Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

View attachment 702927
PART 47:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"

Ninarudia tena unapokua kwenye matatizo ya msongo wa mawazo hakuna binadam mwenye Uchawi wa kukusaidia kuondokana nao kwa haraka ni kwamba binadam tumeumbwa na uwezo tofauti wa kufikiri..binafsi maisha niliyokulia yalinifanya nijifunze mapema namna ya kukubali ukweli sijawahi kuukwepa wala ku ignore the truth never! ndio maana mimi huwezi kuniona wala kunikuta popote nisipotakiwa. Sihitaji kuambiwa nikishaziona dalili natafuta njia ya kujiepusha haraka sana hua kuna maumivu lakini kwa kawaida ni madogo sana kulinganisha na ya kuukataa ukweli..

Wanawake siku zote huwa kuna binadam mmoja wanayemtegemea sana na hua ni Mwanamke mwenzao wanayemuambia siri zao zote wanapokutana na a strongman huwa wanafurahia sana lakini only to come and realize kua he is too strong hana makosa mengi so ni vigumu kumtawala so huanza kutafuta ushauri kwa wenzao ghafla Mwanaume waliyekua wanamsifia kua ni mzuri sana kwa ajili ya kutafuta support au justifications za kumuacha kwa sababu ni too strong to be Controlled wataanza kukutengenezea kesi kwa yule wanayemuamini mwisho watapata support wanayoitaka na kuanza kuongea na Spare ..

Now seriously a spare man hana kazi sana zaidi tu kuonyesha huruma kwa Mwanamke ambaye anatafuta Comfort. Atajifanya kushangaa sana jinsi yule strongman anavyom treat na kwamba yeye hawezi kumfanyia vile. Now kwa vile Mwanamke ameshasema mwenyewe asiyotaka na anayotaka kufanyiwa , spareman atapigana kuhakikisha anayafanya hata kama sio tabia zake cause in the quest ya kum prove wrong a strongman Mwanamke ataingia gharama yoyote hata kutumia pesa kuwa na spareman. ....

Siku zote ni a temporary thing cause Mwanamke aliyezoea kuwa na strongman hawezi kuishi na just a spareman HAWEZI sooner or later ataanza kumkumbuka a strongman cause ni almost impossible to replace a strongman with a Weak man isipokua kuna tatizo la EGO Mwanamke wenye akili atagundua kua alifanya makosa na kutafuta njia ya kumrudia a Strongman au kutafuta mwingine strongman lakini mwanamke mjinga ataongozwa na ego na kujifanya yupo Happy na spareman lakini ataanza tabia za kunywa pombe sana na kufuatilia kila siku habari za Mwanaume wake wa zamani! ..ITAENDELEA

Big up
 
upload_2018-3-1_9-42-27-jpeg.702914

PART 46:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"

Aidha I was a born a strong man au ni maisha ndiyo yaliyonifundisha how to be strong ni tabia yenye uzuri na madhara yake na madhara namba moja ni wale wote wanaokua na inferior complex hua ni wepesi kutafuta njia nyepesi ya kushindana na your manhood kama ni marafiki watatafuta mtu yoyote wanayedhani hakuogopi na kama ni Mwanamke atatafuta Spare pembeni incase ukija kumuacha atapigana sana kukuonyesha kua alishakuwahi zamani ila alikua anakuchora tu so if you think you are a strongman like me then find a way to humble yourself mbele ya mke au mpenzi wako cause once intimidated by your manhood hua wanatafuta the easy alternative na usually wanawake hua hawataki kurudia makosa ya kumpenda tena a Strongman so watatafuta Mwanaume mjinga wa kumuendesha wao sio tena kuwa chini ya Mwanaume ...

My wife akaanza kuongea na mtu Bongo ambaye alikua anamuweka spare incase then huyu Dada akaja akamgundua akaniambia na akanipa evidence za sms zao zinazo onyesha walianza like one month early at Facebook so pale pale nikawaambia wasuluhishi kwamba inatosha SITAKI TENA KUENDELEA NA USULUHISHI. Kwa nini nilifanya vile ni kwa sababu nilijua kua katika kile kipindi cha maumivu jamaa alikua anampa comfort.

