LE Mutuz Instagram Party At Escape 1 Beach Club 2/8/2014 More Details Coming Soon!!

LE Mutuz Instagram Party At Escape 1 Beach Club 2/8/2014 More Details Coming Soon!!

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,400
- Tarehe 2/8/2014 ninatayarisha bonge la bash LE Mutuz Instagram Party at Escape 1 Beach Club, wote mnakaribishwa isipokuwa wale tu walio followers wangu wa Instagram ndio wataingia bure baada ya kuonyesha evidence mlangoni kwamba ni my followers lakini wengine wote kutakuwa na kiingilio na ndani ya Ukumbi all my Insta Follwers watakaa Special VIP Seats, so lets go people kama unataka kutoa sponsorship unakaribishwa anytime!! Call +255 717 618 997

Le Mutuz
 
Nina kufollow mda mrefu sana Lemutuz instagram.
 
kwenye sherehe za blog ulisema hivyo hivyo ukaishia kutuchomesha mahindi.
una manenoo mengi mbwembwe kibao ila utekelezaji sasa...
 
Willy umeishi mbelezz kwa miaka miaka mingi haimake sense matola rais wa pesa siyo follower wako nikae ordinary level halafu kingwendu akae vip kisa ni follower wako hii haijakaa sawa kuna watu ni vip kila kiwanja wanachoingia.

vip siku zote wanakaa watu kwa ireu wa mshiko wao, ni ushauri tu mtu wangu.
 
mdharau tu huyo kingwendu utamuheshimu muda si mrefu..mheshimiwa ngwendulile
 
Mtu Mzima tena mwenye umbo la Miraba Mi4 kupiga picha ukiwa umerembua hivi napata shida sana!

PEC3.JPG
 
Back
Top Bottom