LE Mutuz Instagram Party At Escape 1 Beach Club 2/8/2014 More Details Coming Soon!!

Mtoto wa Waziri mkuu mstaafu, doing thise sheets at 50's of age is a calamity!

Really,

- Yaaap mtoto wa Waziri Mkuu mstaafu kupata leseni ya kufungua RAdio na TV is calamity at this 50's sawa sawa mkuu ila ukitaka kazi ninaweza kukuajri kwenye TV au Radio mpya ya African Swahili Media, ok le mburulazzz!! ha! ha!

Le Mutuz
 
Tafuta kazi ya kufanya inaendana nanumri wako,

USA miaka yote hiyo kumbe bure tupu.

Mbona dada zako wanafaya kazi za heshima kuliko wewe?

Hii insta mwachie Diva aendelee nayo.

Unaonekana baada ya kifo cha utata cha kaka yako Ipiana (RIP) umekosa mshauri.

Nenda kwa ma phylogist udsm wakusaidi utabadilika tu.
 
Mkuu tunaingia hasara kiasi gani au its classified?
 

- HA1 HA! HA! WEWE ITAISOMA TU HAPA NONSENSE Ippy alikuwa mdogo kwangu yaani majungu na umbeya kama kina shankupe kazana mkuu mjini hapa ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
Kubwaa jingaa in action. Miaka 55 ndo unakumbuka shuka na kuanza mashindano na watoto wadogo. Shindana na ulio nao umri sawa mbwiga wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…