Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- hUYU ni Miss Ukonga U know bonge la bebz mukareezzz kama vipi huoni kuwa ameosha U know, so I was like daamn hili bonge la chick how do I get her U know na mimi si unajua ni single so it was like woow I about to drop dead U know, ha! ha! ha! le bongo tambalalezzzz U know!!
Le Big Show
- Hujasikia wazee wa kibaha waliandamana U know so sasa ni Kibaha kama vipi!!, otherwise kama kawa tupo life goes on mabingwa maadili JF poleni sana ila hamjasikia wabunge wetu wa viti maalum wanavyojazwa mimba na Viongozi wao wa Taifa wenye wake na familia zao mbona hamjawafundisha hayo maadili?
Le Mutuz
mtu mzima kuandika pumba kama hizo 'natia shaka' kiongozi na celeb unatoa mfano gani kwa jamii inayokuzunguka? Poleni sana mabebz kwa kushoboka mmesahau kuwa tamaa mbele mauti nyuma
*USHAURI NAO UJAZA PAGE*
nataka nitupie tangazo langu at u r blog u kno, u blog kill dem like damnnnnn.how cn i got yaaaaah
Hahahaha jf raha daaaaaa- So unataka niwajaze mimba wabunge wa viti maalum ndio utaelewa mfano wangu kwa jamii or what? ha1 ha! ha!, I mean I am single man ninachora mistari kwa mbebez kama huyu wewe unalia lia sasa ulitaka nijaze mimba wabunge wa viti maalum ndio utanielwa au what? ha1 ha!
Le Mutuz
- Tarehe 2/8/2014 ninatayarisha bonge la bash LE Mutuz Instagram Party at Escape 1 Beach Club, wote mnakaribishwa isipokuwa wale tu walio followers wangu wa Instagram ndio wataingia bure baada ya kuonyesha evidence mlangoni kwamba ni my followers lakini wengine wote kutakuwa na kiingilio na ndani ya Ukumbi all my Insta Follwers watakaa Special VIP Seats, so lets go people kama unataka kutoa sponsorship unakaribishwa anytime!! Call +255 717 618 997
Le Mutuz
- Tarehe 2/8/2014 ninatayarisha bonge la bash LE Mutuz Instagram Party at Escape 1 Beach Club, wote mnakaribishwa isipokuwa wale tu walio followers wangu wa Instagram ndio wataingia bure baada ya kuonyesha evidence mlangoni kwamba ni my followers lakini wengine wote kutakuwa na kiingilio na ndani ya Ukumbi all my Insta Follwers watakaa Special VIP Seats, so lets go people kama unataka kutoa sponsorship unakaribishwa anytime!! Call +255 717 618 997
Le Mutuz
Mtu Mzima tena mwenye umbo la Miraba Mi4 kupiga picha ukiwa umerembua hivi napata shida sana!
![]()
Mzee Malecela pole sana. Haki ya nani. Duuuu.
Huyu mwanamke hata maziwa hayajaota
W. J. Malecela....umeoa?
Kama bado hujaoa, mie natafuta mume mwenye swaga kama zako ili aniweke ndani!!!!!
Nioe, hutajuta.
Nawasiwasi sana na hizo pozi zako bila shaka ww utakua mfuasi wa David Cameroon
- Holla at 0717 618 997 kama vipi may be we can have lunch kwanza so we can get to know each other unajua I am open mind always!!
Le Mutuz
Usije niuza kama kibwetere big, imma folloe u in there dude.
Matter of fact, I feel ur swagg, rhythim and stylish life style big.
But kuna mpwa wangu anasoma pale Kwiro ulienda ukahidi vitu kibao kama former student..mpwa kanituma nikujulishe kwamba wanasubiri ahadi zile. Coz nimemwambia huwa tunakutana vijiwe vya mtandaoni.
Kinds regards,
Humble african.
Hii ilitakiwa iwekwe entertainment sio selebrity