Le Mutuz Is So Fragile Inside

Le Mutuz Is So Fragile Inside

1. Ni kawaida ya shoga kujisema mwenyewe hata asipoulizwa kama ulivyofanya na kwa mwanaume kama wewe kuuliza maswali ya kike kama haya huoni kuwa unajisema ni shoga maana tabia za kishoga shoga ni pamoja na kuhisi wengine wote ni kama wewe yaani shoga au nakosea mkuu?

2. Mtoto wa kiume kama wewe kuuliza uliza wanaume usiowajua umri wao kwenye social media inaashiria nini mkuu na hasa hapa mjini Dar? hahahahahahah

le Mutuz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ha ha alafu yeye anabishanaga hata na watoto.. Anatukanana nao .. Wakimzidi facts anawablock[emoji23][emoji23] Mi alishaniblock kote nasubiri humu pia aniblock alafu tutakuja kuonana siku moja nitamwambia mimi ni fulani .. Akijichekesha namrekodi nawatumia ...

Mwafaaaaaazzzzzz
 
le mbebeziiiii the akili kubwazzz!

mie huwa nakufagilia kinoma!...the celebuuuu....ze akili nenes....
u know!
ha ha ha ha haa haaaaa
 
Ha ha alafu yeye anabishanaga hata na watoto.. Anatukanana nao .. Wakimzidi facts anawablock[emoji23][emoji23] Mi alishaniblock kote nasubiri humu pia aniblock alafu tutakuja kuonana siku moja nitamwambia mimi ni fulani .. Akijichekesha namrekodi nawatumia ...

Mwafaaaaaazzzzzz

- mimi ni Big Celebrity wewe sio sasa tutakutana wapi? maana sehemu unazopita wewe mimi sipiti hahahahaha pole sana mimi sio your level wewe fukuzana na wanaotumia majina ya bandia kama wewe ndio level yako mimi sio!1 hahahahaha

le Mutuz
 
Back
Top Bottom