Now hata ije mvua ya mawe Mwanamke hamuachi mtu wa namna ile ambaye anaamini kamsaidia sana kumbe all the man was doing ni kumchezea na her own weakness ni kama Wanaume wanapoenda nyumba ndogo michepuko hawanaga tatizo maana Mamen mwenyewe huja na habari zote Mwanamke huzitumia habari hizo hizo kukuchezea akili na kukufanya uamini kua anakusaidia kumbe anakutumia tu ujinga wako mwenyewe tatizo ni Mwanamke hawezi kuamuacha yule mtu hata itokee nini atalilia sana kwamba "HE WAS THERE FOR ME" hahaha

So kama Mwanaume una akili ni wakati wa exit hapo hapo and that is what I did na ni kwa mara ya kwanza in my life nikajifunza kua my life comes first mengine yote baadaye so alipoambiwa kuhusu uamuzi wangu akafurahi sana kwamba haukubadili anything yeye ndicho alichokua anataka so tukakubaliana kuelekea kwenye DIVORCE wakati najaribu kutafakari sana wiki iliyofuatia kikaja kimbunga kipya kabisa kazini kwangu BOOM!

...ITAENDELEA
Kuna kitu kimenifaa kwenye hii ,inasikitisha na kuumiza sana
 
W. J. Malecela huyo binti wa kitajiri, Neema.. Ni yule aliyekuwa akiishi Masaki. Binti wa soldier aliyekuwa na cheo kikubwa?
Hapana huyu ex wa Le Kokobanga anaitwa Neema Ngwilulupi, baba yake alishawahi kuwa mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha sigaraTCC enzi za mwalimu. Mzee Brown Ngwilulupi. Ni watu wa Mbeya.
 
upload_2018-3-1_15-51-39.jpeg

PART 48:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"

Picha hii nilikua Hospitali wakati anazaliwa mtoto wangu wa kike New Rochelle/New York...nikiwa ninapigana na maumivu ya kuelekea Divorce siku moja kikaja kishindo kazini Joe Orlando Owner aliniita ofisini kwake akaniambia Serikali imemlazimisha auze kampuni na kwamba hawatampa tena kibali cha kuendelea nayo kwa sababu wanaamini yeye ni member wa Mafia Mob na kwamba tayari ameshapatikana mnunuzi kampuni ya Sterly Circle Harzadous Inc.

Akaniambia ukweli kwamba kampuni hiyo imeshasema itapunguza watu wengi sana watachukua watu 10 tu wao wanayo mnapower ya kutosha wanahitaji watu 6 kutoka management na Madreva 4 tu akaniambia the Good news mimi ni mmoja wa 4 hao lakini akaniambia Kampuni mpya wameshitushwa sana na masaa yangu ya kazi kua ni mengi mno so hawataniruhusu tena kuwa na hayo masaa ...

Baada ya kumaliza Degree ya Political Science nilijaribu kutafuta kazi ya Ofisini sasa tabia ya USA ukiomba kazi wanakuuliza mshahara unaopata unapofanya kazi nilikua ninapata Dola 25 kwa Saa moja ni mshahara mkubwa sana wakawa wananishangaa kua sio rahisi kupata kazi ya kuzidi huo mshahara so nikawa ninaendelea kupiga kazi ya kusukuma 18 Wheeler toka nipate Leseni ya CDL Class A nilikua sijawahi kupata Mshahara wa halali wa masaa 40 kama Sheria ya USA inavyotaka nilichokua ninakijua ni Mshahara mkubwa wenye Overtime.

Nikajiaminisha kua Mshahara wangu ni kati ya Dola 2000 mpaka 3000 kwa Wiki kumbe nilikua ninajidanganya sana baada ya kampuni kuuzwa waajri wapya wakanibana nikawa nafanya kazi msaa 40 tu kwa Wiki kwa mara ya kwanza nikapata mshahara wangu wa halali ambao baada ya makato uliishia kua Dola 700 tu!..I was in a Shock sikuamini cause no way ninaweza kuishi kwa ule mshahara maisha yangu yalishavuka level ya Dola 700 ninaanzaje kurudi nyuma?

