LE Mutuz Instagram Party At Escape 1 Beach Club 2/8/2014 More Details Coming Soon!!

le totoz sina tatizo na thread ni ya kujirusha tu usitafute pa kupumulia labda hawa ndio wanaojaa ofisini kwako hadi unakimbia refer to the comments zako kwenye thread ya majuu.

nakusubili huku hapa hamna kitu usitafute pa kupungia upepo.

- Kaka thanks maana the more unavyoandika ni the more pages zinaongezeka na ni the more viewers wanakuja it is good for my blog business kwa sababu wanaishia kuja blog that is all I could ask for so keep on coming mamen!!

Le Mutuz
 
Mimi sijui kama mnabifu au jamaa ni komedy kwako.
nilichonoti kwenye uzi huu posts zako umemsifia sana lakini yeye mhusika amekupotezea bila kurespond chochote kwenye posts zako ulizomsifu(haku like wala ku'quote wala ku'comment).

Hizo bifu nyingine wewe na yeye sizielewi na wala sitaki kuzijua.
By the way, kijana mimi sio saizi yako kwanza JF yenyewe wakati unajiunga sisi ndio tumekukaribisha leo unajiona umota menu ya juu. Ahahahaahaa!!!
 

wewe ni mjinga kabisa una akili za kizaramo tu kujifanya uko mjini miaka mingi wakati huna nyumba wala gari,

wewe unaijuwa id yangu ya jambo forum? au unazuzuka na joing date ya id hii? tutusa wewe kama ulikuwa ujuhi kuna thread mbili tofauti nani alikutuma uje ukate viuno kwenye ngoma usiyoijuwa?
 
Kwa kawaida kichaa anapokimbia na nguo zako, ni busara kumwacha akimbie nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…