- Hahahaha unahangaika bure dawa yako tayari hahahaha nilikua nakulia timming tu sasa hivi kwishney humdanganyi mtu tena, kama kibamia umeishi nacho toka ukiwa Girlfriend miaka 10 na ndoa miaka 15 hukuiona kukimbia umekijua leo? hahaha sina sababu ya kukuvua nguo ila ulishajivua nguo mwenyewe kuolewa mke wa pili maana yake ni hakuna mwanaume single anayeweza kukuoa miaka 52 watoto 2 kuzaa tena huwezi, ndio maana una hasira sana na ulitegemea maisha yatanishinda bongo ulikosea maana mimi nilipigana na maisha USA mpaka nikakupeleka na ndugu zako 2,
- hahahaha babe wangu huyo jipime hapo jana hiyo maisha yangu yanaendelea wewe endelea kulia lia kwenye mitandao watakuonea huruma watakusaidia nikurudie hahahahahahaha jipime hapo kwa mbebe Lisa Mahaba huyo kitu ya miaka 22 sio miaka 52, hahahahaha I love it
Le Mutuz Nye! Nye! Nye!