I was living large magari 3 ya kisasa BMW. Acura Legend na Nissan Pathfinder mpya kabisa with zero Milage nyumba kubwa 3 bedrooms na upande wa pili Divorce inaita kwanza nikaamua kutafuta nyumba ya One bedroom nikahama pale Nikaachana na magari 2 USA sio rahisi kuuza gari ulilokwisha litumia so ukilichoka unawapa Charity NGOs wanakupa fomu maalum mwisho wa Mwaka unaomba tax returns

..ITAENDELEA!
 
upload_2018-3-1_16-5-24.jpeg

PART 49:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"

Picha ya Gari nililobaki nalo baada ya kuachana na mengine 2 ....now I am not a perfect creature of God, nina mapungufu mengi sana lakini cha msingi ni ninayajua karibu yote I mean mapungufu yangu na kwenye Biblia Mungu anasema Busara inatakiwa itusaidie kuyajua na kuyaficha mapungufu yetu yasijitokeze kwa urahisi. My ex amenichafua sana kwenye mitandao hasa Jamiiforums na kwa kumtumia Kigagulazz akafikia almost a point ya kuwaaminisha watu wengi sana uongo na hata akafikia kutoa copy ya my passport kuhalalisha uongo wake ambao simlaumu sana ndio upungufu wenyewe ni kwamba katika miaka 15 ya kuishi pamoja bado alikua hanijui vizuri na amenichafua sana kwa kuongozwa na Chuki na Hasira kuliko kujali ukweli....

Nilichojifunza in life ni Mwanamke hawezi kuwa na hasira na Mwanaume aliyeachana naye unless anajua kua yule Mwanaume ni a good man ila kamshindwa kwa sababu udhaifu wake tu. Mawazo ya wanawake wengi ni kuombea yule Mwanaume asifanikiwe "THE TUKOSE WOTE THEORY". Now Mwanaume akionekana kusonga mbele bila kumjali kwamba yupo Mwanamke hukasirishwa sana na kufanya kila mbinu za kummaliza yule Mwanaume that is what I am a victim for...

Nilikua na maisha kabla ya kuoa tena mazuri sana Wabebezz kibao na pesa nilikua nazo. Baada ya kuoa nikaacha kabisa ile lifestyle ambayo nilikuja kurudia baada ya kutoka kwenye ndoa 6 years ago mpaka leo tofauti ni zamani hakukuwa na Instagram lakini kwa wale tuliokua Facebook zamani U know that haya maisha ya kazi na Batazz sikuanza leo hata nikiwa US maisha yangu yalikua haya haya hakuna cha stress wala anything ...

I am American by spirit lakini mimi ni Mbongo kama wengine wote Miaka mingi ya kuishi Dunia ya kwanza USA imenibadilisha sana nalijua hilo vikwazo vya maisha nilivyopitia vimenifanya nimekua ukuta wa kutotishika na anything ila pia imenifanya kuyafurahia maisha yangu ya uhuru uliopitiliza ninaandika kitabu kuweka sawa ukweli nilizaliwa na spirit ya kutokubali kuonewa au kusingiziwa uongo na in USA nikakuta ni Spirit inayokubalika sana so I was at home infact mpaka leo ninajua bado nina the American Spirit ya kujali my life only...

So kwa yote yaliyokua yananitokea nikaanza!
..ITAENDELEA
 
upload_2018-3-1_16-9-19.jpeg

PART 50:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"

Picha ni Marehemu Mama yangu mzazi akiwa London ambako alikua akienda mara kwa mara...Matatizo ya Ndoa na Matatizo ya kazi yote kwa mpigo nikaanza kumkumbuka Mama yangu siku moja aliingia Chumbani kwangu ghafla nikiwa mdogo ninakaa kwa Uncle Lusinde, akanikuta na Cash nyingi sana alipigwa na mshangao akaniambia "William unapenda maisha makubwa sana utayapata lakini yatakugharimu sana" .

