LE Mutuz Instagram Party At Escape 1 Beach Club 2/8/2014 More Details Coming Soon!!


mtu mzima kuandika pumba kama hizo 'natia shaka' kiongozi na celeb unatoa mfano gani kwa jamii inayokuzunguka? Poleni sana mabebz kwa kushoboka mmesahau kuwa tamaa mbele mauti nyuma


*USHAURI NAO UJAZA PAGE*
 

nataka nitupie tangazo langu at u r blog u kno, u blog kill dem like damnnnnn.how cn i got yaaaaah
 
mtu mzima kuandika pumba kama hizo 'natia shaka' kiongozi na celeb unatoa mfano gani kwa jamii inayokuzunguka? Poleni sana mabebz kwa kushoboka mmesahau kuwa tamaa mbele mauti nyuma


*USHAURI NAO UJAZA PAGE*

- So unataka niwajaze mimba wabunge wa viti maalum ndio utaelewa mfano wangu kwa jamii or what? ha1 ha! ha!, I mean I am single man ninachora mistari kwa mbebez kama huyu wewe unalia lia sasa ulitaka nijaze mimba wabunge wa viti maalum ndio utanielwa au what? ha1 ha!

Le Mutuz
 
Hahahaha jf raha daaaaaa
 


Usimsahau Mbuta Nanga....!
 
Nawasiwasi sana na hizo pozi zako bila shaka ww utakua mfuasi wa David Cameroon
 

Usije niuza kama kibwetere big, imma folloe u in there dude.

Matter of fact, I feel ur swagg, rhythim and stylish life style big.

But kuna mpwa wangu anasoma pale Kwiro ulienda ukahidi vitu kibao kama former student..mpwa kanituma nikujulishe kwamba wanasubiri ahadi zile. Coz nimemwambia huwa tunakutana vijiwe vya mtandaoni.

Kinds regards,
Humble african.
 
W. J. Malecela....umeoa?
Kama bado hujaoa, mie natafuta mume mwenye swaga kama zako ili aniweke ndani!!!!!
Nioe, hutajuta.
 
Last edited by a moderator:
Mzee Malecela pole sana. Haki ya nani. Duuuu.

- Sawa sawa ila baba yako amepata faida kubwa sana kuzaa mtoto wa kuingia JF kwa jina la bandia na kurushia maneno ya kejeli asiowajua unasema kwa hilo baba yako amepata faida si ndio? ha! ha! ha1

Le Mutuz
 
Nawasiwasi sana na hizo pozi zako bila shaka ww utakua mfuasi wa David Cameroon

- zile zile tabia za walevi kuamini wengine wote ni walevi kama yeye kaka huoni unajisema mwenyewe who you are bila kuulizwa? ha! ha! ha!

Le Mutuz
 

- Mwambie mpwa wako kwamba nakaribia kutayarisha fundraisin ya kuwasaidia si unajua kwa vile Big Celeb ninaweza hiyo so baada ya Insta party, nitafanya Miss Ilala and then ndio nitafanya hiyo kitu mwambie nakumbuka sana my promise nilipoenda shuleni kuwaona na kuwahutubia sana wasiakte tamaa na maisha!1

Le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…