Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
FactAnyone who laughs at and mock others because of their looks, is an imbecile low-life moron. Get a life looser!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FactAnyone who laughs at and mock others because of their looks, is an imbecile low-life moron. Get a life looser!
Kizee wapi nimeshaopoa hili dunyange la kizungu limejaza hatarii nimelipopoa mimba za mfululizo nina papers mie mkuu.Oa kibibi cha kizee upate paper wewe
Mmmh utachukua pumbu ndo nilichobaki nacho hahahahahaMimi nitaondoka na nini?ahahaa
Ahahaaa nioe basi na Mimi niwe mke wa bongoKizee wapi nimeshaopoa hili dunyange la kizungu limejaza hatarii nimelipopoa mimba za mfululizo nina papers mie mkuu.
You sound like a pissy little girl regurgitating word-for-word what she learned in Bible class. Haya jitie kidole maana una recycle matusi yaleyale. Damn clown!Anyone who laughs at and mock others because of their looks, is an imbecile low-life moron. Get a life looser!
Like all pussies stink, but yours more so?Fact
Sina muda wa kupoteza na mtu asiyekuwa na akili kama wewe. So pathetic!You sound like a pissy little girl regurgitating word-for-word what she learned in Bible class. Haya jitie kidole maana una recycle matusi yaleyale. Damn clown!
You're on my ignore list as from now on, Mr Bible School Boy.Sina muda wa kupoteza na mtu asiyekuwa na akili kama wewe. So pathetic!
Let it be so. I have nothing to lose to be in your "ignore list". After all its better not to be in a list of saphead.You're on my ignore list as from now on, Mr Bible School Boy.
Haina noumer tutafutane tu mie muslim bana nina rukhsa ya wa 4..Ahahaaa nioe basi na Mimi niwe mke wa bongo
Na mpaka sasa watakuwa wanapendana sana ujue mkiunganisha damu ni ngumu muachane
Kama umeweza kutaja umri wa Neema 52 years sasa weka wazi na umri wako pia, hiyo ndio fair game.- Kumpenda on my part hapana maana toka niachane naye sijawahi ku date msichana yoyote anayezidi miaka 25, leo naanzaje kurudi kwenye miaka 52? Please nilisha move on ninaendelea, simfuatilii never ni yeye anayehangaika hangaika mimi ni mtu wa maamuzi magumu na msimamo always, ananijua vizuri sana.
le Mutuz
Kama umeweza kutaja umri wa Neema 52 years sasa weka wazi na umri wako pia, hiyo ndio fair game.
Hahah we mvue tu u Know?- Aliyeanza ni yeye kwanza katoa mpaka copy ya passport yangu, lakini bado hajui umri wangu mpaka leo anahangaika na umri mara mama yangu, hahahaha ndio maana ya akili kubwa, Miaka 15 ya kuishi naye mpaka leo hanijui vizuri maana sikumpa nafasi ya kunijua vizuri,
- Now imagine nikiamua kumvua nguo hapa itakuaje? Hivi umeshawahi kulifikiria hilo?
le Mutuz
Hahah we mvue tu u Know?
Miaka 52 v/s Miaka 25,- Kumpenda on my part hapana maana toka niachane naye sijawahi ku date msichana yoyote anayezidi miaka 25, leo naanzaje kurudi kwenye miaka 52? Please nilisha move on ninaendelea, simfuatilii never ni yeye anayehangaika hangaika mimi ni mtu wa maamuzi magumu na msimamo always, ananijua vizuri sana.
le Mutuz
Miaka 52 v/s Miaka 25,
What a Coincidence....!!!!!!!
ha ha ha
- Hapana cause atajinyonga for sure tena siku hiyo hiyo, ndio maana baada ya miaka 15 nilikua nimechoka sana na tabia ila yeye hakujua maana mimi ni mvumilivu sana sikumuonyesha hata siku moja kua nimefika mwisho, so alipoanza kulilia divorce hakujua furaha niliyokua nayo moyoni mwangu ingawa nisingeweza kumuonyesha wazi kua nilikua nimesubiri kwa muda mrefu sana, nilikua ninamlilia Mungu moyoni mwangu kua mbona nimeingia choo cha kike? hahahahahha Mungu akanipa nafasi ya kuchomoka leo nirudi tena? hahahahahaha please!
le Mutuz
Le kokobanga, naomba nitoke nje ya topoc kidogo!
Nimeona una Channel yako YouTube hadi muda huu ina-subscribers 16,033.
Kwa nafasi uliyokua nayo, kwanini usifikilie kuanzisha TV channel.? Una-link na watu wakubwa Tz.
Wale wenye tanzania yao wote ww ni rafiki zako hivi unashidwa kweli kuanzisha Tv channel?
Kwa nafasi ambayo upo nayo YouTube channel si hazi yako, apo ndipo ninapo pata ukakasi na themes yako ya kujiita una-akili kubwa.