Le Mutuz Is So Fragile Inside

Hapa ndipo wabongo wanaponiacha hoi....hivi mtu unapo-mfollow mtu kama Wema au Le Mutuz unategemea nini haswa? Yaani followers wa hawa watu kwa kweli ni misukule.
 
Le Mutuz anafurahisha sana, very social and entertaining.
Anaweza kukupa makavu, then akakupa ushauri au mkataniana pale inapo bidi.
Binafsi huyu jamaa ni inspirational figure kwangu, especially kwenye kufanya nipendayo without giving a F.
I'm humbled, U know hahahah.
Mola akipenda nikifikisha nusu karne, nataka kua kama akili kubwaaaz.
 
Tatizo ni kuwa huwa unakuwa na mada za kitoto huko, na watoto wanakuunga mkono kweli. Sasa akitokea mwenye akili zake akawarekebisha, wewe huona unadhalilishwa. Kwa kuwa admin wa page yako ni wewe, basi
 
- hahahahahahahahaa pole sana utakua unaongelea miguu yako mwenyewe maana mimi nipo kwenye ndege kila siku naruka ruka kwenye mataifa ya kigeni huo muda naweza kuupata wapi? hahahahahahahahhaha

le Mutuz

angalia mguu unaoza huo
 
wafuasi wa lemutuz wengi ni akina mama na vidada vya uswazi simu zenyewe wamepata kwa kucheza upatu .
....hasa hasa wale wanavaa dela wanachomeka kwenye pichu ukimuona tuu mtaan kwenu basi ni mfuasi wa le mutuz
 
Celeb wa bongo majanga matupa.wakija ma celeb wenzao wa Ulaya na Marekani wanajificha hawana swaga.
 
Le mbebezs anafurahisha sana japo kama mwanaume na mawazo take ya vile ni lazima angeshindwa kudumu kwenye ndoa. Ni MTU mwenye ego and vanity sana. He believes he knows everything while he is just guessing . I even wonder degree zake za marine deck ,criminal justice kama kweli aliingia darasani aka graduate. Political science haina shaka ameimaliza kweli na alifaulu maana hiyo fani inafanana sana na yeye.
Wonders anapoandikaga insights za kisela huku watoto wake wakikua watakuja kuzisoma. " Mbebz ni super mtindi,mkia u know" Rangi ya mtume.
Super lunch courtesy of Chicago matelephone. I'm humbled.

Phony bilionear so and so
 
Unajua sometimes nikiwa na stress zangu nafungua Instagram naanza kupitia wadau na maceleb kuangalia yanayojiri

Le Mutuz ni mmoja ya watu walikua wananifurahisha kwa namna wanavyo jiamini na kusimamia anachokiaminj hata kama sio sahihi au sahihi

Siku moja akapost kitu bana, nikaona hebu ngoja nihoji kupata ufafanuzi
Kudadeki. BLOCK palepale

Nikashangaa sana, sijatukana sijakejeli ilikua genuine swali na halina ukakasi kabisa

Hapo ndio nikaja kujua ndio maana jamaa post zake zoooote comments asilimia mia moja wanamuunga mkono maana ukipinga au ukihoji tu jamaa hataki challenge anakublock
 
Tatizo ni kuwa huwa unakuwa na mada za kitoto huko, na watoto wanakuunga mkono kweli. Sasa akitokea mwenye akili zake akawarekebisha, wewe huona unadhalilishwa. Kwa kuwa admin wa page yako ni wewe, basi

- Guys I am sorry jana nilikuwa na my babe having fun so sikuweza kuja kusoma mapovu yenu, ila maisha yangu yanasonga na najitayarisha ana safari ya Arusha kesho, so hahahahaha

le Mutuz

 

- Relaxing at my home downtown U know, hahahahahahahahaa I lov my home U know

le Mutuz




 
Aliniblok pia kuna kipindi alipost screenshot ya 4g ya mtandao flani ikionekana kuwa na poor speed, kesho yake nadhani walimpa tangazo akapost akiisifia 4g ya mtandao huohuo, nikamkumbusha post ya jana yake nkapigwa block! He has attitude na he is a conservative,
 
Tatizo ni kuwa huwa unakuwa na mada za kitoto huko, na watoto wanakuunga mkono kweli. Sasa akitokea mwenye akili zake akawarekebisha, wewe huona unadhalilishwa. Kwa kuwa admin wa page yako ni wewe, basi

- ipi bora kuwa na mada za kikubwa kama zako hupati senti hata moja na mimi mwenye mada za kitoto halafu navuta Millions, hahahahahaha kijana mdogo unapigana na ukuta hahahahaa utaumia hahahahahaha

le Mutuz
 

- Jumamosi nitakuwa Arusha kwenye Super Luxury Party ya Super Celebs, karibu sana kiingilio ni Tsh. 100,000 tukutane huko at the Gold Crest Hotel Downtown

le Mutuz
 
Huyu mzee hayuko kwenye list iliyosomwa na mkuu wa mkoa wa Dsm kweli?
 
Sasa le mutuz watu wako was karibu wengi unaopiga nao picha na kuwasifia akili kubwaa wameanza kuumbuka kwa kutajwa wanauza ngada. Utawakana kesho au ndege wanaofanana huruka kundi moja. I am humbled
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…