nyanimzungu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 1,204
- 934
Umemjibu vizuri sanaMmesoma elimu ngumbaru nn? Ww unae yaishi maisha ndo unaweza yatafsir km mzr au la. Unaweza ukawa na pesa af unaish maisha mabaya, haupo huru, haupo salama, unamagonjwa, unakesi nk. Km unaish mazngr safi, unapata hewa saf, unakula vze, unalala pazur, una amani, afya na upo salama na mali zako. Hayo ndo maisha. Huwez shindwa kulocomote et kisa huna gari.