hahahahahahahahahhahaha
Assistant Engineer = Ofisa wa Meli ndani ya meli?..#am humble you know..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Assistant Engineer = Ofisa wa Meli ndani ya meli?..#am humble you know..
Pia mwaka wa kila tukio hajataja hata mara moja,Hongera saana LE MUTUZ mtiririko wa story yako kwa kweli kuna kila kitu ktk Maisha.
Kwa teens wote mafundisho ni mengi saana na mlango wa mafanikio popote walipo uko wazi
Kama ni Shule,biashara,ajira nk umefafanua
Kitu kimoja majina ya watoto hukuyataja japo umeeleza walikuwa KE/ME
Huyu jamaa le mutuz sijui hiki kitabu amesaidiwa kuandika na wataalamu au ni mwenyewe,maana ametuacha spell bound wanting to hear more and moreKwa kuwa now story Ipo BREAK
Ingependeza kama angepost baadhi ya picha za Mikataba,
Salary slip
Cheti cha mfanyakazi bora wa mwaka,
Picha za harusi ya Kule USA,
Akiwa ndani ya meli
Na bila kusahau alivokuwa anasukuma gari lenye matairi 18.
Vyote hivi vikionesha tarehe na mwaka husika.
Hii itasaidia kidogo kuweka mambo sawa wakati tukisubiria kitabu cha Le KOKOBANGA's
Ni Joyce kileo bossKwenye swala la mke atakayekushikia bango huyo ni kula kulala na ni school boy tu.
Watu wenye uzoefu na hiyo kitu tunazijuwa changamoto zake, wengi bongo wanaishi na wake zao kwa kisingizio cha kulea watoto, hili halina tofauti na utumwa.
Tutapingana kwa hoja za msingi lakini siyo kwa hili la mke na kamwe halina mshauri hata Maprofesa limewashinda.
Irene Kiwia ndio mshauri wao mkuu, ona madudu yake ana moral authority ipi ya kuwa mentor wa wanawake?
Insanity.
Tunaaminishwa Henry Kileo ni Marioo lakini leo hii tunaambiwa anaombwa ela ya matunzo na amefunguwa kampuni yake, Marioo huyuhuyu? Kweli Wema kumanyokoo.
Mbona kweny story yake anaweka baadhi ya picha,risit nkKwa kuwa now story Ipo BREAK
Ingependeza kama angepost baadhi ya picha za Mikataba,
Salary slip
Cheti cha mfanyakazi bora wa mwaka,
Picha za harusi ya Kule USA,
Akiwa ndani ya meli
Na bila kusahau alivokuwa anasukuma gari lenye matairi 18.
Vyote hivi vikionesha tarehe na mwaka husika.
Hii itasaidia kidogo kuweka mambo sawa wakati tukisubiria kitabu cha Le KOKOBANGA's
[emoji12] kasema ameacha baadhi ya vitu,ila kitabuni vitakuwepo,tusubir labdaHuyu jamaa le mutuz sijui hiki kitabu amesaidiwa kuandika na wataalamu au ni mwenyewe,maana ametuacha spell bound wanting to hear more and more
Mungu wangu!View attachment 702055
Huyu hapa without makeup.
Hahaha ndo maana kileo kakimbia alivopata ela akale na watoto wazuri [emoji23][emoji23][emoji23] jokesView attachment 702055
Huyu hapa without makeup.
Lakini si mmeambiwa kuna kitabu kinakuja??? Sasa akiwawekea kila kitu hicho kitabu nani atanunua?? Hata movies inayokuja uwa wanaweka trailer tu ili uvutiwe uje uangalia movie yote baadae. Muache Le kokobanga adonyoe donyoe hivyo hivyo, kwanza kuna vingine uwa haviwekwi kabisa.Kwa kuwa now story Ipo BREAK
Ingependeza kama angepost baadhi ya picha za Mikataba,
Salary slip
Cheti cha mfanyakazi bora wa mwaka,
Picha za harusi ya Kule USA,
Akiwa ndani ya meli
Na bila kusahau alivokuwa anasukuma gari lenye matairi 18.
Vyote hivi vikionesha tarehe na mwaka husika.
Hii itasaidia kidogo kuweka mambo sawa wakati tukisubiria kitabu cha Le KOKOBANGA's
mbona anatoa jasho, ametoka kuduuu nini?View attachment 702055
Huyu hapa without makeup.
Anajua mtaanza jumlisha miaka ya tukio mpate umri wa kukisia alinaoPia mwaka wa kila tukio hajataja hata mara moja,
Hatujui hasa nini kilitokea lini
Wakati mwingine watu wanavumilia mengi!View attachment 702055
Huyu hapa without makeup.
Ha ha ha,Anajua mtaanza jumlisha miaka ya tukio mpate umri wa kukisia alinao