwana watu wanasubiri. mimi na wewe tunatofautiana vitu vichache tu, umri mkubwa ila una mambo ya kitoto, kwa umri wako you deserve to be my father kabisa, nakuheshimu kwa hilo, kingine kujiona una akili nyingi wakati sisi wenzio tunaokufahamu tunakuona wa kawaida tu, sio mjinga ila ni wa kawaida sana, na hata story yako ukiisoma inaonyesha umefanya mambo ya kawaida mno yasiyotumia akili bali nguvu, isipokuwa ni story itakayowasaidia sana watoto wa kitanzania hasa wanaoamini kenda majuu ni kufanikiwa ukikanyaga tu ardhi, wajifunze kuvumilia na kuishi kwa kujitegemea etc. nasema toka moyoni tuishie hapa malumbano twende kwenye story mkuu!- Nimejairbu kukuelewa what is your point? naona unapigana na tunatofautiana mimi sikufahamua sasa kutofautina kwako na mimi kuniongezea au kupunguza nini sijui? Otherwise sijaona point yako ya msingi so far ni nini? Kusema na wewe umeishi majuu au what? Andika na wewe Historia yako please
le Mutuz
[emoji3][emoji3][emoji3]HAYA MWAGA MAMBO HAYO MKUU ..nasubiri kuona hao mademu waliokulwa na mtu Mwenye mafanikio ...
akiamua kutaja majina hapa da betina (mange) atakuwa wa kwanza kupakaziwa. sipati picha atakavyochafua insta kwa hasira.[emoji3][emoji3][emoji3]
Nawaza tu hapa sijui watatajwa na majina yaan
aisee acha hizo Kiba 100 ndio nani sasa hapa ..hahaaa..@mshana aumr kiba100
[emoji3][emoji3][emoji3]
Nawaza tu hapa sijui watatajwa na majina yaan
tehee hicho ndio kilichonifnya nikaagiza popcorn[emoji3][emoji3][emoji3]
Nawaza tu hapa sijui watatajwa na majina yaan
aisee acha hizo Kiba 100 ndio nani sasa hapa ..hahaaa..@mshana au
daahhh ila huyu Jamaa anaonekena kala chumvi nyingi kweli ..naskia kuna member mmoja alisema ana umri mkubwa kuliko Tanzania..?
Mkuu, niwie radhi, tuendelee na story, nisija kukutibua tukakosa story yetu nzuri. tafadhali, lete story bwana watu wanasubiri. mimi na wewe tunatofautiana vitu vichache tu, umri mkubwa ila una mambo ya kitoto, kwa umri wako you deserve to be my father kabisa, nakuheshimu kwa hilo, kingine kujiona una akili nyingi wakati sisi wenzio tunaokufahamu tunakuona wa kawaida tu, sio mjinga ila ni wa kawaida sana, na hata story yako ukiisoma inaonyesha umefanya mambo ya kawaida mno yasiyotumia akili bali nguvu, isipokuwa ni story itakayowasaidia sana watoto wa kitanzania hasa wanaoamini kenda majuu ni kufanikiwa ukikanyaga tu ardhi, wajifunze kuvumilia na kuishi kwa kujitegemea etc. nasema toka moyoni tuishie hapa malumbano twende kwenye story mkuu!
hivi mheshimiwa waziri mkuu mstaafu, ina maana hili koloni alilisahau kabisa, akasahau hata siku ile walivyokutana? hata kumjengea kakibanda hako tu jamani, wakati huo lembebez alikuwa anakula maisha na nigaz America, story yake yote ile ya naman alivyokuwa anabadilisha wanawake marekani mamake kamsahau ivyo, no wonder laana inamfuata hakiya kweli. shukran gani sasa alimpa huyu mama, amekuzaa ukamkimbia 30 years majuu na umemwacha kwenye kijumba hicyo wewe unabadilisha volkswagen jetta. hahahaha.

hivi kweli unaweza kumdate msichana mzuri namna iyo kumbe mamako yupo kwenye kile kipagale? si laana hiyo?
hivi mheshimiwa waziri mkuu mstaafu, ina maana hili koloni alilisahau kabisa, akasahau hata siku ile walivyokutana? hata kumjengea kakibanda hako tu jamani, wakati huo lembebez alikuwa anakula maisha na nigaz America, story yake yote ile ya naman alivyokuwa anabadilisha wanawake marekani mamake kamsahau ivyo, no wonder laana inamfuata hakiya kweli. shukran gani sasa alimpa huyu mama, amekuzaa ukamkimbia 30 years majuu na umemwacha kwenye kijumba hicyo wewe unabadilisha volkswagen jetta. hahahaha.
Hahahaha Akili kubwa...hivi kweli unaweza kumdate msichana mzuri namna iyo kumbe mamako yupo kwenye kile kipagale? si laana hiyo?
hivi mheshimiwa waziri mkuu mstaafu, ina maana hili koloni alilisahau kabisa, akasahau hata siku ile walivyokutana? hata kumjengea kakibanda hako tu jamani, wakati huo lembebez alikuwa anakula maisha na nigaz America, story yake yote ile ya naman alivyokuwa anabadilisha wanawake marekani mamake kamsahau ivyo, no wonder laana inamfuata hakiya kweli. shukran gani sasa alimpa huyu mama, amekuzaa ukamkimbia 30 years majuu na umemwacha kwenye kijumba hicyo wewe unabadilisha volkswagen jetta. hahahaha.
Kwa Mange hawezi yaan nawaza mtu unawekwa picha yako na jina lako [emoji3][emoji3] watu watakufwaakiamua kutaja majina hapa da betina (mange) atakuwa wa kwanza kupakaziwa. sipati picha atakavyochafua insta kwa hasira.
Babu jaman
Tanzania ilizaliwa 1964, right?daahhh ila huyu Jamaa anaonekena kala chumvi nyingi kweli ..naskia kuna member mmoja alisema ana umri mkubwa kuliko Tanzania..?
Ahaha na unawekwa picha yako na jina lakotehee hicho ndio kilichonifnya nikaagiza popcorn