Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Mkuu Shunie Kwa jinsi ulivyokuwa unambembeleza Le Mutuz, Le Kokobanga, Mobimba, Nye nye nye, aku-unblock Instagram, nimeona niwasiliane naye na amekubali kuku-unblock.

Sasa nafikiri uko huru kutembelea page yake ya Instagram.
Unajua Le Mutuz ni mtu mmoja "peace" sana, and he is always humble you know! Ha ha ha ha.

By the way, Le Mutuz amesema usirudie tena kuandika mambo ya "kipuuzi" kwenye Page yake ya Instagram, uki-comment, ucomment kwa adabu. Ha ha ha ha ha.
na mimi nimemuomba sana ani unblock ni Muda sasa embu niombee huko mkuu.!
 
Mzee William pole sana ni lazima uwe na uchungu sana Neema si unajua tena uliwahi kunywa hadi sumu kwa ajili yake Agapeo yuko over 18 mbona hakutafuti lakini anawasiliana na shangazi zake na babu yake na wao ndio wanawatia moyo watoto Sechela na Mwele hadi wanaomba msamaha on your behalf wanasema ikiwa William aliweza kumtupa mama ake akawa anaishi kimaskini kwenye kibanda cha choo sasa ataweza kumjali nani tena?Ile video yako imewadhalilisha ukoo wote wa Malecela hadi mzee pressure ilipanda ,Watoto wanafata ushauri wa shangazi two Do Mwele na Sechela kwamba wakuacge tu uendeleee kuwa teenager na uzidi tu kudesrespect mama yao hadi umeaibishwa na mtoto Nasra internationalpole babu kipoint
 
Hivi kweli mtu mzima mwenye utu na staha utapost picha ya mama mzazi wa mtu ambaye ameshatangulia mbele za haki kaw ajili ya ushabiki wa mitandaoni tuu..ni ushabiki tu au kumdhalilisha le mutuz tu...au unamdhalilisha na huyo marehemu ambae humjui wala hakujui.jaribu kifikiria hao waliokutuma wamekuonaje.....kama sio punguani tuu..what do you get by doing ths...kwa nini usimuatack le mutuz as le mutuz hadi umtaje marehemu mama yake...you redefine the words stupid and fool to new meanings never described before...RIP MAMA WILLIAM..TUNAOMBA UWASAMEHE HAWA MONKEYS
Punguza kiherehere we shoga....

Le Mutuz huwa anashobokea mabebz...

Usijipendekeze kwake ukidhani anaendekeza makalio....
 
Unaonyesha kbs ww ni mpinzani wa William lazima ifikie kipindi ukubari huyo ni mzazi mwenzio hao watt wenu ipo siku wataujua ukweli ila unachomfanyia mwenzio jiandae kkulipa hapa hapa duniani sijawai kuona mwanamke mshenzi na jeuri km ww maana ufikirii hata maumivu wanayopata watt wako... Dk mwele mnafiki tu awezi kuwa na mapenzi na watt wako km baba yao...
 
Wewe mzee tunakuheshimu sana

Nadhani umezoea kukutana na machangudoa,
Mapenzi yana malengo mengi wewe umezoea kukutana na wapenda mafanikio
Wengine wanakutana na wapenda mihogo hata lodge akilipia hana tabu.

Kwa hiyo wacha kutuweka kundi moja.
Pambana na mademu zako.
Nawe umeliwa?
 
Hivi kweli mtu mzima mwenye utu na staha utapost picha ya mama mzazi wa mtu ambaye ameshatangulia mbele za haki kaw ajili ya ushabiki wa mitandaoni tuu..ni ushabiki tu au kumdhalilisha le mutuz tu...au unamdhalilisha na huyo marehemu ambae humjui wala hakujui.jaribu kifikiria hao waliokutuma wamekuonaje.....kama sio punguani tuu..what do you get by doing ths...kwa nini usimuatack le mutuz as le mutuz hadi umtaje marehemu mama yake...you redefine the words stupid and fool to new meanings never described before...RIP MAMA WILLIAM..TUNAOMBA UWASAMEHE HAWA MONKEYS
Tatizo sio mama ila hiyo house hapo nyuma, after 31 years za majuu + magari ya "kifahari" +kazi nzuri (dereva ya magari taka) + digrii tatu kweli hapo ndo mama yako anaishi!! Kweliii!!! Mobinda hana cha kujitetea kwenye hili, alimtelekeza mama yake (RIP).. No wonder baada ya miaka yote hiyo ya majuu akarudi na dola kadhaa za laptop na chenchi ya usd 500
 
Punguza kiherehere we shoga....