Infact Mama yangu mzazi hakutaka kabisa kusikia habari za kumuoa mke wangu na hata Baba yangu hakutaka na Dada yangu mmoja pamoja uadui wetu bado na yeye alipinga openly. Wazazi wangu ya kumkataa waliyasemea in Private lakini Dada yangu alimuambia yeye mwenyewe kabla ya kufunga ndoa kua haungi mkono ndoa cause anajua kua nitakuja kuumia tu lakini wote in the end wakaheshimu uamuzi wangu so now yamenikuta ninamkimbilia nani? ...

Marehemu Mama yangu amechafuliwa sana na my ex wife na anaowatumia Mama yangu alikua Miss Tukuyu, akawa Miss Mbeya, then Miss Tanzania na Miss East Africa baadaye Mwalimu Baba wa Taifa alimtumia sana kwenye kujenga UWT na Mama Sophia Kawawa ninakumbuka sana nikiwa mdogo akawa Muwakilishi wa UWT Taifa Mikutano ya Kimataifa sawa hakua na Elimu kubwa sana lakini alikulia Malawi alikua na uwezo wa kuongea Fluent English alikua anasafiri all the times nje ya Nchi ...lakini kwa makusudi kabisa ametukanwa sana kwamba eti alikua ni muhudumu wa Gesti ...

Marehemu Mama yangu alikua ni mfanyakazi wa NBC tawi la Clock Tower kwa muda mrefu sana huku akiwa ni Kiongozi wa UWT Taifa alijenga makazi mazuri sana Kigamboni siku moja Jeshi wakachukua lile eneo na kumlipa pesa ndefu sana akajenga Nyumba kubwa na Shamba Minazi Mirefu/Ukonga ...lakini ukisoma matusi ya my ex kwa mama yangu hutaamini kua anyezungumziwa ni huyu Marehemu Mama yangu aliyekua anasafiri nje kila wakati ....

Sawa sikatai kua in the end hakuwa na maisha mazuri sana kama aliyokua nayo zamani lakini ilitokana na matatizo mengi aliyoyapitia mimi nikiwa nje ambayo yalimvuruga sana kisaikilojia na ambayo hayakunihusu na ndio yaliyompelekea kuuza kila kitu na kuhamia Tunduma by the time ninarudi nikamkuta huko!

.....ITAENDELEA
 
upload_2018-3-1_17-11-55.jpeg

"MY AMERICAN EXPERIENCE"

Bado sijaridhika na ofa zote nilizopata so far za nani wa kuingia naye mkataba wa KUNIANDIKIA na KUCHAPISHA KITABU CHANGU .....ninajua thamani yake cause niliyoandika ni ROBO TU YA THE WHOLE TRUTH...na .....

Infact ninakusudia kuandika Vitabu kama 5 tofauti vya maisha yangu ...ila kwa sasa ninataka kuanza na "MY AMERICAN EXPERIENCE" please kama unajiamini lets make a deal call me at +255 717 618 997 anytime!

.....HOWEVER LEO USIKU NITAENDELEA NA PART 51! - le Mutuz
 
upload_2018-3-1_21-4-29.jpeg

PART 51:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"

Picha ya Marehemu Mama yangu baada ya kuhamia Tunduma .Marehemu Mama yangu hakuwahi kumkosea kitu mke wangu lakini matusi na kashfa alizorushiwa baada ya kufariki akimtumia Mange zilinishitua sana infact mpaka leo sijawahi kupata jawabu la Mama yangu alimkosea nini mke wangu ambaye alikua akienda likizo mara kwa mara Tunduma na watoto mimi nilikua na tabia ya kumpeleka yeye na watoto likizo Tanzania kila summer na mimi nabaki USA kupiga kazi hakukuwa na malalamiko yoyote kutoka kwa mke wangu wala Watoto...

Kabla ya kufunga ndoa nilimpa sharti moja gumu sana mke wangu ambaye nilijua anaililia ndoa kwa udi na uvumba nilimwambia kabla sijakuoa ni lazima ukubalike na Wazazi wangu wote na mimi nikubalike na Wazazi wako nikihisi sikubaliki hata na mmojawapo basi hamna ndoa so yeye akafunga safari mpaka Bongo akaenda kwa mama yangu Tunduma kwa siri kumbembeleza amkubali mama yangu akakubali kwa shingo upande sana na kwa bahati mbaya Kaka yake mmoja mke wangu akagundua alichokifanya wakagombana sana kaka yake akimlaumu kua anajikomba now leo baada ya ndoa kufa kwa nini anamtukana sana Mama yangu? .

