Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

28168745_894853127363753_8453726151848003927_n.jpg
Kwahiyo una wachumba wawili mbona umetuwekea wawili tofauti

- Ni huyo huyo mmoja Super Model Maria hizo ni Camera tu, kule anaonekana mweusi huku mweupe lakini ni mweusi sitaki Rangi ya mtume tena siku hizi hahahahah

le Mutuz
 
27858426_890100874505645_6598767427303196256_n.jpg


- Sina haraka hakuna jipya kwangu na yakiharibika nitatafuta mwingine wala sina wasi wasi cause it is my life, ni ajali tu kazini haina maana ukipona unaacha kazi kwa sababu umepata ajali.

le Mutuz
Huyo patric ana mke UK na U S A
Halafu anaishi bongo sio?
 
Huyo patric ana mke UK na U S A
Halafu anaishi bongo sio?

- Jamaa anawachezea akili, anamuomba tiketi wa UK maana hapa Bongo hana huo uwezo wa kununua mwenyewe so yule wa UK anamtumia, yeye anamuomba wa USA amtumie tiketi ya kuanzia London, ila wa USA huwa anaporudi anampa na mizigo ya sabuni na perfume za kuuza huku bongo. Lakini ni maisha yao binafsi hayanihusu kabisa ila it is very interesting.

le Mutuz
 
Ahahaa mnamchunguza sana WiFi yenu
[emoji23] rangi haijifichi
Ila kase ma ni mweusi,hatimae na sisi weusi tumepata mwakilishi[emoji3]
Hawa ni watu wawili tofauti angalia picha vizuri na rafiki zangu ni weusi vyangara wanatumia iPhone hata siku moja hawajawahi kuwa weupe lemutuz hapa utatusamehe kwakweli
 
Hawa ni watu wawili tofauti angalia picha vizuri na rafiki zangu ni weusi vyangara wanatumia iPhone hata siku moja hawajawahi kuwa weupe lemutuz hapa utatusamehe kwakweli

- Sasa hii argument naomba niji excuse maana its too big for me, Maria nipo naye hapa ofisini sasa hivi ni huyo huyo sasa kuna anayesema sio yeye huenda unamfahamu zaidi yangu, so I am out of this ya kama ni mmoja au ni tofauti, ila nampenda that is all.

le Mutuz
 
Kokobanga inaonekana umetafuna nyapu nyingi sana wewe[emoji2] [emoji2] [emoji2]

- Ndio maana ninataka kuweka record straight very soon nikimaliza "THE AMERICAN EXPERIENCE" maana kuna wakati ninaweza kuingia Club bongo na kukuta nime date almost a half of wabebezz there sisemi ni ushujaa hapana mimi naamini kila mtu na hobby zake.

- Ndio maana ninasema ningekua kweli na kibamia nisngekaa tena hapa mjini, hawa wabebezz wangeniua kwa mashambulizi, angalia mashambulizi ya my ex zamani hakuna mahali aliawahi kusema hayo ingawa sasa na yeye anataka kujifanya kudandia treni, hahaha U know

le Mutuz
 
Back
Top Bottom