Le Mutuz huwa anashobokea mabebz...

Usijipendekeze kwake ukidhani anaendekeza makalio....
Hahahah....naonaga humu wanakuitaga babu...wanalikosea heshima hilo jina ambalo kwetu waafrika linamaanisha mtu mwenye busara,weledi na staha wewe kwa maandiko yako humu ambayo bila shaka yeyote yanawakilisha maisha yako ya ovyo unayoishi huna sifa hata robo ya hilo jina...na kuanzia leo nakubatiza jina lako linaloendana na wewe...na utaitwa kubwa jinga..
 
Mzee William pole sana ni lazima uwe na uchungu sana Neema si unajua tena uliwahi kunywa hadi sumu kwa ajili yake Agapeo yuko over 18 mbona hakutafuti lakini anawasiliana na shangazi zake na babu yake na wao ndio wanawatia moyo watoto Sechela na Mwele hadi wanaomba msamaha on your behalf wanasema ikiwa William aliweza kumtupa mama ake akawa anaishi kimaskini kwenye kibanda cha choo sasa ataweza kumjali nani tena?Ile video yako imewadhalilisha ukoo wote wa Malecela hadi mzee pressure ilipanda ,Watoto wanafata ushauri wa shangazi two Do Mwele na Sechela kwamba wakuacge tu uendeleee kuwa teenager na uzidi tu kudesrespect mama yao hadi umeaibishwa na mtoto Nasra internationalpole babu kipoint
Ndugu yangu unajidhalilisha mwanamke mwenzangu. Usione hivyo unavyoongea ndo tutakuona upo sahihi, tena mm huwa nakutafsiri bado unamtaka le kokobanga coz huishi kumuandama
 
Hahahah....naonaga humu wanakuitaga babu...wanalikosea heshima hilo jina ambalo kwetu waafrika linamaanisha mtu mwenye busara,weledi na staha wewe kwa maandiko yako humu ambayo bila shaka yeyote yanawakilisha maisha yako ya ovyo unayoishi huna sifa hata robo ya hilo jina...na kuanzia leo nakubatiza jina lako linaloendana na wewe...na utaitwa kubwa jinga..
Kumbe unajua mimi ni babu yako afu unaleta dharau. Ntakuachia laana ubadilishwe jinsia. Ndo utajifunza kuwaheshimu wakubwa zako...

Picha za waliotangulia mbele za haki kuna ubaya gani zikibandikwa jamvini? Kila siku tunabandika picha za mwalimu Nyerere sijawahi kukuona ukihemkwa. Mama yake Le Mutuz anakuuma kwanini mpaka unitukane?

Endelea kunitukana ... Malabuku!
 
Mbona kama ni pagale lililotelekezwa? Mshiko umekata au?
Le white house in the making, nenda ukasome majibu yake huko, mara naiuza, mara ningeirekebisha, mara siitaki.. Oh kuna watu wanaishi... Labda wewe utamulelewa
 
Kumbe unajua mimi ni babu yako afu unaleta dharau. Ntakuachia laana ubadilishwe jinsia. Ndo utajifunza kuwaheshimu wakubwa zako...

Picha za waliotangulia mbele za haki kuna ubaya gani zikibandikwa jamvini? Kila siku tunabandika picha za mwalimu Nyerere sijawahi kukuona ukihemkwa. Mama yake Le Mutuz anakuuma kwanini mpaka unitukane?

Endelea kunitukana ... Malabuku!
Hahahah...shikamoo babu.....but issue sio kupost picha but why umepost picha...lengo ni nin..nyerere huwa anapostiwa hata video zake but lengo ni zuri either kutuelimisha au kutukanya..but picha ya mama yake le mutuz umeipost kwa nia ipi...kumdhalilisha hata mama ambae ni lama mama yako...come on babu jinga you knw better than that...kama ni kumshambulia le mutuz at least mwache marehemu pembeni apumzke...sawa babu J.....
 