Ninayaandika haya yote nikiwa na amani kubwa sana kwamba hatimaye nimemtendea haki Marehemu Mama yangu ambaye ametukanwa sana hasa Jamiiforums na my ex wife again ninawaomba wale wote mliodanganywa na upuuzi mwingi kwenye mitandao kuhusu Marehemu Mama yangu muombeni Mungu wenu awasamehe cause habari zote mlizoambiwa hazikuwa za kweli ....

Mama yangu alipozeeka kama Wazee wengine wote alianza kupoteza Memory na kumpelekea kufanya mambo mengi sana kama kupotea mara kwa mara now my ex akaanza kumtukana sana kwenye hizo lines za kupoteza Memory WHY? nikagundua kwamba Shetani katika kuhangaika kutafuta wapi pa kunibana alidhani amepata a soft target lakini akagundua kwamba sitingishiki wala kuogopa toka nikiwa mdogo nilikua na tabia ya revenge nilikataa kata kata kuonewa hakuna aliyewahi kunionea in my life nikamuacha hivi hivi never nilijfunza Sheria ya Timming kuna wakati unahitaji kujifanya mjinga kwa Adui aamini ameshinda then nitakusubiri hata Mwaka mzima umepita nitakupatia malipo halali kwa uliyonifanyia na ulishasahau

.....ITAENDELEA!
 
Daah, hii story inanifanya nianze kukufikiria tofauto kabisa umepitia mengi mzee baba
 
upload_2018-3-1_21-24-3.jpeg

PART 52:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"

Picha hii ni enzi nilipokua Deejay Kilimanjaro Club Downtown Manhattan City in Full Leather hahaaha. Now siku my ex alipoamua kuondoka na watoto usiku kilichonishangaza ni hakuchukua chochote, infact hakuchukua hata passport yake cause Majuu ndio kinakua kitu cha kwanza kuchukua lakini nikagundua kua alichukua Documents zangu muhimu sana 2 tu nazo ni Documents za Shamba na Nyumba yangu kule Kinyerezi na pia alichukua Documents za my Life Insurance niliyopewa zawadi na Waajiri wangu wa kwanza Russ na Dina at American Harzadous Inc. nikaanza kujiuliza maswali mazito sana ya WHY ZILE DOCUMENTS TU? ..

So katika kipindi cha Separation nilikua makini sana in info siku moja nikakutana na rafiki yake mpenzi wa kike nikaanza kumchezea kwa Carrot and Stick ni tabia ya Sheria za Investigations kwenye Criminology ambapo unauma na kupuliza kwa akili sana ili kupata info yule Dada aliruka ruka sana lakini hatimaye akaingia kwenye mtego na kunipa info nilizokua nazitaka bila kujua nikagundua kua ....mke wangu kwa jinsi nilivyokua nampenda na kumuamini aliamini kua kitendo cha kuondoka kwake kitanipelekea kujiua na she strongly believed that so nikifa atachukua Nyumba na Shamba na atchukua my Life Insurance ambayo ni Dola nyingi sana.

Now baada ya kutafakari sana baadaye nikiwa mwenyewe nikajiuliza sana now hivi ni kwanini ninambembeleza kurudiana? cause hii mantiki ya Documents kwangu ilimaanisha kua anaweza hata kuniua ikibidi kwa sababu ya hizo Documents mbele ya safari na ukiniuliza leo sababu ya kutotaka kumrudia ni hiii zaidi kuliko zingine zote . Cause baada ya Divorce kuna wakati my ex alijaribu sana kumtumia rafiki yangu Davis Mosha akiamini kwamba ninaishi kwa kutegemea utajiri wake hivyo anao uwezo wa kunilazimisha kumrudia..nilicheka sana siku Mosha aliponiambia hizo habari nilimjibu tu over my dead body ndio ninaweza kumrudia .

