William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Mkuu le mutz hivi blog yako ina sehemu mziki/burudan? ili tuwe tunakuja kutembelea.
unatumia jina gani huko insta watu wakufollow lols
LEMUTUZ_NATION
lE bIG sHOW
Nina kufollow mda mrefu sana Lemutuz instagram.
yasiwe kama yale ya NBC ukawauza wenzio
yasiwe kama yale ya NBC ukawauza wenzio
Nina kufollow mda mrefu sana Lemutuz instagram.
So what?
he he he naona taarifa inatolewa mapema.
Willy umeishi mbelezz kwa miaka miaka mingi haimake sense matola rais wa pesa siyo follower wako nikae ordinary level halafu kingwendu akae vip kisa ni follower wako hii haijakaa sawa kuna watu ni vip kila kiwanja wanachoingia.
vip siku zote wanakaa watu kwa ireu wa mshiko wao, ni ushauri tu mtu wangu.
aliwauza sh ngapi???