Mzee William pole sana ni lazima uwe na uchungu sana Neema si unajua tena uliwahi kunywa hadi sumu kwa ajili yake Agapeo yuko over 18 mbona hakutafuti lakini anawasiliana na shangazi zake na babu yake na wao ndio wanawatia moyo watoto Sechela na Mwele hadi wanaomba msamaha on your behalf wanasema ikiwa William aliweza kumtupa mama ake akawa anaishi kimaskini kwenye kibanda cha choo sasa ataweza kumjali nani tena?Ile video yako imewadhalilisha ukoo wote wa Malecela hadi mzee pressure ilipanda ,Watoto wanafata ushauri wa shangazi two Do Mwele na Sechela kwamba wakuacge tu uendeleee kuwa teenager na uzidi tu kudesrespect mama yao hadi umeaibishwa na mtoto Nasra internationalpole babu kipoint
Huwezi kuita wanawake wanaojitambuwa ukamuhesabu na Dr Mwele.

Huyu tangu alivyompanulia Kim Kimbangambanga lisanii la mjini The heart breaker nashindwa hata kuelewa huyu Mwele alihitimu vipi huu Udaktari wake.

Kwa sisi wanamzizima mpaka leo hatuelewi, kwahili ni heri ya Le Mutuz naweza kumuona ni akili kubwa.
 
Tatizo sio mama ila hiyo house hapo nyuma, after 31 years za majuu + magari ya "kifahari" +kazi nzuri (dereva ya magari taka) + digrii tatu kweli hapo ndo mama yako anaishi!! Kweliii!!! Mobinda hana cha kujitetea kwenye hili, alimtelekeza mama yake (RIP).. No wonder baada ya miaka yote hiyo ya majuu akarudi na dola kadhaa za laptop na chenchi ya usd 500
Weka hapa nyumba uliyomjengea mama yako mzazi tuione.
 
Hah hah... I expected that from Le mutuz.. Multiple id au vepeeee? Mama yangu angekuwa by any chance anaishi mazingira hayo ningeishi kama fala hapa town mpaka nimjengee, unfortunately or fortunately bi mkubwa wangu yeye nikimpa latest phones na vizawadi vya hapa na pale she is more than fine.. Story za nyumba tulizimaliza mid 2000's huko..
 
Hahahah...shikamoo babu.....but issue sio kupost picha but why umepost picha...lengo ni nin..nyerere huwa anapostiwa hata video zake but lengo ni zuri either kutuelimisha au kutukanya..but picha ya mama yake le mutuz umeipost kwa nia ipi...kumdhalilisha hata mama ambae ni lama mama yako...come on babu jinga you knw better than that...kama ni kumshambulia le mutuz at least mwache marehemu pembeni apumzke...sawa babu J.....
Mama wa watu hana hatia kwenye hiyo picha. Mwenye hatia ni huyu mzee mzima ambaye kila uchao anapost mapicha akiwa na mabebez... wengine sawa na umri wa wanae... wakati mama yake mzazi akitaabika.

Nilitegemea picha hiyo ingekupa funzo kumbe na wewe ni walewale. Kama hujapata fundisho kwenye hiyo picha basi mama yako aliyekuzaa hana tofauti na mama yake le Mutuz... wote wamezaa hasara...

Endelea kunitukana mimi nilishatubu kwa Mungu kwa kukutukana... na nimeshasamehewa.

Lakini hii picha ntaendelea kuibandika mpaka huyu rafiki yako ajirekebishe... sitaki aambukize vijana wengine huu upuuzi

Uliniita monkey, ukaendelelea na Babujinga... nasubiria tusi la tatu...
 
Weka hapa nyumba uliyomjengea mama yako mzazi tuione.
66b42f306544344ac15845f0e6c2294e.jpg

88ac6e55776fd4e16ed5e13fef877060.jpg

White house ya mama in the making, take a chill pill dude..31 years za ulaya siwezi kurudi bongo kifalafala tu
 
Hah hah... I expected that from Le mutuz.. Multiple id au vepeeee? Mama yangu angekuwa by any chance anaishi mazingira hayo ningeishi kama fala hapa town mpaka nimjengee, unfortunately or fortunately bi mkubwa wangu yeye nikimpa latest phones na vizawadi vya hapa na pale she is more than fine.. Story za nyumba tulizimaliza mid 2000's huko..
Ewaa si lazima umjengee mzazi wako kama anaishi katika mazingira bora. Ila mama yangu angekuwa anaishi nyumba ya aina ya marehemu mama wa huyu mzee... ningeishi chumba kimoja Tandale mpk nihakikishe mama yangu anaishi kwenye nyumba bora!
 
Namuelewa Matola ila hapo sijamuelewa... Au tuanze zile story za "name calling" tena humu jukwaani.. We all have our weakness lakini sioni namna ya justify mazingira aliyokuwa anaishi mama le mutuz...
 
Back
Top Bottom