Tukiwa kwenye separation mke wangu akaanza tabia ya kukimbilia mahakamani kwa kisingizio cha Watoto ikawa mara leo hivi kesho vile sababu ya msingi hamna guys ukioa na ukawa na watoto usijaribu kuingia mambo ya Separation wala Divorce ni mabaya sana kwa watoto ninasema tena DONT DO IT cause the

...ITAENDELEA
 
View attachment 703258

Duuh,Le mutuz sasa unatuliza machozi,kiumbe wa mungu kupitia yote haya!!!!!!!!!! Putting myself in your shoes ningekuwa nimeshajinyonga-God bless you,na utusamehe tuliokuhukumu negatively before
 
View attachment 703254
PART 51:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"

Picha ya Marehemu Mama yangu baada ya kuhamia Tunduma .Marehemu Mama yangu hakuwahi kumkosea kitu mke wangu lakini matusi na kashfa alizorushiwa baada ya kufariki akimtumia Mange zilinishitua sana infact mpaka leo sijawahi kupata jawabu la Mama yangu alimkosea nini mke wangu ambaye alikua akienda likizo mara kwa mara Tunduma na watoto mimi nilikua na tabia ya kumpeleka yeye na watoto likizo Tanzania kila summer na mimi nabaki USA kupiga kazi hakukuwa na malalamiko yoyote kutoka kwa mke wangu wala Watoto...

Kabla ya kufunga ndoa nilimpa sharti moja gumu sana mke wangu ambaye nilijua anaililia ndoa kwa udi na uvumba nilimwambia kabla sijakuoa ni lazima ukubalike na Wazazi wangu wote na mimi nikubalike na Wazazi wako nikihisi sikubaliki hata na mmojawapo basi hamna ndoa so yeye akafunga safari mpaka Bongo akaenda kwa mama yangu Tunduma kwa siri kumbembeleza amkubali mama yangu akakubali kwa shingo upande sana na kwa bahati mbaya Kaka yake mmoja mke wangu akagundua alichokifanya wakagombana sana kaka yake akimlaumu kua anajikomba now leo baada ya ndoa kufa kwa nini anamtukana sana Mama yangu? .

Ninayaandika haya yote nikiwa na amani kubwa sana kwamba hatimaye nimemtendea haki Marehemu Mama yangu ambaye ametukanwa sana hasa Jamiiforums na my ex wife again ninawaomba wale wote mliodanganywa na upuuzi mwingi kwenye mitandao kuhusu Marehemu Mama yangu muombeni Mungu wenu awasamehe cause habari zote mlizoambiwa hazikuwa za kweli ....

Mama yangu alipozeeka kama Wazee wengine wote alianza kupoteza Memory na kumpelekea kufanya mambo mengi sana kama kupotea mara kwa mara now my ex akaanza kumtukana sana kwenye hizo lines za kupoteza Memory WHY? nikagundua kwamba Shetani katika kuhangaika kutafuta wapi pa kunibana alidhani amepata a soft target lakini akagundua kwamba sitingishiki wala kuogopa toka nikiwa mdogo nilikua na tabia ya revenge nilikataa kata kata kuonewa hakuna aliyewahi kunionea in my life nikamuacha hivi hivi never nilijfunza Sheria ya Timming kuna wakati unahitaji kujifanya mjinga kwa Adui aamini ameshinda then nitakusubiri hata Mwaka mzima umepita nitakupatia malipo halali kwa uliyonifanyia na ulishasahau

.....ITAENDELEA!
First law of my life,hata kama itapita miaka 20,kama ulinifanyia baya lazima nilipe kisasi,ni timing tu.

Big up sana le mutuz,
 
Daah, hii story inanifanya nianze kukufikiria tofauto kabisa umepitia mengi mzee baba
Wengi walimdiss sana Le akili kubwas shida walikuwa hawaujui ukweli,kuna wanawake wako kama Lilith, ni problematic, uitamani sana ndoa kabla hawajaolewa wakiishaipata ndoa uanza chokochoko za kuivuruga ndoa,wakishaivuruga uanza tena kujutia.
 
Back
Top Bottom