Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

- Mkuu Peter hana hizo tabia he is a koolest guy you have ever met before, ni mstaarabu sana na hana kabisa hizo tabia halafu kama tatizo ni mimi sio yeye, so please topic inanihusu mimi sio Peter

le Mutuz
Tabia ya primary school wakat mtu hujitambui-huyo jamaa mpaka leo anamjudge the same-I think the guy just wanted us to know that anamjua
 
- Unanifurahisha sana jinsi unavyobadilika badilika kama Kinyonga, kwanza ulijifanya mtu mwema sana baadaye ukaanza kunitukana sasa naona umebadilika tena, hivi kweli wewe hujui kua my ex ameandika hapa kwa miaka yote matusi ya kila namna?

- Well, again mimi hua sina haraka kazi yangu ni Social Media so ukinichokoza humu mimi kazi yangu ni moja tu kutafuta angle ya kutumia ujinga wako kwa faida yangu, my ex katukana kwa miaka mingi sana niamini hajapata hata senti moja kwa kunitukana humu Social MEdia ila mimi ninaingiza pesa kwa kila ninaloandika ndio tofauti yetu,

- Sasa hivi ninaandika kitabu, na nitafanya mengi sana maana ninazo habari nyingi sana na sio kitabu kimoja tu, ninaweza nikaandika kitabu seriously on her tu na kikauza kuliko anything so relax boss hapa kwangu everything is under control, siri yangu ya maisha ni sijawahi kufanya maamuzi nikiwa na hasira huwa ninasubiri nikiwa nimetulia kwanza.

le Mutuz
nikisema ukweli toka moyoni, sikujua kama yule dada walisema alikuwa anafanya UN kama ndio alikuwa mkeo, nafikiri muda mwingin sikuwa naspend hapa jf na mitandaoni, just recently nimekuwa nafuatilia sana. hata hivyo mimi ni mtu mwema sio kwamba najifanya na kama nilikutukana ni mojawapo ya challenge niliyokupatia katika maisha yako ili ufafanue maeneo ambayo watu wengi walikuwa hawajui. wish you all the bests bro.
 
- Umetukana sana sasa ukweli umekuzidia kubali kwamba hukujua unachopigana nacho, nilikua nakuangalia tu najua unajua kila kitu ila unajifanya hujui na ninajua sana kwamba unahusiana na my ex, maana kuna maneno ulikua unayatumia yapo very clear ila pole sana hua ninapoamua maamuzi magumu ninakua sina hasira na always ninahakikisha kua nina FACTS na JUSTIFICATIONS,

- Nilimuambia yule mtu aliyejifanya Baharia mwanzoni kua kwenye hii stori yangu huna cha kuongeza wala kupunguza isipokua kusoma tu na wewe nakuambia hivi kwenye my stori huna cha kuongeza wala kupunguza ila kusoma tu na kukaa pembeni tu!

- Unajifanya una akili sana ila ni za kukutusha wewe tu, sio sisi wote HAPANA!

le Mutuz
 
Among other things, new Lessons learnt to me:
*USIKAE SEHEMU USIYOTAKIWA. Kubali ukweli and move on.
*Under any circumstances, fight for your PEACE OF MIND. Bora ugali kwa chumvi kwenye amani, kuliko nyama choma vitani.
*VAA IMAGE YA MJINGA UKIWA UGENINI.
*WIFE CAN TURN BEING A KNIFE TO CUT YOUR LIFE! Vijana tuwe extremely careful kwenye kuchagua mke. Pia tuwe mostly conscious kwenye kuishi na mwanamke/mke.
*WHEN YOU LOOSE THE WAY, GO BACK TO THE BEGINNING and start afresh. You can rise again.
Much respect & Salute to you Sir W. J. Malecela for being a soldier of struggles at local & international levels. I can sense an ironic strength in you. Kesho na keshokutwa waweza kuja kuwa miongoni mwa more powerful people in Tz. Who knows!
Long live The King of social media, Le Mutuz Mobimba. Nye Nye Nye!!
God Bless 'Le Mutuz Nation'.
-Kaveli-
 
Hiyo story ya MY BONGO EXPERIENCE umeiweka wapi mkuu,mbona naitafuta huku siioni? Msaada plz
 
Among other things, new Lessons learnt to me:
*USIKAE SEHEMU USIYOTAKIWA. Kubali ukweli and move on.
*Under any circumstances, fight for your PEACE OF MIND. Bora ugali kwa chumvi kwenye amani, kuliko nyama choma vitani.
*VAA IMAGE YA MJINGA UKIWA UGENINI.
*WIFE CAN TURN BEING A KNIFE TO CUT YOUR LIFE! Vijana tuwe extremely careful kwenye kuchagua mke. Pia tuwe mostly conscious kwenye kuishi na mwanamke/mke.
*WHEN YOU LOOSE THE WAY, GO BACK TO THE BEGINNING and start afresh. You can rise again.
Much respect & Salute to you Sir W. J. Malecela for being a soldier of struggles at local & international levels. I can sense an ironic strength in you. Kesho na keshokutwa waweza kuja kuwa miongoni mwa more powerful people in Tz. Who knows!
Long live The King of social media, Le Mutuz Mobimba. Nye Nye Nye!!
God Bless 'Le Mutuz Nation'.
-Kaveli-

- Agreed isipokua pia I am an imperfect creature of God!

le Mutuz
 
Back
Top Bottom